Tuachieni Nyerere Wetu

Tuachieni Nyerere Wetu

Kahtaan

Naona azikwei na Nyerere kabisa. Na mimi pia kunavitu kazaa ambavyo sikuvipenda. Kimoja wapo ni matumizi ya kiswahili shuleni ambayo yaliaribu kiwango cha elimu katika mikoa ambayo tayari ilikuwa na elimu nzuri. watu waliosoma shule za serekali wakati wa uhuru walipata elimu nzuri kuliko tuliosoma shule za serekali 80s na 90s. Lakin ni bora kama utapima mambo aliyofanya Nyerere kwa kuangalia mazuri na mabaya na pia kwa kumlinganisha na viongozi wengine. Bila kufaya hivyo hata mitume nao walifanya makosa yao. Kwaiyo niambe kiongozi gani hapa tanzania anaweza kuwa zaidi ya Nyerere?. Pia angalia alichoandika
MOBHARE MATINYI​
katika mjadala wa udini uniambie unafikiria nini.​

Ubarikiwe

Link ya MOBHARE MATINYI KATIKA MJADALA WA UDINI
UDADISI: Rethinking in Action: UDINI NA UTANZANIA:TULIPOTOKA,TULIPO,TUELEKEAPO
 
Kahtaan Utakatifu wa Nyerere unategemea matendo yake aliyotenda duniani na wala siyo hayo uyafikiriayo.Pamoja na kwamba unamchukia sababu ni Mkatoliki au Mkristu japo haki yake mpe.Alitaifisha shule nyingi sana za wakatoliki basi wakatoliki wangemchukia.Na alifanya hayo ili hata wale wasiokuwa wakatoliki wapate elimu ndiyo nia na lengo lake.Usimuwekee mdomoni mwake mambo ambayo hakuyatenda.Jaribu kutafakari kwenye moyo wako ujione namna ambavyo udini umechukua moyo wako wote.kama binadamu ana mabaya aliyotenda hakuna mtu atakayekataa lakini matendo yake kwa mungu wake hakuna anayeyajua.Alikuwa muumini mzuri sana na alikuwa hakosi kusali kabla hajaenda kufanya kazi yoyote.Pigania umoja wa watanzania bila kujali dini ya mtu aliyonayo.Huku vijijini tunakoishi tunasaidina sana bila kujali dini ya mtu.Matatizo ya udini yako kwa wenye vyeo vyao lakini kwa kada ya chini kwenye misiba tunazikana,kwenye harusi tunakaribishana na kwenye shughuli za maendeleo hatuulizani wewe dini gani.Hebu jitahidi uache hizo propaganda hazitusaidii kama watanzania.

Maneno yako matamu lkn yamechanganywa na shubiri chungu sana!
Unapo muita mtu mtakatifu Maana yake NI MTU ALIESHI MAISHA MEMA NA YA KIUNGWANA NA PIA ALILITUMIKIA KANISA KTK MAISHA YAKE!
Ndio maana huwezi kukuta mtu yyt anapewa cheo cha UTAKATIFU!
Sasa basi hebu angalia huyu nyerere maisha aliyo ishi huko nyuma!
Amedhulumu wengi!
Ametaufisha mali za watu.
Kafunga watu wasio na hatia wengi mno.
Katulisha majani back in 70s and 80s kwa sababu ya kiburi chake.
Kawahamisha wazee wetu na kuchoma nyumba zao kwa sababu ya kuiga siasa zisizo na maana za ujamaa!
Milions ya wtt wadogo wamekufa na maradhi yanayo tibika kwa sababu ya kuiingiza nchi yetu ktk vita visivyo muhusu ! Tu ni kwamba alitaka kuwaridhisha mabwana zake wakoloni!

Dhulma yake aliyo ifanya inadumu mpaka leo!
Baadhi ya haki za watu serikali imezikali mpaka sasa.!!
Huyu kweli anastahiki kuitwa MTAKATIFU??
Wakati wa awamu ya pili, mzee mwinyi kwa huruma zake alijaribu kurudisha mali nyingi sana ambazo nyerere alifhulumu watu lkn pia alibanwa na nyerere asirudishe zote!
Sasa kama ni suala la yupi ni rais au kiongozi bora. Naweza kusema mwinyi na mkapa no bora kuliko huyo BALAA WA TAIFA!
Mimi ni mtanzania na bado ntaendelea kuishi na watz bila kujali imani zao!
Lkn ukweli tuseme KAMA ULIVYO!

