Tuachieni Nyerere Wetu

Tuachieni Nyerere Wetu

Waislamu mtabaki kulalamika hivyohivyo, kufanya kazi kwa bidii ni sumu yenu.......
Mwanakondoo ajinasibisha kuwalingania waliopotea kumbe yeye kapotea zaidi ya wale anaowalingania.
Uadilifu na imani ya kweli ni ngozi ya kondoo kwa chui.
 
Leo taifa liko katika kumbukumbu za tangu alipotutoka kiongozi shupavu,kipenzi cha watanzania na mwanafalsafa nguli kuwahi kuzaliwa nchini,"Baba wa taifa Mwl. JK NYERERE".Ni kiongozi huyu makini aliyelijenga taifa letu katika misingi ya umoja,amani,upendo na mshikamano..Nyerere enzi za uhai wake alilaani na kupinga vikali ubaguzi wa rangi,jinsi,dini na kabila kutamalaki nchini,pia alishiriki kwa vitendo kupinga na kupiga vita aliowaita maadui wakuu wa mtanzania yaani,UJINGA,UMASKINI na MARADHI na kuwataka wananchi wakupiga vita pale wawaonapo.Ni kiongozi huyu alipenda elimu kwa lengo la kuhakikisha watanzania wanapata mwanga wa ukweli ili kukabiliana na changamoto za ujenzi wa taifa.Alichukia kwa viwango vyote ubinafsi,ufisadi,ulimbikizaji wa mali,ulaghai na wizi katika sekta na taasisi za serikali.Ndugu zangu ni kosa kuu kutomuenzi mpiganiaji mahiri huyu wa haki za mtanzania na wengine wa style yake,katika mchango wao wa kulea na kutengeneza mazingira ya amani na upendo tunaojivunia leo.(R.I.P JK NYERERE).

Wacha uongo wako we mtoto!
Unasema huyo MDINI ALIKUWA KIPENZI CHA WATANZANIA!?
WE HUNA HAYA? AU HUNA ELIMU?
Huyu umuitae baba! Ametuachia nuksi ya MFUMO KRISTO. na mpaka leo watu wanauawa kwa ajili yake!
Halafu unasema alikuwa kipenzi??nfnsssssssss!
Ama kweli wewe umetuvunjia heshima waungwana wengi sana humu!!
 
na mimi nasikitika kukuambia kuwa hujui lolote kuhusiana na historia ya nchi hii, kama sikosei wewe utakuwa mhamiaji haramu otherwise huwezi kusema kuwa Mwl. Nyerere hakuweka misingi endelevu. Nakushauri nenda kasome kitu kinaitwa nation building all over the Afrika then utaona ni kwa jinsi gani Mwl. Nyerere alifanikiwa kuliko viongozi wengine Afrika

Hicho kitabu kinaweza kabisa kikawa moja ya hizi propoganda ninazo sema.

Misingi endelevu ni hivi hebu jaribu kwenda usa leo ujaliwe kuwa rais wao. Halafu uwe fisadi au uchezee katiba yao uone utakacho fanywa.

Sasa jiulize Nyerere kakuachia katiba gani na misingi gani ya kuisimamia na kuilinda hiyo katiba. Huu ni mfano mmoja tu ipo mingi sana jaribu kuitafuta.
 
Kutangazwa mwenye Heri
Kwa taratibu za Kanisa Katoliki,
mchakato wa kumtangaza Mwalimu
Nyerere kuwa mtakatifu ulianza
mwaka 2005, na tayari kanisa hilo kwa
kibali rasmi kutoka Roma makao ya
Baba Mtakatifu, limeshamtangaza
kuwa mwenyeheri.
Kuwa mwenyeheri ni hatua ya kwanza
ya kuingia utakatifu. Wakristo
wakatoliki wameanzisha sala maalumu
na kufanya maombi kwa nia ya
maombezi yake ili aweze kutangazwa
kuwa mtakatifu.
Ibada ya kwanza ilifanyika katika
kanisa kuu la Jimbo la Musoma, na
kuongozwa na aliyekuwa askofu wa
Jimbo hilo marehemu askofu Justine
Samba.
 
