Tuachieni Nyerere Wetu

Tuachieni Nyerere Wetu

Ntajaribu kukupa muangaza kidogo tu!
Wa namna huyo baba yako wa taifa alivyo wabagua WAISLAMU!

TAZAMA CHEO NA JUMLA YA NAFASI SERIKALINI

UKAMISHNA- 1
WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9
WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8
WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Ndugu yangu
HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.[/B]

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Wacha kumuita BABA WA TAIFA
HAIFAI HATA KUMUITA JIRANI WA TAIFA.

Upotishaji huu ni matunda ya kushinda madrasa ukategemea siku moja utakuwa mkurugenzi au kamishna wa taasisi ya serikali. Ukweli ni kwamba, enzi za Mwalimu, wazazi wengi wa kiislamu hawakuona umuhimu wa elimu, walikuwa wanaiita "Ilmu Dunia hawakuwa tofauti na Boko Haramu wa sasa". Watoto walihimizwa kwenda madrasa zaidi na kupuuzia elimu ya shule, sasa hivi wanavuna walichopanda-wanaanza kulalamika.

Mwl. JK. Nyerere alifahamu kuna wajinga wajinga kama wewe na akatamka haya "Hatumchagui mtu kwa dini yake...kwani anakuja kuswalisha hapa?". Kama unakubaliana na mwandishi yule ambaye hatujui aliyapata wapi akaandika kitabu, kwanini usiyakubali aliyoyatamka yeye mwenyewe ndani ya kizazi chetu na kila sikio likasikia?

Pia JK Nyerere aliwahi kusema "Mnashika yale ya hovyo na mnatupa yale ya maana" aliyoyaanzisha. Mbona Zanzibar serikali yoote ni waislamu lakini hakuna lolote la maana zaidi ya kumwagia watu tindikali na kuchoma nyumba za ibada za wakristu. Je huko nako utasingizia nini?
 
We Mtingaji sijui nani amekutinga!
Upofu wako sio wa macho tu! Bali hata fikra zako zinaonekana zimetingwa na mawazo mgando!
Tukianza kutaja idadi ya waislamu wenye degree mpaka phd tutajaza ukumbi hapa!
Tatizo watu kama nyie akili kuambiwa hata utiwe mikwaju huwezi kubadilika!
Sasa we endelea kuimba hizo nyimbo mlizo fundishwa makanisani!
Sisi tunafanya kazi ya kusafisha huu mfumo kristo tartiiibu!
 
Last edited by a moderator:
Julius Kambarage Nyerere was one of Africa's leading independence heroes (and a leading light behind the creation of the Organization of African Unity), the architect of ujamaa (an African socialist philosophy which revolutionized Tanzania's agricultural system), the prime minister of an independent Tanganyika, and the first president of Tanzania.

Date of Birth: March 1922, Butiama, Tanganyika
Date of death: 14 October 1999, London, UK

An Early Life
Kambarage ("the spirit which gives rain") Nyerere was born to Chief Burito Nyerere of the Zanaki (a small ethnic group in northern Tanganyika) and and his fifth (out of 22) wife Mgaya Wanyang'ombe. Nyerere attended a local primary mission school, transferring in 1937 to Tabora Secondary School, a Roman Catholic mission and one of the few secondary schools open to Africans at that time. He was baptized a catholic on 23 December 1943, and took the baptismal name Julius.

Nationalistic Awareness
Between 1943 and 1945 Nyererre attended Makerere University, in Uganda's capital Kampala, obtaining a teaching certificate. It was around this time that he took his first steps towards a political career -- in 1945 he formed Tanganyika's first student group, an offshoot of the African Association, AA, (a pan-African group first formed by Tanganyika's educated elite in Dar es Salaam, in 1929). Nyerere and his colleagues began the process of converting the AA towards a nationalistic political group.

Once he had gained his teaching certificate, Nyerere returned to Tanganyika to take up a teaching post at Saint Mary's, a Catholic mission school in Tabora. He opened a local branch of the AA, and was instrumental in converting the AA from its pan-African idealism to the pursuit of Tanganyikan independence. To this end, the AA restyled itself in 1948 as the Tanganyika African Association, TAA.

