Tuachieni Nyerere Wetu

Tuachieni Nyerere Wetu

hebu tazama maeneo mengi yanayokaliwa na waislamu hapa TZ,mfano Tanga,Lindi,Mtwara,Kigoma,Tabora,Ruvuma,Zanzibar utagundua ndio maeneo yaliyo nyuma kiuchumi kutokana na watu wake kuwa wavivu wasiopenda kufanya kazi.huku kwetu kanda ya ziwa kuna maeneo kama Mhunze-Kishapu,Nyanguge-Magu nayo yamechelewa sana kuendelea kutokana na kutopenda kazi kunakoletwa na kukosa maarifa flani.
Nyerere alikosea sana pale alipoowaaminisha Watanzania kuwa ni ufanyakazi na ukulima pekee ndivyo ambavyo vinaweza kuwaendeleza kingine chochote ni uvivu.

Waislamu ndiyo wahanga wa kwanza wa falsafa hii ya nyerere kwa vile wengi wao si wafanyakazi na wakulima bali ni wafanyabiashara.

Badala ya nyerere kuuangalia ufanyabiashara na kuusaidia yeye aliupiga vita kwa njia kama za kuweka ugumu kuingiza vitu nchini,ugumu wa kusafiri nk.

Suala jingine ni asili ya Waislamu wenyewe kujiwekea malengo makubwa kimaisha, mfano kwa kijana wa Kiislamu kufanyakazi ya mshahara mdogo kwake yeye ni sawasawa na utumwa, atakuwa radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ya namna hiyo na ndiyo maana utawakuta kuchwa wakiwaza namna ya kwenda nje kwenye maslahi zaidi.

Na kweli wakienda nje utawakuta wakifanya kazi na kusaidia makwao, mfano ukienda Tanga sehemu za sahare na mwambani nyumba karibu zote zilizojengwa kule ni za Watanga wenyewe waliopo nje lakini kwa vile zimepangishwa wahamiaji halafu WaTZ wameaminishwa kuwa "Waislamu ni wavivu" basi wengi huamini kuwa mji unajengwa na wahamiaji.

Kodi zinazopatikana na nyingine zinazotumwa kutoka nje ndizo zinazofanya nyumba nyingi "jiko nalo likafufuka moshi" vinginevyo ingekuwa ni janga kwa vile tu serikali ya nyerere ilitambua ukulima (ufugaji na uvuvi) na ufanyakazi pekee ndivyo ambavyo vinaweza kumletea maendeleo Mtanzania.

...bado kosa na kasumba za nyerere zinaendelea kuwatafuna Watanzania.
 
Maneno meeeengi lkn kwa mtanzania mwenye kuufahamu ukweli haya maana yoyote ! Na ni uongo mtupu!

We unamsifia MDINI? NA MBAGUZI?

Nyerere ktk umri wake toka baada tu ya kupata uhuru YYT ASIEKUWA.MKRISTO KWAKE ALIKUWA NI UCHAFU TU!

Kanisa aliliweka.mbele mpaka kwenye ruzuku za serikali.
We kaa ukijaribu kudanganya watu kuwa Nyerere alikuwa mwema!
Yule alikuwa ni nyoka anae kuuma huku anakupuliza! Anakuchekea hadharani akiingia ndani anakuwekea sumu kwenye chakula!
Ikiwa unampenda kiasi cha kutetea uovu wake hadharani namna hii! Basi mfate huko KUZIMU.

Wewe ni mwalimu wa kigalatia ambae usingefika kumsifia huyu muovu ispokuwa ule MFUMO KRISTO aliuacha umekufikisha hapo ulipo na kwa kuandika description zako na wapi unapatikana NI MOJA YA KUTAFUTA SIFA ZISIZO KUWA NA MAANA!

Ukitetea uovu basi iko siku utakudhuru wewe au kizazi chako! Watch out!!

Ufala unawasumbua hamna mkijuacho.
 