Halafu ikifika iddi nyie mtakuja kwangu tule biriani na chrismas ikija tutakaa na wakristo tule pilau pamoja!

Lkn kwa sharti moja tu!

kama huyo mbuzi wa chrismas KACHINJWA NA MUISLAMU!
Teh teh teh teh teh!
 
Huyu lazima wakatoliki wamfanye mtakatifu!
Si kawabeba toka 1961! Kwa kuwakandamiza waislamu!

Sasa hakuna geni hapa!

Mpu.mbavu wewe. Jukwaa hili sio la porojo. Peleka stress zako huko huko mnakokula kashata na kahawa. Umefeli maisha kwa upumbavu wako unashusha stress kwa asiyehusika. Nyerere amenyang'anya wakatoliki shule zao ili babako asome apate uwezovwa kukupeleka wewe shule babako badala ya kusoma akakimbilia kuvua samaki. Huna hata Shukrani!! Hao Wakatoliki hadi sasa baadhi ya shule zao hazijarudishwa. Na waislam wamerundikana kibao kwenye shule za wakatoliki halafu kwa jinsi ulivyo na laana badala ya kuwashukuru wewe unaanza kashfa zako!
 
Kijana maneno yako yanaonyesha kabisa kuwa hukupata malezi ya baba!
Ndio maana unatokwa povu ovyo!
Wala usijilaumu, hayo ni makosa ya mama MZITO kucheza faulo!
Unajua kukosa kumjua baba yako mzazi kuna impact kubwa sana ktk maisha! Na hili kwako linaoneka waaza kabisa .
Pole sana!!🙄🙄

Sijui kama unafahmu maana ya KUTAIFISHWA!?
Kwa maelezo yako hapo juu. Inaonekana kabisa Hujafahamu maana yake! Sasa nenda katafute wasomi uwaulize NINI MAANA YA KUATIFISHWA??
Halafu rudi hapa kwa nidhamu usomeshwe!
Mtoto wa bahati mbaya we!
 
Mkuu umesema vyema kabisa!
Baba mtakatifu wa UPAKO ! Nyerere!
Kaua wengi huyu!!
Mungu anamlipa huko aliko!!

Na huyo padri ulimtaja hapo juu alitoka ktk kanisa la lutheran na alikuwa waziri wa idara ya siasa na elimu ya TANU! 1973!

Kuua ni desturi ya viongozi wa CCM. Mkapa aliua. Mwinyi aliua. Na Alhaji Kikwete ameua. Usijifanye kipofu kwa kutoyaona mauaji ya Mwinyi na Kikwete ukayaona ya nyerere tu
 
Kuua ni desturi ya viongozi wa CCM. Mkapa aliua. Mwinyi aliua. Na Alhaji Kikwete ameua. Usijifanye kipofu kwa kutoyaona mauaji ya Mwinyi na Kikwete ukayaona ya nyerere tu

Umemsahau dr wa magonjwa ya zinaa!
Slaa! Toka amekaa kwenye hio nafasi yake kaisha ua wangapi??
 
Halafu we mtoto! Si kuna mwana jukwaa aliuliza hapa kuhusu ushahidi wa huyo mgalatia SLAA kujiita DOCTOR!
Mbona mpaka leo mnapita huku mkitokea kule!
Hebu atokee mmoja hapa atuonyeshe hizo shahada! Au ni tapeli kama wale walimtangulia??
 
Maneno yako matamu lkn yamechanganywa na shubiri chungu sana!
Unapo muita mtu mtakatifu Maana yake NI MTU ALIESHI MAISHA MEMA NA YA KIUNGWANA NA PIA ALILITUMIKIA KANISA KTK MAISHA YAKE!
Ndio maana huwezi kukuta mtu yyt anapewa cheo cha UTAKATIFU!
Sasa basi hebu angalia huyu nyerere maisha aliyo ishi huko nyuma!
Amedhulumu wengi!
Ametaufisha mali za watu.
Kafunga watu wasio na hatia wengi mno.
Katulisha majani back in 70s and 80s kwa sababu ya kiburi chake.
Kawahamisha wazee wetu na kuchoma nyumba zao kwa sababu ya kuiga siasa zisizo na maana za ujamaa!
Milions ya wtt wadogo wamekufa na maradhi yanayo tibika kwa sababu ya kuiingiza nchi yetu ktk vita visivyo muhusu ! Tu ni kwamba alitaka kuwaridhisha mabwana zake wakoloni!