Kutangazwa mwenye Heri
Kwa taratibu za Kanisa Katoliki,
mchakato wa kumtangaza Mwalimu
Nyerere kuwa mtakatifu ulianza
mwaka 2005, na tayari kanisa hilo kwa
kibali rasmi kutoka Roma makao ya
Baba Mtakatifu, limeshamtangaza
kuwa mwenyeheri.
Kuwa mwenyeheri ni hatua ya kwanza
ya kuingia utakatifu. Wakristo
wakatoliki wameanzisha sala maalumu
na kufanya maombi kwa nia ya
maombezi yake ili aweze kutangazwa
kuwa mtakatifu.
Ibada ya kwanza ilifanyika katika
kanisa kuu la Jimbo la Musoma, na
kuongozwa na aliyekuwa askofu wa
Jimbo hilo marehemu askofu Justine
Samba.

Huyu lazima wakatoliki wamfanye mtakatifu!
Si kawabeba toka 1961! Kwa kuwakandamiza waislamu!

Sasa hakuna geni hapa!
 
Wakatooliki ndio hasa wanapaswa kumuenzi na hata kumwita mwenye heri heri na sasa baba mtakatifu maana alilitumikia sana kanisa kuliko alivyolitumikia taifa.
Tv zilipigwa marufuku,sabuni unapanga foleni kwa kutwa nzima na hata hivyo huambulii kitu.
Kanisa katoliki ndio lililonufaika na Nyerere kwa kupewa mabiliini ya pesa ili kuliimarisha kanisa na hata kufikia kumteua padri katika kamati mojawapo ya TANU ili kulinda maslahi ya kanisa.
 
nyerere at the age of 22 alikuwa ame achieve mambo mengi ambao wasomi wetu waleo wana achieve wakiwa na 50

kweli mwacheni nyerere wetu
 
Mafanikio gani unayo yaongelea hapa!
Hebu tafadhali usichafue mazingira hapa!
Kupanga foleni ya unga wa njano ndio mafanikio hayo?
Kugawiwa sukari nusu kilo kwa mwenzi ndio mafanikioa hayo??
Kunyimwa uhuru wa kuikemea serikali na watu kutiwa mahabusu miaka chungu mzima ndio mafanikio hayo!?
Kutuletea MFUMO.KRISTO ndio mafanikio hayo??
Ustake kunchafua hapa! Baadhi ya Wenzetu wa Afrika wameanza kuona matunda ya uhuru mara baada tu ya wakoloni kuondoka!
Sisi badala ya kufurahi wakoloni kuondoka! Wazee wetu walinza kulaani namna serikali chini ya uongozi wa huyo mkatoliki ilivyo kuwa ina wanyanyasa!
Walitamani waingereza warudi kuendelea kuwatawala!
Sasa usiongee vitu kama huna kichwa!!

Mokoyo usiangaike na hawa vijana wa kipata na gerezani mzee Mohamed Said amewaharibu
 
Last edited by a moderator:
Maneno meeeengi lkn kwa mtanzania mwenye kuufahamu ukweli haya maana yoyote ! Na ni uongo mtupu!

We unamsifia MDINI? NA MBAGUZI?

Nyerere ktk umri wake toka baada tu ya kupata uhuru YYT ASIEKUWA.MKRISTO KWAKE ALIKUWA NI UCHAFU TU!

Kanisa aliliweka.mbele mpaka kwenye ruzuku za serikali.
We kaa ukijaribu kudanganya watu kuwa Nyerere alikuwa mwema!
Yule alikuwa ni nyoka anae kuuma huku anakupuliza! Anakuchekea hadharani akiingia ndani anakuwekea sumu kwenye chakula!
Ikiwa unampenda kiasi cha kutetea uovu wake hadharani namna hii! Basi mfate huko KUZIMU.

Wewe ni mwalimu wa kigalatia ambae usingefika kumsifia huyu muovu ispokuwa ule MFUMO KRISTO aliuacha umekufikisha hapo ulipo na kwa kuandika description zako na wapi unapatikana NI MOJA YA KUTAFUTA SIFA ZISIZO KUWA NA MAANA!