Waislam wengi shule hawakwenda,waliachana na elimu dunia wakakimbilia elimu akhera na ndio maana wamebaki kuwa walalamishi tu kutokana na umaskini unaowatafuna wengi wao.hii sio siri kwani tumeskia na kuona viongozi wao wa juu wa kiserikali wakiwashauri "WAMSHIKE SANA ELIMU WASIMWACHE AKAENDA ZAKE" tangu Mzee Mwinyi hadi sasa.kitu kingine kutokana na kukosa elimu wamekuwa watu wa kuwaza misaada sana hasa kutoka Uarabuni badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujikwamua kimaisha.hebu tazama maeneo mengi yanayokaliwa na waislamu hapa TZ,mfano Tanga,Lindi,Mtwara,Kigoma,Tabora,Ruvuma,Zanzibar utagundua ndio maeneo yaliyo nyuma kiuchumi kutokana na watu wake kuwa wavivu wasiopenda kufanya kazi.huku kwetu kanda ya ziwa kuna maeneo kama Mhunze-Kishapu,Nyanguge-Magu nayo yamechelewa sana kuendelea kutokana na kutopenda kazi kunakoletwa na kukosa maarifa flani.

We hili jina lako linanikumbusha kile kiungo kinacho ning'inia huku chini kwa mwanammme! Huwa kikiwa kikubwa kupita kiasi kinaitwa kama wewe!! Lkn kwa kuzunguka!

Haya mawazo yako ni sawa na wale wagalatia wanaoambiwa kunyweni dodoma wine halafi mkaamini kuwa eti ile ni damu ya yesu!
Teh teh teh!
Maeneo uliyotaja yote yako nyuma kimaendeleo kwa sababu NYERERE KTK ULE MFUMO KRISTO ALIOUANZISHA ULIBANA MIKOA YOTE YA WAISLAMU KIMAENDELEO!
Leo ule MFUMO KRISTO umeathiri na kuua KULE MTWARA! KOSA LAO! MTWARA WAISLAMU WENGI!!!
Wengi wenu nyie mna macho lkn hamuoni ukweli.!
Ajeeb!.
 
Swala la kuangalia nani kachaguliwa kwenye nafasi za serekalini linausisha elimu, uzoefu wa kazi na uwezo wakufanya kazi ikilinganisha na watuwengine na nigumu kuonyesha upendeleo. lakini swala la shule ni rahisi kwasababu kilamtu anazijua shule za serekali. Na kama kunashule 20 za wakristo na kuna shule 5 za wisilamu. nyerere anazichukua shule zote alafu anasema zitumike kwa waisilamu na wakristo. basi aliwapendelea waisilamu. kama aliamua kujenga shule kwa maeneo ya waisilamu kama Mombare alivyosema, basi aliwapendelea waisilamu.
 
tukumbuke kwamba wakati tanganyika ilipopata uhuru, sehemu kubwa ya shule ilikuwa mikononi mwa wamishenari. serikali ya nyerere iliyataifisha mashule hayo na kuwaachia seminari tu. kwa njia hiyo alifungua milango kwa watu wa dini zote. na hii ni kweli.
 
Mafanikio gani unayo yaongelea hapa!
Hebu tafadhali usichafue mazingira hapa!
Kupanga foleni ya unga wa njano ndio mafanikio hayo?
Kugawiwa sukari nusu kilo kwa mwenzi ndio mafanikioa hayo??
Kunyimwa uhuru wa kuikemea serikali na watu kutiwa mahabusu miaka chungu mzima ndio mafanikio hayo!?
Kutuletea MFUMO.KRISTO ndio mafanikio hayo??
Ustake kunchafua hapa! Baadhi ya Wenzetu wa Afrika wameanza kuona matunda ya uhuru mara baada tu ya wakoloni kuondoka!
Sisi badala ya kufurahi wakoloni kuondoka! Wazee wetu walinza kulaani namna serikali chini ya uongozi wa huyo mkatoliki ilivyo kuwa ina wanyanyasa!
Walitamani waingereza warudi kuendelea kuwatawala!
Sasa usiongee vitu kama huna kichwa!!

huyu nyerere ni mnyama kabisa,aliwapeleka watu waende kukaa kwenye mapori bila ya kuwajengea mazingira salama, matokeo yake watu wameuliwa sana na wanyama wakali...poor leader
 
huyu nyerere ni mnyama kabisa,aliwapeleka watu waende kukaa kwenye mapori bila ya kuwajengea mazingira salama, matokeo yake watu wameuliwa sana na wanyama wakali...poor leader

Wakati yeye na mkewe wako butiama wanakula pesa za tanganyika battery company!! Tartiìiibu!!

Mnfnssssssssssss!
 
Teh teh teh teh!

Ahhhhh mtoto wa bahati mbaya!