Dhulma yake aliyo ifanya inadumu mpaka leo!
Baadhi ya haki za watu serikali imezikali mpaka sasa.!!
Huyu kweli anastahiki kuitwa MTAKATIFU??
Wakati wa awamu ya pili, mzee mwinyi kwa huruma zake alijaribu kurudisha mali nyingi sana ambazo nyerere alifhulumu watu lkn pia alibanwa na nyerere asirudishe zote!
Sasa kama ni suala la yupi ni rais au kiongozi bora. Naweza kusema mwinyi na mkapa no bora kuliko huyo BALAA WA TAIFA!
Mimi ni mtanzania na bado ntaendelea kuishi na watz bila kujali imani zao!
Lkn ukweli tuseme KAMA ULIVYO!

Halafu ikifika iddi nyie mtakuja kwangu tule biriani na chrismas ikija tutakaa na wakristo tule pilau pamoja!

Lkn kwa sharti moja tu!

kama huyo mbuzi wa chrismas KACHINJWA NA MUISLAMU!
Teh teh teh teh teh!

Dr. kahtaan.
HUYU NDIE NYERERE KWA ASIEMJUA ENZI ZA UTAWALA WAKE.

1 shati moja la shule moja la kuendea hospitali baada ya hapo ni tumbo wazi
2 akija mgeni munavizia soda watoto wote
3. Ukipikwa wali hamulali kwani haubaki
4. Ikifika saa saba kuitana njoo uleeeeee kwani kilikuwa hakitoshi
5. Pikipiki kwa mtendaji tu
6. Redio kwa balozi
7. Nyumba nzuri ya serikali
8. Wote sare kaniki
9. Kunyoa kiwembe kimoja mtaa mzima
10. Kuomba chumvi a,k,a mkuu wa jiko
11. Mboga kuliwa siku mbili
12. Ukifanya kosa huli;punguza badget
13. Una vaa ndala ukivua zinakoshwa zina wekwa ndani ya sanduku
14. Ikitokea harusi watoto wote munahamia huko
15. Ikichinjwa kuku ujue mgonjwa
16. Kula yai mpka liwe limevunjika
17. Kula kiporo kama kawaida
18. Chai mpka aje mgeni wa heshima
19. Vinyozi chini ya mti na kiwembe kimoja mwezi mzima
20. Ukisafiri ukarudi tiketi inatunzwa ndani ya sanduku
21. Ukitoka safari kijiji chote kina kuja kutaka kusikia mambo ya mjini.
22. Sukari hupati mpaka uwe mwanachama wa ushirika katika maduka hayo.

NYERERE angekuwepo hai usinge soma hii post wala kujua nini facebook, Jamiforum
angekuwa ana chart yeye peke yake kisha asubuhi anatuhutubia huku akivuta vuta pua yake na kuzungusha ulimi juu ya michongo yake kama mjusi aliye ona inzi na akipeleka macho kutoka kushoto kwenda kulia akiangalia ambaye hacheki ili amfute chamani na si hivyo tu bali akinyoosha fimbo yake ya kishirikina kwa makada wake akimuashiria kuwa nimekuona hucheki utanitambua
huku yeye akicheka sehemu isiyo chekesha katika mazungumzo yake
FURAHA ya kifo cha nyerere
mtu huyu lau angekuwepo watu wanaoishi Tanzania maisha yao yangekua hivi
1. Wenye kumiliki simu za mkononi wasinge kuwa wana vuka watu 1000
kutokana na rorho yakembaya ya choyo
2. Watu wangekuwa hawana nyumba za kuishi ila zile zile ambazo zilizo kwisha jengwa
3. Watanzania wengi wangekuwa hawana tv
4 watz wengi wangekuwa wanavaa kaniki
5. Watanzania wengi wangekuwa siku wakila nyama hawanawi angalau harufu ya nyama ibakie kwa muda mikononi mwake
6. Wenye kumiliki dawa ya meno wangekuwa watu wa masaki tu
7. Watanzania wengi wangekuwa wanafua nguo kwa kutumia majani ya miti yenye kutoa povu
8. Watanzania wengi wangekuwa bado wana azimana nguo za kuvaa
9. Watanzania wengi wangekuwa bado wana ile tabia mtu ukimkera ana kuchania nguo kwani anakuwa amekupata kweli kweli shati moja mpaka siku ya sikuu hivyo akichana shart unapigana kufa
10. Angekuwepo huyu roho mbaya machina wote wamesha fungwa
11. Angekuwepo huyu roho ya korosho watu wanalima bure mashamba ya kahawa kwa faida ya wazungu tena kwa kipigo
12. Angekuwepo mtu huyu watanzania wanao tembea peku wangekuwa zaidi ya nusu
13. Angekuwepo mtu huyu hali ya maisha ingekuwa mbaya mara 100 ya jinsi tulivyo. Tunafanya evaluation ya wapi tunatoka ni vyema tungegawa katika vipindi viwili, kutoka kupata uhuru hadi 23 ya utawala wa nyerere na kuanzia uongozi wa mwinyi hadi leo.
 