Gaining a Wider Perspective
In 1949 Nyerere left Tanganyika to study for an MA in economics and history at the University of Edinburgh. He was the first African from Tanganyika to study at a British university and, in 1952, was the first Tanganyikan to gain a degree. At Edinburgh Nyerere became involved with the Fabian Colonial Bureau (a non-Marxist, anti-colonial socialist movement based in London). He watched intently Ghana's path to self-government, and was aware of the debates in Britain on the development of a Central African Federation (to be formed from a union of North and South Rhodesia and Nyasaland). Three years of study in the UK gave Nyerere an opportunity to vastly widen his perspective of pan-African issues. Graduating in 1952, he returned to teach at a Catholic school near Dar es Salaam. On 24 January he married primary school teacher Maria Gabriel Majige.

Developing the Independence Struggle in Tanganyika

This was a period of upheaval in west and south Africa -- in neighboring Kenya the Mau Mau uprising was fighting against white settler rule, and nationalistic reaction was rising against the creation of the Central African Federation. But political awareness in Tanganyika was nowhere near as advanced as with its neighbors. Nyerere, who had become president of the TAA in April 1953, realized that a focus for African nationalism amongst the population was needed. To that end, in July 1954, Nyerere converted the TAA into Tanganyika's first political party -- the Tanganyikan African National Union, or TANU.

Nyerere was careful to promote nationalistic ideals without encouraging the kind of violence that was erupting in Kenya under the Mau Mau uprising. TANU manifesto was for independence on the basis of non-violent, multi-ethnic politics, and the promotion of social and political harmony. Nyerere was appointed to Tanganyika's Legislative Council (the Legco) in 1954. He gave up teaching the following year to pursue his career in politics.

International Statesman

Nyerere testified on behalf of TANU to the UN Trusteeship Council (committee on trusts and non-self-governing territories), in both 1955 and 1956. He presented the case for setting a timetable for Tanganyikan independence (this being one of the specified aims set down for a UN trust territory). The publicity he gained back in Tanganyika established him as the country's leading nationalist. In 1957 he resigned from the Tanganyikan Legislative Council in protest over the slow progress independence.

TANU contested the 1958 elections, winning 28 of 30 elected positions in the Legco. This was countered, however, by 34 posts which were appointed by the British authorities -- there was no way for TANU to gain a majority. But TANU was making headway, and Nyerere told his people that "Independence will follow as surely as the tickbirds follow the rhino." Finally with the election in August 1960, after changes to the Legislative Assembly were passed, TANU gained the majority it sought -- 70 out of 71 seats. Nyerere became chief minister on 2 September 1960 and Tanganyika gained limited self-government.

Independence

In May 1961 Nyerere became prime minister, and on 9 December Tanganyika gained its independence. On 22 January 1962, Nyerere resigned from the premiership to concentrate on drawing up a republican constitution and to prepare TANU for government rather than liberation. On 9 December 1962 Nyerere was elected president of the new Republic of Tanganyika.

Political Tensions

In 1963 tensions on the neighboring island of Zanzibar started to impact on Tanganyika. Zanzibar had been a British protectorate, but on 10 December 1963, independence was gained as a Sultinate (under Jamshid ibn Abd Allah) within the Commonwealth of Nations. A coup on 12 January 1964 overthrew the sultanate and established a new republic. Africans and Arabs were in conflict, and the aggression spread to the mainland -- the Tanganyikan army mutinied.

Nyerere went into hiding and was forced to ask Britain for military assistance. He set about strengthening his political control of both TANU and the country -- in 1963 he established a one-party state (which lasted until 1 July 1992), outlawed strikes and created a centralized administration. A one-party state would allow collaboration and unity without any suppression of opposing views he stated. TANU was now the only legal political party in Tanganyika. Once order was restored Nyerere announced the merger of Zanzibar with Tanganyika as a new nation; the United Republic of Tanganyika and Zanzibar came into being on 26 April 1964 with Nyerere as president. The country was renamed the Republic of Tanzania on 29 October 1964.