Ukitetea uovu basi iko siku utakudhuru wewe au kizazi chako! Watch out!!

harufu ya JIHAD
 
some people are alive bcoz its illegal to kill them.. kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Wakatooliki ndio hasa wanapaswa kumuenzi na hata kumwita mwenye heri heri na sasa baba mtakatifu maana alilitumikia sana kanisa kuliko alivyolitumikia taifa.
Tv zilipigwa marufuku,sabuni unapanga foleni kwa kutwa nzima na hata hivyo huambulii kitu.
Kanisa katoliki ndio lililonufaika na Nyerere kwa kupewa mabiliini ya pesa ili kuliimarisha kanisa na hata kufikia kumteua padri katika kamati mojawapo ya TANU ili kulinda maslahi ya kanisa.

mawazo ya kigaiidi
 
some people are alive bcoz its illegal to kill them.. kahtaan

Try to tell the people who lost their loved one during nyereres era!

He couldn't care what is legal and whats illegal !
 
Last edited by a moderator:
Wakatooliki ndio hasa wanapaswa kumuenzi na hata kumwita mwenye heri heri na sasa baba mtakatifu maana alilitumikia sana kanisa kuliko alivyolitumikia taifa.
Tv zilipigwa marufuku,sabuni unapanga foleni kwa kutwa nzima na hata hivyo huambulii kitu.
Kanisa katoliki ndio lililonufaika na Nyerere kwa kupewa mabiliini ya pesa ili kuliimarisha kanisa na hata kufikia kumteua padri katika kamati mojawapo ya TANU ili kulinda maslahi ya kanisa.

Mkuu umesema vyema kabisa!
Baba mtakatifu wa UPAKO ! Nyerere!
Kaua wengi huyu!!
Mungu anamlipa huko aliko!!

Na huyo padri ulimtaja hapo juu alitoka ktk kanisa la lutheran na alikuwa waziri wa idara ya siasa na elimu ya TANU! 1973!
 
Try to tell the people who lost their loved one during nyereres era!

He couldn't care what is legal and whats illegal !

khaatan dont let your emotion decieve u
history has no place for emotion driven people like u
one leo tuna mkumbuka nyerere ambaye wewe ume mbrand mbaguzi na mdini

so far wewe ndo unaonekana mdini na mbaguzi
niliwahi kukwambia hii kwenye thread moja narudia tena leo
dont take things too personal
 
nyerere hawezi kuwa sababu ya ugumu wa maisha yako,ukilaza wako ndo sababu ya umasikini wako, taka usitake nyerere atabaki kuwa baba wataifa hili na hakuna jambo lolote linaloweza badili historia hiyo.
 
Wacha uongo wako we mtoto!
Unasema huyo MDINI ALIKUWA KIPENZI CHA WATANZANIA!?
WE HUNA HAYA? AU HUNA ELIMU?
Huyu umuitae baba! Ametuachia nuksi ya MFUMO KRISTO. na mpaka leo watu wanauawa kwa ajili yake!
Halafu unasema alikuwa kipenzi??nfnsssssssss!
Ama kweli wewe umetuvunjia heshima waungwana wengi sana humu!!
watu wenye akili fupi kama yako hamtakiwi kwenye jamii ya watu wastaarabu, kama nchi ni ya kikristu inakuwaje rais ni mwislamu ? acha kuiga mawazo mgando
 
nyerere hawezi kuwa sababu ya ugumu wa maisha yako,ukilaza wako ndo sababu ya umasikini wako, taka usitake nyerere atabaki kuwa baba wataifa hili na hakuna jambo lolote linaloweza badili historia hiyo.

Baba wa Taifa kwako na familia yako. Nachojivunia kwake ni kutuunganisha kuwa lugha moja ila ana UCHAFU mwingi kuliko Usafi.
 
khaatan dont let your emotion decieve u
history has no place for emotion driven people like u
one leo tuna mkumbuka nyerere ambaye wewe ume mbrand mbaguzi na mdini

so far wewe ndo unaonekana mdini na mbaguzi
niliwahi kukwambia hii kwenye thread moja narudia tena leo
dont take things too personal

You cant tell me what to do! I am Tanzanian born and bred!
I have all the rights to say what I believe to be right!
Wewe kama unataka kutukuza udhalimu basi endelea! Mimi nasema kilicho haki!
Nyerere alikuwa ni mdini mkubwa na mvujaji wa haki za binaadamu!
Alipanga sheria kwenye bunge lililoko chini yake za kunyanyasa watu na kufunga watu jela BILA KUPITIA MAHAKAMA!
Familia zilikosa wazazi kwa sababu yake!
Leo mnakusanyika kumtukuza muovu??
Hata aibu hamuoni? Au mnata kusema haya madai yangu ni ya uongo?
 
Back
Top Bottom