Last edited by a moderator:
Okello hakushindwa bali aliona kuna mvutano mkubwa wa uzanzibar ambao unaweza kumsababishia hata kuuwawa kwa kuwa yeye alikuwa Mganda aliona ni vyema akamwachia Karume kuongoza naye Karume kwa kuaribu historia akamfukuza akaenda kuishi shelisheli
Sasa kama ni okello alishindwaje kujitangazi rais wakati yeye ni kiongozi wa mapinduzi?
 
Dr. kahtaan.
HUYU NDIE NYERERE KWA ASIEMJUA ENZI ZA UTAWALA WAKE.

1 shati moja la shule moja la kuendea hospitali baada ya hapo ni tumbo wazi
2 akija mgeni munavizia soda watoto wote
3. Ukipikwa wali hamulali kwani haubaki
4. Ikifika saa saba kuitana njoo uleeeeee kwani kilikuwa hakitoshi
5. Pikipiki kwa mtendaji tu
6. Redio kwa balozi
7. Nyumba nzuri ya serikali
8. Wote sare kaniki
9. Kunyoa kiwembe kimoja mtaa mzima
10. Kuomba chumvi a,k,a mkuu wa jiko
11. Mboga kuliwa siku mbili
12. Ukifanya kosa huli;punguza badget
13. Una vaa ndala ukivua zinakoshwa zina wekwa ndani ya sanduku
14. Ikitokea harusi watoto wote munahamia huko
15. Ikichinjwa kuku ujue mgonjwa
16. Kula yai mpka liwe limevunjika
17. Kula kiporo kama kawaida
18. Chai mpka aje mgeni wa heshima
19. Vinyozi chini ya mti na kiwembe kimoja mwezi mzima
20. Ukisafiri ukarudi tiketi inatunzwa ndani ya sanduku
21. Ukitoka safari kijiji chote kina kuja kutaka kusikia mambo ya mjini.
22. Sukari hupati mpaka uwe mwanachama wa ushirika katika maduka hayo.

NYERERE angekuwepo hai usinge soma hii post wala kujua nini facebook, Jamiforum
angekuwa ana chart yeye peke yake kisha asubuhi anatuhutubia huku akivuta vuta pua yake na kuzungusha ulimi juu ya michongo yake kama mjusi aliye ona inzi na akipeleka macho kutoka kushoto kwenda kulia akiangalia ambaye hacheki ili amfute chamani na si hivyo tu bali akinyoosha fimbo yake ya kishirikina kwa makada wake akimuashiria kuwa nimekuona hucheki utanitambua
huku yeye akicheka sehemu isiyo chekesha katika mazungumzo yake
FURAHA ya kifo cha nyerere
mtu huyu lau angekuwepo watu wanaoishi Tanzania maisha yao yangekua hivi
1. Wenye kumiliki simu za mkononi wasinge kuwa wana vuka watu 1000
kutokana na rorho yakembaya ya choyo
2. Watu wangekuwa hawana nyumba za kuishi ila zile zile ambazo zilizo kwisha jengwa
3. Watanzania wengi wangekuwa hawana tv
4 watz wengi wangekuwa wanavaa kaniki
5. Watanzania wengi wangekuwa siku wakila nyama hawanawi angalau harufu ya nyama ibakie kwa muda mikononi mwake
6. Wenye kumiliki dawa ya meno wangekuwa watu wa masaki tu
7. Watanzania wengi wangekuwa wanafua nguo kwa kutumia majani ya miti yenye kutoa povu
8. Watanzania wengi wangekuwa bado wana azimana nguo za kuvaa
9. Watanzania wengi wangekuwa bado wana ile tabia mtu ukimkera ana kuchania nguo kwani anakuwa amekupata kweli kweli shati moja mpaka siku ya sikuu hivyo akichana shart unapigana kufa
10. Angekuwepo huyu roho mbaya machina wote wamesha fungwa
11. Angekuwepo huyu roho ya korosho watu wanalima bure mashamba ya kahawa kwa faida ya wazungu tena kwa kipigo
12. Angekuwepo mtu huyu watanzania wanao tembea peku wangekuwa zaidi ya nusu
13. Angekuwepo mtu huyu hali ya maisha ingekuwa mbaya mara 100 ya jinsi tulivyo. Tunafanya evaluation ya wapi tunatoka ni vyema tungegawa katika vipindi viwili, kutoka kupata uhuru hadi 23 ya utawala wa nyerere na kuanzia uongozi wa mwinyi hadi leo.