Nyerere's Approach to Government #2

Nyerere was reelected president of Tanzania in 1965 (and would be returned for another three successive five year terms before resigning as president in 1985). His next step was to promote his system of African socialism, and on 5 February 1967 he presented the Arusha Declaration which set out his political and economic agenda. The Arusha Declaration was incorporated in to TANU's constitution later that year.

The central core of the Arusha Declaration was ujamma, Nyerere's take on an egalitarian socialist society based on cooperative agriculture. (The policy was influential throughout the continent, but it ultimately proved to be flawed.) Ujamaa is a Swahili word which means community or familyhood. Nyerere's ujamaa was a program of independent self-help which supposedly would keep Tanzania from becoming dependant on foreign aid. It emphasized economic cooperation, racial/tribal, and moralistic self-sacrifice.

By the early 1970s a program of villagization was slowly organizing rural life into village collectives. Initially voluntary, the process met with increasing resistance, and in 1975 Nyerere introduced forced villagization. Almost 80% of the population ended up organized into 7,700 villages. Ujamaa emphasized the country's need to be self-sufficient economically rather than being dependent on foreign aid and foreign investment. Nyerere also set up mass literacy campaigns, and provided free and universal education. In 1971, he introduced state ownership for banks, nationalized plantations and property. In January 1977 he merged TANU and Zanzibar's Afro-Shirazi Party into a new national party - the Chama Cha Mapinduzi (CCM, Revolutionary State Party).

Despite a great deal of planning and organization, agricultural production declined over the 70s, and by the 1980s, with falling world commodity prices (especially for coffee and sisal), its meager export base disappeared and Tanzania became the largest per-capita recipient of foreign aid in Africa.

Nyerere on the International Stage

Nyerere was a leading force behind the modern Pan-African movement, a leading figure in African politics in the 1970s, and was one of the founders of the Organization of African Unity, OAU, (now the African Union). He was committed to supporting liberation movements in Southern Africa and was a forceful critic of the Apartheid regime of South Africa (chairing a group of five frontline presidents who advocated the overthrow of white supremacists in South Africa, South West Africa, and Zimbabwe). Tanzania became a favored venue for liberation army training camps and political offices. Sanctuary was given to members of South Africa's African National Congress, as well as similar groups from Zimbabwe, Mozambique, Angola and Uganda. As a strong supporter of the Commonwealth of Nations, Nyerere helped engineer South Africa's exclusion on the basis of its Apartheid policies.

When President Idi Amin of Uganda announced the deportation of all Asians, Nyerere denounced his administration. When Ugandan troops occupied a small border area of Tanzania in 1978 Nyerere pledged to bring the downfall of Amin. In 1979 20,000 troops from the Tanzanian army invaded Uganda to aid Ugandan rebels under the leadership of Yoweri Museveni. Amin fled into exile, and Milton Obote, a good friend of Nyerere, and the president Idi Amin had deposed back in 1971, was placed back in power. The economic cost to Tanzania of the incursion into Uganda was devastating, and Tanzania was unable to recover.

The End of an Influential Presidency

In 1985 Nyerere stepped down from the presidency, in favor of Ali Hassan Mwinyi. But he refused to give up power completely, remaining leader of the CCM. When Mwinyi started to dismantle ujamaa, and to privatize the economy, Nyerere ran interference. He spoke out against what he saw as too much reliance on international trade and the use of gross domestic product as the main measure of Tanzania's success.

At the time of his departure, Tanzania was one of the world's poorest countries. Agriculture has reduced to subsistence levels, transportation networks were fractured, and industry was crippled. At least one third of the national budget was provided by foreign aid. On the positive side, Tanzania had Africa's highest literacy rate (90%), had halved infant mortality, and was politically stable.

In 1990 Nyerere gave up leadership of the CCM, finally admitting that some of his policies hadn't been successful. Tanzania held multiparty elections for the first time in 1995.

Julius Kambarage Nyerere died on 14 October 1999 in London, UK, of leukaemia. Despite his failed policies, Nyerere remains a deeply respect figure both in Tanzania and Africa as a whole. He is referred to by his honorific title mwalimu (a Swahili word meaning teacher).

GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS AFRICA:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Utakuwa ulipatikana kwenye mbio za mwenge sio bure, Muislam mwenye akili sawa sawa hawezi kumtukana Nyerere akamwacha Mwinyi na Kikwete. Ukiwa fair enough mtukane na kikwete pia maana wote hao wana madudu yanayofanana. Tofauti yao ni nyakati tu.

Wewe utueleze hapa tafsiri za misikitini kutaifisha ndio kufanyaje. Waislam wananufaika na elimu itolewayoi kwenye Mashule ya wakatoliki wewe unakuja kuleta stress zako hapa? Huyo ALHAJI KIKWETE mwenyewe amesoma shule za wakatoliki halafu wewe unakuja kumwaga uharo wako. Kapate udhu kwanza ndio uje useme na mimi. Nguruwe we!

Teh teh teh teh!

Ahhhhh mtoto wa bahati mbaya!

Domo lako reeeefu! Kama pono!

Teh teh teh teh! Shule za katoloki shule za katoliki....!

Hebu kaa kimya nikupe darasa! Nyau wa chadema we!
Hizo shule za katoliki unazosema wewe hata mimi nimesoma, tena nimesoma ile shule aliyosoma huyo MUASISI WA MFUMO KRISTO huko tabora! Hizo unazoziita zimetaifishwa!

Hujui hata maana ya kutaifishwa, unaropoka tu!

We unaweza kulinganisha utaifishaji wa yale majumba ya wahindi na viwanda vyao! Na hizo shule za katoliki??

Majumba na viwanda vilienda jumla mpaka leo na kila kiingiacho kutokana na majumba hayo na viwanda hivyo kinakwenda ktk hio serikali yako ya dhulma!

Shule za kikatoliki mpaka leo ada zake. Miradi yake. Viongozi wake. Na wadhamini wake vyoooote vinatoka na kuingia KUPITIA KANISA LA KATOLIKI!

Kama ungekuwa na elimu ungelijua hilo!

Lkn mbulula kama wewe ni makapi tu yamejaa kichwani!!

Ndio nikakuuliza UNAFAHAMU MAANA YA KUTAIFISHWA??

Siki nyingine kabla ya kuja humu jukwaani,
Kwenda kajiunge na elimu ya watu wazima kwanza! Kuku maji we!
 
Hakuwa mdini, agekuwa mdini sidhani kama dini isiyo yake kama Uislam nakadhalika, ingeweza kushamiri Tanzania

KIJANA!
HAKUNA AWEZAE KUZUIA UISLAMU USISHAMIRI.
WACHA NYENYERE! HATA BUSH NA REGAN WAMESHINDWA!
teh teh teh teh!
 
mkuu ww ni mtu mwongo sana, hayo maneno huwa wanaambiwa pale manzese kwenye baadhi ya mihadhara yenu ambapo vilaza ndo huwa wanabeba kama yalivyo, waislamu wenyewe wa ukweli na maintallectuals huwa wanajua. serikali ipi unayoiongelea ww,kwa kukusaidia tafuta kitabu kinaitwa governement directory kaangalie mwenyewe kimya kimya kuna majina ya wafanyakazi walio wengi na namba zao za simu ukiona huwezi ridhika piga simu ukonfirm manake wakat mwingine jina sio kigezo cha dini halafu uje utuondolee hiki kichefuchefu hapa,hii blogu inaangaliwa hata na majirani zetu kama kenya na rwanda kuwa na michango kama yako unatudhalilisha sisi kama watz na pia kama member wa jf aisee

Sasa tazama mbulula mwingine huyu!
Kama wewe una data bora na zinazoongelewa kwenye hayo mahekalu yenu ya laana! Si uzilete hapa watu wazione??
Yaanini unitume mimi nikatafute sijui bla..bla..bla.?
Wewe tuonyeshe kipi ni UONGO NA UTUONYESHE KIPI CHA KWELI!
Simple!!
Domo reeeefu! Busara nehiiii!

Teh teh teh teh!

Nakudhalilisha my foot!
 
dini zililetwa tu mkuu,hata ukitukana sana haitasidia kitu,nimekwambia google govt directory ujionee hao wakuu unaowasema cna muda wa kuanalyze nani muislam nani mkristu, wakat ni pesa,nakushauri tu tafuta pesa uondokane na chuki watu wengi wenye mtazamo kama wako huwa wana frustrations za maisha. finito.
 