Domo lako reeeefu! Kama pono!

Teh teh teh teh! Shule za katoloki shule za katoliki....!

Hebu kaa kimya nikupe darasa! Nyau wa chadema we!
Hizo shule za katoliki unazosema wewe hata mimi nimesoma, tena nimesoma ile shule aliyosoma huyo MUASISI WA MFUMO KRISTO huko tabora! Hizo unazoziita zimetaifishwa!

Hujui hata maana ya kutaifishwa, unaropoka tu!

We unaweza kulinganisha utaifishaji wa yale majumba ya wahindi na viwanda vyao! Na hizo shule za katoliki??

Majumba na viwanda vilienda jumla mpaka leo na kila kiingiacho kutokana na majumba hayo na viwanda hivyo kinakwenda ktk hio serikali yako ya dhulma!

Shule za kikatoliki mpaka leo ada zake. Miradi yake. Viongozi wake. Na wadhamini wake vyoooote vinatoka na kuingia KUPITIA KANISA LA KATOLIKI!

Kama ungekuwa na elimu ungelijua hilo!

Lkn mbulula kama wewe ni makapi tu yamejaa kichwani!!

Ndio nikakuuliza UNAFAHAMU MAANA YA KUTAIFISHWA??

Siki nyingine kabla ya kuja humu jukwaani,
Kwenda kajiunge na elimu ya watu wazima kwanza! Kuku maji we!
Alas! Kumbe ni miongoni mwa mliokuwa mnajichimbia kule msikitini, Msikiti uliojengwa Shuleni, tena shule ya Serikali kwa msaada wa Rais Alhaji Ally Hassan Mwinyi.... Nadhani kama ni ubaguzi wa kwanza ni ule. Unadhani ingekuwaje kama nasi Wakristo tungedai tujengewe mahekaru ?
Nami nimesoma Tabora School, ile shule ambayo Waislam wamejengewa Msikiti na Rais wa Nchi
 
Wacha unafiki wewe! Nimekulia tabora mimi na hakuna shule inaitwa tabora school!!!!!!

Hivi nyie kweli mna wazazi kwenu!?
Unakuja ropoka hapa kama umelewa!
Au unadhani tuko chooni hapa!?

Mnfnsssssssssssssss!

Labda nikuhakikishie kwa shariff Ritz na yeye anaifahamu tabora vilevile!
 
Last edited by a moderator:

Wewe mjinga! kama hujui Tabora school,basi !
 
Daaah!!! Nimegundua binadamu tunatofautiana sana ktk kupokea, kuelewa na kutoa. Waislam wenzangu tunaonewaaaaa.
Tafakari critically.
 
Wewe mjinga! kama hujui Tabora school,basi !

Teh teh teh teh!
Mbulula ni mbulula tu!
Ngoja nikufahamishe kidogo wewe kikojozi km mimi ni mtu wa tabora.
Kuna
Tabora boys.
Tabora girls.
Mihayo p s
Isike ps
Uyui s.s.
Labda na jeshi la wokovu nursery!
Teh teh teh teh!
Hio tabora school iko wapi??
Halafu mkoa upi umeshaskia unaita shule jina la mkoa! Mfano.

Dar school.
Tanga schoo.
Arusha school.
Mwanza school!!
Wapi??
Hii mitoto mingine sijui imekosa baba wa kuwapeleka shule!?
Hata nashindwa kuelewa!!
 
Alas! Kumbe ni miongoni mwa mliokuwa mnajichimbia kule msikitini, Msikiti uliojengwa Shuleni, tena shule ya Serikali kwa msaada wa Rais Alhaji Ally Hassan Mwinyi.... Nadhani kama ni ubaguzi wa kwanza ni ule. Unadhani ingekuwaje kama nasi Wakristo tungedai tujengewe mahekaru ?
Nami nimesoma Tabora School, ile shule ambayo Waislam wamejengewa Msikiti na Rais wa Nchi

Sasa mwinyi nae aliona nimuimu kujenga msikiti badala ya kujenga maabara, darasa au hata kuwasaidia waisilamu kwa karo. Hiyo ndi akili ya mwinyi aliyepewa uraisi. Alafu sijui huyo kahtaan analalamika waisilamu walibaniwa nyazifa serekalini wakati mwinyi kapewa alafu anajenga msikiti kwenye shule ya serekali.
 