Teh teh teh teh!
Mwalimu wangu CHAMVIGA unamjua huyo nyerere kama vile wanafunzi wako!
Teh teh teh teh!

Halafu eti anataka kupewa UTAKATIFU!

Si bora wampe REMI ONGARA!
Atleast ametuachia nyimbo za kutupa moyo kidogo!!
Teh teh teh teh!

Ahsante mwalimu, tumepata faida kubwa hapa!
 
Kidogo kidogo watu watamjua Nyerere na mwisho itapatikana haki kwa wale waliojitoa maisha yao, nguvu zao, mali zao kuitafuta Tanganyika huru na mwisho mwa mavuno akajitangaza nyerere pekee kama Hero na kuhakikisha wengine anawafuta katika historia. Ngoja tuwafumbue vijana wenzetu macho walijue taifa lao wapi limetoka, lilipo na wapi tunataka kwenda.
 
Last edited by a moderator:
Kijana maneno yako yanaonyesha kabisa kuwa hukupata malezi ya baba!
Ndio maana unatokwa povu ovyo!
Wala usijilaumu, hayo ni makosa ya mama MZITO kucheza faulo!
Unajua kukosa kumjua baba yako mzazi kuna impact kubwa sana ktk maisha! Na hili kwako linaoneka waaza kabisa .
Pole sana!!🙄🙄

Sijui kama unafahmu maana ya KUTAIFISHWA!?
Kwa maelezo yako hapo juu. Inaonekana kabisa Hujafahamu maana yake! Sasa nenda katafute wasomi uwaulize NINI MAANA YA KUATIFISHWA??
Halafu rudi hapa kwa nidhamu usomeshwe!
Mtoto wa bahati mbaya we!

Utakuwa ulipatikana kwenye mbio za mwenge sio bure, Muislam mwenye akili sawa sawa hawezi kumtukana Nyerere akamwacha Mwinyi na Kikwete. Ukiwa fair enough mtukane na kikwete pia maana wote hao wana madudu yanayofanana. Tofauti yao ni nyakati tu.

Wewe utueleze hapa tafsiri za misikitini kutaifisha ndio kufanyaje. Waislam wananufaika na elimu itolewayoi kwenye Mashule ya wakatoliki wewe unakuja kuleta stress zako hapa? Huyo ALHAJI KIKWETE mwenyewe amesoma shule za wakatoliki halafu wewe unakuja kumwaga uharo wako. Kapate udhu kwanza ndio uje useme na mimi. Nguruwe we!
 
Umemsahau dr wa magonjwa ya zinaa!
Slaa! Toka amekaa kwenye hio nafasi yake kaisha ua wangapi??

Hiyo haiondoi ukweli kuwa ALHAJI MWINYI na ALHAJI KIKWETE wote ni wauaji. Tatizo la waislam wapumbavu kama wewe mnambinafsishia Nyerere matatizo yanayotokana na upumbavu wenu wenyewe. Pelekeni lawama kwa CCM tutajua tatizo linaanzia wapi. Na ndio maana wapo wana CCM mnaotofautiana nao sana inapokuja suala la Nyerere. Huku kwingine mtaimba wimbo mmoja, lakini ikija suala la Nyerere mnatofautiana sana. Kwasababu hata hao Maccm wenzako wanatambua kuwa tatizo sio Nyerere tatizo ni LICHAMA LIBOVU.
 