Bwana mdogo unaongea na mtu usiweza kujua uwezo wake kifedha wala kielimu!
Siko hapa kwa ajili ya kutetea maslahi yangu binafsi kama mlivyo nyie wagalatia!
Mimi na waungwana wengi wachache waliomo humu jf tunajaribu kuuonyesha umma yale yaliyo fichwa miaka mingi ya dhulma aliyo ifanya huyo mnaetaka kumpa utakatifu!
Sasa km we ulikuwa unafikiri wakati wote wenye kulalamika ni watu wenye shida binafsi! Kwangu mkuu umekosea kabisa!
Kwa mara cheche nilivyo kusoma hapa!
Huenda wewe ukawa ni miongoni wa wafanyazi wangu hapa ifisini tena wenye mshahara wa wastani tu kutokana na kiwango chao cha elimu!

Try someone else young man! .
 
Waislamu mtabaki kulalamika hivyohivyo, kufanya kazi kwa bidii ni sumu yenu.......

Hivi suala la Ustaadhi wa Tanga aliyemzuia Binti asifanye mitihani ya darasa la Saba asije akafaulu ustaadhi akashindwa kumuoa lilindaje
 
Kama mlikua mnampenda sanaa, mnapajua alipozikwa! Pelekeni maua, washeni mishumaa ,mapambio nk!
 
Waislam wengi shule hawakwenda,waliachana na elimu dunia wakakimbilia elimu akhera na ndio maana wamebaki kuwa walalamishi tu kutokana na umaskini unaowatafuna wengi wao.hii sio siri kwani tumeskia na kuona viongozi wao wa juu wa kiserikali wakiwashauri "WAMSHIKE SANA ELIMU WASIMWACHE AKAENDA ZAKE" tangu Mzee Mwinyi hadi sasa.kitu kingine kutokana na kukosa elimu wamekuwa watu wa kuwaza misaada sana hasa kutoka Uarabuni badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujikwamua kimaisha.hebu tazama maeneo mengi yanayokaliwa na waislamu hapa TZ,mfano Tanga,Lindi,Mtwara,Kigoma,Tabora,Ruvuma,Zanzibar utagundua ndio maeneo yaliyo nyuma kiuchumi kutokana na watu wake kuwa wavivu wasiopenda kufanya kazi.huku kwetu kanda ya ziwa kuna maeneo kama Mhunze-Kishapu,Nyanguge-Magu nayo yamechelewa sana kuendelea kutokana na kutopenda kazi kunakoletwa na kukosa maarifa flani.
 
We mwenye jina kama yale mradhi ya zinaa! Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio!
We huna habari asilimia 80% ya matajiri hapa Tanzania ni waislamu?

Wenye kutoa ajira kubwa kwa wananchi wa Tanzania ni waislamu!

Wenye kulipa kodi kubwa kuliko wengine seriakalini ni waislamu!

Wenye kuingiza bidhaa na madawa mbalimbali kwa ajili ya matumizi yako na wazazi wako(kama unawafahamu ofcourse) asilimia 90% ni waislamu!

Na mwisho! Wenye kumiliki vitega uchumi kuanzia viwanda ,mabohari maduka na majengo makubwa yenye kiliingizia taifa mapato makubwa basi wengi wao ni waislamu!

Sasa usilete dharau kwa kusema ni watu wasio na elimu au wako nyuma kimaendeleo!
Hapa tunajaribu kuonyesha ukweli tu wa mambo na HAKUNA ANAE.LALAMIKA!
Mgalatia mmoja usie na busara we!

Cc Tayeb
 
Naam Dr kahtaan!

Naona unawapa vijana darsa hapa!

Nimesoma bayana zako na kwa hakika hawa ndugu wajione ni wenye bahati kwa kuwa nawe japo kwa muda huu kiduchu ulojaaliwa!

Kwani nafahamu kuna watu kibao wanahitaji ilmu na ujuzi ulonao ili mambo yao yaweze kwenda!
 