Halafu wewe lzm utakuwa mkerewe tu!
Teh teh teh teh!

Muimu.alafu my foot!
 
Swala la kuangalia nani kachaguliwa kwenye nafasi za serekalini linausisha elimu, uzoefu wa kazi na uwezo wakufanya kazi ikilinganisha na watuwengine na nigumu kuonyesha upendeleo. lakini swala la shule ni rahisi kwasababu kilamtu anazijua shule za serekali. Na kama kunashule 20 za wakristo na kuna shule 5 za wisilamu. nyerere anazichukua shule zote alafu anasema zitumike kwa waisilamu na wakristo. basi aliwapendelea waisilamu. kama aliamua kujenga shule kwa maeneo ya waisilamu kama Mombare alivyosema, basi aliwapendelea waisilamu.
Hakuchua zote shule za seminari hazikutaifishwa.
 
Sasa mwinyi nae aliona nimuimu kujenga msikiti badala ya kujenga maabara, darasa au hata kuwasaidia waisilamu kwa karo. Hiyo ndi akili ya mwinyi aliyepewa uraisi. Alafu sijui huyo kahtaan analalamika waisilamu walibaniwa nyazifa serekalini wakati mwinyi kapewa alafu anajenga msikiti kwenye shule ya serekali.

Toa ushahidi siyo unaongea kama kasuku tu.
 
Mafanikio gani unayo yaongelea hapa!
Hebu tafadhali usichafue mazingira hapa!
Kupanga foleni ya unga wa njano ndio mafanikio hayo?
Kugawiwa sukari nusu kilo kwa mwenzi ndio mafanikioa hayo??
Kunyimwa uhuru wa kuikemea serikali na watu kutiwa mahabusu miaka chungu mzima ndio mafanikio hayo!?
Kutuletea MFUMO.KRISTO ndio mafanikio hayo??
Ustake kunchafua hapa! Baadhi ya Wenzetu wa Afrika wameanza kuona matunda ya uhuru mara baada tu ya wakoloni kuondoka!
Sisi badala ya kufurahi wakoloni kuondoka! Wazee wetu walinza kulaani namna serikali chini ya uongozi wa huyo mkatoliki ilivyo kuwa ina wanyanyasa!
Walitamani waingereza warudi kuendelea kuwatawala!
Sasa usiongee vitu kama huna kichwa!!

mwl ponda kafanikiwa sana, umemwamini 100% hongera zake huko aliko
 
We mwenye jina kama yale mradhi ya zinaa! Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio!
We huna habari asilimia 80% ya matajiri hapa Tanzania ni waislamu?

Wenye kutoa ajira kubwa kwa wananchi wa Tanzania ni waislamu!

Wenye kulipa kodi kubwa kuliko wengine seriakalini ni waislamu!

Wenye kuingiza bidhaa na madawa mbalimbali kwa ajili ya matumizi yako na wazazi wako(kama unawafahamu ofcourse) asilimia 90% ni waislamu!

Na mwisho! Wenye kumiliki vitega uchumi kuanzia viwanda ,mabohari maduka na majengo makubwa yenye kiliingizia taifa mapato makubwa basi wengi wao ni waislamu!

Sasa usilete dharau kwa kusema ni watu wasio na elimu au wako nyuma kimaendeleo!
Hapa tunajaribu kuonyesha ukweli tu wa mambo na HAKUNA ANAE.LALAMIKA!
Mgalatia mmoja usie na busara we!

Cc Tayeb

pamoja na mitusi yako huo ulikuwa ushauri tu,mnaweza kuuchukua au kuuacha.lakn kiukweli waislamu bado sana na wanaonekana watu wasiopenda kazi zaidi ya porojo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuchua zote shule za seminari hazikutaifishwa.

Tuambie basi ngapi za waisilamu zilichukuliwa na ngapi za wakristo zilichukuliwa. Nakupa mfano iliboru ya arusha ilichukuliwa. Forodhani pale dar ilikuwa ya kanisa ikachukuliwa. Na zote zimewaze sababisha waisilamu kupendelewa. Sina ubaya kwa waisilamu kosoma pale kwani hata kama zingekuwa chini ya kanisa, kanisa lingewaruhusu waisilamu kusoma. Ninachotaka kiwe wazi ni kwamba waisilamu walipendelewa na nyerere.
 
Back
Top Bottom