Kidogo kidogo watu watamjua Nyerere na mwisho itapatikana haki kwa wale waliojitoa maisha yao, nguvu zao, mali zao kuitafuta Tanganyika huru na mwisho mwa mavuno akajitangaza nyerere pekee kama Hero na kuhakikisha wengine anawafuta katika historia. Ngoja tuwafumbue vijana wenzetu macho walijue taifa lao wapi limetoka, lilipo na wapi tunataka kwenda.
pope-resigns-reax.jpg

Z

Na Jana AMESHIRIKI KUUMEGA MKATE.....Chezea Katoliki wewe!!!
 
Tanzania haijawahi kuwa na viongozi bora toka mwalimu Nyerere ang'atuke madarakani,yaani hakuna kiongozi mwenye vision tangu mwalimu Nyerere ang'atuke madarakani.Kulithibitisha hili angalia kauli za viongozi waliopo ni za kutisha hazina mashiko,ni za umbeya tu na kiburi cha madaraka.
Natoa mifano michache
1.wananchi hata wakila nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe(Mramba)
2.wanaopata mimba ni kiherehere chao(kikwete)
3.Kila mwananchi atabeba msalaba wake(mkulo)
4.Liwalo na liwe(Pinda)
kutokana na mifano hapo juu,je ni kiongozi gani ambae ana vision ya kulikomboa taifa hili? Kwa kauli na nukuu za kibabe,dharau,kejeli na kitoto kama hizo,ni bora kukaa kimya kwa kuwa,hata kwenye maandiko matakatifu imeandikwa HATA -------- AKIKAA KIMYA HUONEKANA MWENYE HEKIMA,sasa kwa nini udhihirishe up.um.bavu wako kwa kauli kama hizi? Ukifuatilia hotuba, semi,kauli na nukuu mbalimbali za baba wa taifa,moringe sokoine n.k utagundua tofauti ya viongozi wa sasa na wale wazamani.Nukuu na kauli za rais kikwete haziwezi hata kuwekwa kwenye kumbukumbu et wanaopata mimba mashuleni ni viherehere Rais wa nchi huyo!! Hakuna motivational,inspirational as well as leadership quotes,nukuu zote pumba tu.
Naweza kusema,katika tz ya sasa na baada ya kufuatilia nukuu,hotuba na semi za viongozi,Dr slaa namuona ndio kiongozi mbadala kwa mwl Nyerere,hii ni kutokana na uadlifu wake,uzalendo,kukemea rushwa na ufisadi.Pia ni kiongozi anayejiamini,nimefuatilia hotuba yake ya ziara nchini marekani,nimegundua kuwa nchi hii iko mikononi mwa chadema.Hii nimeithibitisha katika nukuu yake ya kwamba "siko kwa ajili ya kuomba misaada na sera ya chama changu(chake) haiamini misaada kwa kuwa inaambatana na masharti mgumu" He is visionary leader no one like him: nawasilisha
 
Ntajaribu kukupa muangaza kidogo tu!
Wa namna huyo baba yako wa taifa alivyo wabagua WAISLAMU!

Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.

NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-

kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!

Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-

"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "

MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."

Sasa hapa NDUGU YANGU unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KULIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

TAZAMA CHEO NA JUMLA YA NAFASI SERIKALINI

UKAMISHNA- 1
WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9
WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8
WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Ndugu yangu
HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.[/B]

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

sasa hapa nimekuonjesha tu kidogo namna ya HUYO MTAKATIFU WAKO AMBAE AMEISHI MAISHA MAZURI ALIVYO WAFANYA WAISLAMU KTK SEKTA MOJA TU!

HAPO BADO KUNA NYANJA ZINGINE KAMA 19 AMBAZO SINA MUDA WA KUDHIORODHESHA ZOTE HAPA!

Kama ulikuwa hufahamu ukweli! Basi usichukue maneno yangu tu! NENDA KAFANYE UTAFITI MWENYEWE! UONE KAMA DATA HIZI NI ZA UONGO!

I HOPE YOU WILL UNDERSTAND WHY THAT BABA OF YOURS DOESN'T DESERVE ANY PRAISES!