Last edited by a moderator:
We Mtingaji sijui nani amekutinga!
Upofu wako sio wa macho tu! Bali hata fikra zako zinaonekana zimetingwa na mawazo mgando!
Tukianza kutaja idadi ya waislamu wenye degree mpaka phd tutajaza ukumbi hapa!
Tatizo watu kama nyie akili kuambiwa hata utiwe mikwaju huwezi kubadilika!
Sasa we endelea kuimba hizo nyimbo mlizo fundishwa makanisani!
Sisi tunafanya kazi ya kusafisha huu mfumo kristo tartiiibu!

Tehe tehe tehe!

Huyo ni mpiga vigere gere tu, hasikushughulishe mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh!

Ahhhhh mtoto wa bahati mbaya!

Domo lako reeeefu! Kama pono!

Teh teh teh teh! Shule za katoloki shule za katoliki....!

Hebu kaa kimya nikupe darasa! Nyau wa chadema we!
Hizo shule za katoliki unazosema wewe hata mimi nimesoma, tena nimesoma ile shule aliyosoma huyo MUASISI WA MFUMO KRISTO huko tabora! Hizo unazoziita zimetaifishwa!

Hujui hata maana ya kutaifishwa, unaropoka tu!

We unaweza kulinganisha utaifishaji wa yale majumba ya wahindi na viwanda vyao! Na hizo shule za katoliki??

Majumba na viwanda vilienda jumla mpaka leo na kila kiingiacho kutokana na majumba hayo na viwanda hivyo kinakwenda ktk hio serikali yako ya dhulma!

Shule za kikatoliki mpaka leo ada zake. Miradi yake. Viongozi wake. Na wadhamini wake vyoooote vinatoka na kuingia KUPITIA KANISA LA KATOLIKI!

Kama ungekuwa na elimu ungelijua hilo!

Lkn mbulula kama wewe ni makapi tu yamejaa kichwani!!

Ndio nikakuuliza UNAFAHAMU MAANA YA KUTAIFISHWA??

Siki nyingine kabla ya kuja humu jukwaani,
Kwenda kajiunge na elimu ya watu wazima kwanza! Kuku maji we!

Kahtaan,
Mbona unakwepa kujibu hoja hii apa chini

Link ya MOBHARE MATINYI KATIKA MJADALA WA UDINI
UDADISI: Rethinking in Action: UDINI NA UTANZANIA:TULIPOTOKA,TULIPO,TUELEKEAPO

Utaifishaji wa Nyerere uliwasaidia waisilamu sana kuliko wakristo kwasabafu vitu vingi vilikuwa vyamakanisa na wanyabiasha wakunwa ambao walikua waindi na waarabu. Kunajamaa tulisoma nao ilboru wakawa wanalalamika mboma wakristo wana kanisa wakati waisilamu hawana msikiti wakati shule ilikuwaga ya kanisa. Mtu wakulalamika hakosi sababu.
 
Mkuu ?????....!
Utaniwia radhi hapa! Nilitaka kuku tag lkn kila nikijaribu hili jina lako naigopa kutukana nikapigwa ban!
Alaa kulla hali, kujibu hoja yako ni kama ifuatavyo!
Hii ni zaidi ya mara 15! Nasema kwamba unapotoa hoja, tafadhali sana ambatanisha na ushahidi!
Kama utarejea uzi huu huko nyuma! Nimejaribu kukuwekeeni data kutoka SERIKALINI ZINAZO UONYESHA HUU MFUMO KRISTO NAMNA UNAVYO FANYA KAZI YA KUWADHULUMU WAISLAMU! NA NIKAKIONYESHENI PIA MUASISI WAKE ALIKUW huyo BABA YENU WA TAIFA!

Sasa mr Nyathu..!!?

Kutuletea hadithi za rafiki yako alikuwa anakula maandazi na maembe! Hatutaweza kufika popote na huu mdahalo!!

Na hio link ulio niwekea hapo juu!
Badala ya kujaa ushahidi kama itakikanavyo! Imejazwa mawazo binafsi!
Na hadithi nyiiingi kama zile za kipindi cha MAMA NA MWANA!!

Na hii kitu mimi huwa sipotezi muda wangu hata kujaribu kujibu!

Sasa leta hoja zenye ushahidi ili upate majibu!
Hizo hadithi za rafiki yako alivaa raba mtoni zihifadhi kwa ajili ya wajukuu zako huko mbeleni.

Ahsante kwa kujaribu!
 
Kuna haja ya JF kuweka button ya ku block
 
We mwenye jina kama yale mradhi ya zinaa! Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio!
We huna habari asilimia 80% ya matajiri hapa Tanzania ni waislamu?

Wenye kutoa ajira kubwa kwa wananchi wa Tanzania ni waislamu!

Wenye kulipa kodi kubwa kuliko wengine seriakalini ni waislamu!

Wenye kuingiza bidhaa na madawa mbalimbali kwa ajili ya matumizi yako na wazazi wako(kama unawafahamu ofcourse) asilimia 90% ni waislamu!

Na mwisho! Wenye kumiliki vitega uchumi kuanzia viwanda ,mabohari maduka na majengo makubwa yenye kiliingizia taifa mapato makubwa basi wengi wao ni waislamu!

Sasa usilete dharau kwa kusema ni watu wasio na elimu au wako nyuma kimaendeleo!
Hapa tunajaribu kuonyesha ukweli tu wa mambo na HAKUNA ANAE.LALAMIKA!
Mgalatia mmoja usie na busara we!

Cc Tayeb

Na bado unalalamika kwamba Tanzania ina mfumo kristo wenye kuwakandamiza Waislamu...
 
Last edited by a moderator:
Kahtaan swala la ushaidi nizuri sana. Basi tuanze na swali la utaifishaji wa shule uliwasaidia waisilamu. Na nitaanza kwa kumnukuu MOBHARE MATINYI KATIKA MJADALA WA UDINI.

"Mwalimu akiwa anaongoza TANU na CCM akajenga shule za jumuiya ya wazazi kwenye mikoa ya pwani na hata alipopata msaada kutoka Kuba (Cuba), aliichagua mikoa ya pwani pia kujengewa shule, na ndipo tukapata shule kama Kibiti, Ruvu, n.k. Hata ile ya Waswidi ilijengwa Kibaha. Alifanya hivi kuwasaidia hao mnaowaita waislamu (mimi nawaita Watanzania). Kule kwingine kama Kilimanjaro, wakaamua kujenga shule za binafsi zao wenyewe na ndio maana hadi leo wanazo nyingi. Serikali ya Nyerere haikujenga shule za sekondari kule bali ilijenga hizo chache kwenye mikoa yenye waislamu wengi."

. Je swala kupendelea kujenga shule sehemu za waisilam niuongo, toa mifano ya shule za serekali zilizojengwa kwa wakristo maana mwenzako kashatoa mifano hapo. swali jingine la muhimu pia ni uwiano wa shule za kukristo na shule za kiislamu zilizo taifishwa. watu wengine watachangia pia maana shule zinajulika.
 
Hapa chini narudia nilio yaonyesha huko nyuma! Huenda wewe yalikupita.

Wacha hizo habari za shule za msingi!
Tuanzie kwenye ngazi za juu halafu tuone je! KUNA USAWA HAPA!

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

TAZAMA CHEO NA JUMLA YA NAFASI SERIKALINI

UKAMISHNA- 1
WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9
WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8
WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA mkuu
HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.[/B]

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

sasa hapa nimekuonjesha tu kidogo namna ya HUYO MTAKATIFU WAKO AMBAE AMEISHI MAISHA MAZURI ALIVYO WAFANYA WAISLAMU KTK SEKTA MOJA TU!

HAPO BADO KUNA NYANJA ZINGINE KAMA 19 AMBAZO SINA MUDA WA KUDHIORODHESHA ZOTE HAPA!

Kama ulikuwa hufahamu ukweli! Basi usichukue maneno yangu tu! NENDA KAFANYE UTAFITI MWENYEWE! UONE KAMA DATA HIZI NI ZA UONGO!

I HOPE YOU WILL UNDERSTAND WHY THAT BABA OF YOURS DOESN'T DESERVE ANY PRAISES!

Wacha kumuita BABA WA TAIFA
HAIFAI HATA KUMUITA JIRANI WA TAIFA.
 
Back
Top Bottom