Wacha kumuita BABA WA TAIFA
HAIFAI HATA KUMUITA JIRANI WA TAIFA.

mkuu ww ni mtu mwongo sana, hayo maneno huwa wanaambiwa pale manzese kwenye baadhi ya mihadhara yenu ambapo vilaza ndo huwa wanabeba kama yalivyo, waislamu wenyewe wa ukweli na maintallectuals huwa wanajua. serikali ipi unayoiongelea ww,kwa kukusaidia tafuta kitabu kinaitwa governement directory kaangalie mwenyewe kimya kimya kuna majina ya wafanyakazi walio wengi na namba zao za simu ukiona huwezi ridhika piga simu ukonfirm manake wakat mwingine jina sio kigezo cha dini halafu uje utuondolee hiki kichefuchefu hapa,hii blogu inaangaliwa hata na majirani zetu kama kenya na rwanda kuwa na michango kama yako unatudhalilisha sisi kama watz na pia kama member wa jf aisee
 
tatizo lako mjomba unawaza DINI mno, am sorry to say you are empty somewhere, sasa mimi huwa sifanyi mjadala na WAFIA DINI, nafanya mjadala na wachumi, wanasayansi, wachambuzi wa masuala ya siasa na jamii na wengine wenye mijdala ya tija. Hii ya kwako ipeleke huko mnakoamasishana
Mafanikio gani unayo yaongelea hapa!
Hebu tafadhali usichafue mazingira hapa!
Kupanga foleni ya unga wa njano ndio mafanikio hayo?
Kugawiwa sukari nusu kilo kwa mwenzi ndio mafanikioa hayo??
Kunyimwa uhuru wa kuikemea serikali na watu kutiwa mahabusu miaka chungu mzima ndio mafanikio hayo!?
Kutuletea MFUMO.KRISTO ndio mafanikio hayo??
Ustake kunchafua hapa! Baadhi ya Wenzetu wa Afrika wameanza kuona matunda ya uhuru mara baada tu ya wakoloni kuondoka!
Sisi badala ya kufurahi wakoloni kuondoka! Wazee wetu walinza kulaani namna serikali chini ya uongozi wa huyo mkatoliki ilivyo kuwa ina wanyanyasa!
Walitamani waingereza warudi kuendelea kuwatawala!
Sasa usiongee vitu kama huna kichwa!!
 
Maneno meeeengi lkn kwa mtanzania mwenye kuufahamu ukweli haya maana yoyote ! Na ni uongo mtupu!

We unamsifia MDINI? NA MBAGUZI?

Nyerere ktk umri wake toka baada tu ya kupata uhuru YYT ASIEKUWA.MKRISTO KWAKE ALIKUWA NI UCHAFU TU!

Kanisa aliliweka.mbele mpaka kwenye ruzuku za serikali.
We kaa ukijaribu kudanganya watu kuwa Nyerere alikuwa mwema!
Yule alikuwa ni nyoka anae kuuma huku anakupuliza! Anakuchekea hadharani akiingia ndani anakuwekea sumu kwenye chakula!
Ikiwa unampenda kiasi cha kutetea uovu wake hadharani namna hii! Basi mfate huko KUZIMU.

Wewe ni mwalimu wa kigalatia ambae usingefika kumsifia huyu muovu ispokuwa ule MFUMO KRISTO aliuacha umekufikisha hapo ulipo na kwa kuandika description zako na wapi unapatikana NI MOJA YA KUTAFUTA SIFA ZISIZO KUWA NA MAANA!

Ukitetea uovu basi iko siku utakudhuru wewe au kizazi chako! Watch out!!

Hivi Somalia, Afganistan, Iraqi na Sudan Kaskazini kuna mfumo kristu? Je, nchi hizi nilizozitaja hazina mfumo Islamu na wameendelea sana kiasi kwamba wanaishi kama wako peponi? Nataka kufahamishwa tu wazee!
 
Ni miaka 14 sasa imepita tangu alipofariki Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl J.K. Nyerere, hakuna shaka Mwl aliweka maslahi ya Taifa mbele kuliko ubinafsi ambao tumendelea kuushuhudia hivi karibuni ambapo hata rasilimali zetu zinagawanwa na watu wachache kwa Ari, nguvu na kasi zaidi na hivyo kuleta tabaka dogo la matajiri sana na kundi kubwa la maskini, unafikiri uongozi wa Mwl Nyerere haukufanya vitu gani vya muhimu ambavyo vingesababisha ulindwaji wa rasilimali zetu hata baada ya yeye kuondoka? na au hii inatudhihirishia kwamba mbinu zake hazikuwa na misingi endelevu na hivyo kuonyesha kushindwa kwake?
karibuni tujifunze pamoja....
 
Back
Top Bottom