Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Wewe umethibitisha kuwa hawana madhabahu hizo?

Nikushauri kitu kijana,

Jitahidi kuwa unauliza maswali Ili ueleweshwe ktk mambo usiyoyajua,

Kutaka Elimu Kwa njia ya ubishi na ujuaji wa kijinga ,utachelewa sana.

Ungeuliza swali ningefafanua,

Lakini Kwa kuwa umetumia njia ya kijinga, Baki na Ujinga wako kichwani.
Swala la kimadhabau lipo wasi bana
 
Kwamba ukitambika ndo unakua tajiri automatic hizi akili za short cut ni changamoto sana
Maisha sio marahisi hivyo
Hapa duniani kuwa tajiri Kuna njia mbali mbali za kuupata,

1. Njia ya Mungu.

Njia hii lazima utoe ZAKA, ujibidiishe na KAZI Kwa bidii na kusimama katika unyofu na HAKI. Njia hii wengi inawashinda, ndio maana Wana wa Mungu wengi Si matajiri.

2. Njia ya Giza.

Njia hii inahusisha sadaka aina mbalimbali kama Ibada Kwa madhabahu husika.

Wengine hutumia majini, wengine Mizimu, wengine wizi wa CHUMA ulete nk nk. Hapa ni ushindani na mpambano usokwisha. Pesa ni kitu kingine kabisa.

Bidii ya KAZI pia havikwepeki.

3. Wasio na upande, Kwa Mungu hawapo, Kwa shetani Hawa po.

Watu Hawa ni sawa tu na vipofu, kupata na kupoteza kwao ni kugusa, aweza pata pesa na akafilisika anytime, akaibiwa, akatupiwa magonjwa nk nk Ili afilisike.

Si Afrika pekee, WANADAMU wote wasio na Mungu Wana madhabahu, wazungu, wachina, wahindi nk nk.

Ni vyema kama unafanya biashara na ungependa utajiri ukawa na upande, 1 au no 2.
 
Aliyewapa watu wa kaskazini akili na bidii katika kutafuta Mali na biashara ni Mungu wa Mbinguni,

Shetani amewabana wengi kwenye Kona, na kuwaaminisha kuwa Yeye ndio chanzo Cha baraka, utajiri na mafanikio Yao,

Mungu anawataka wavunje madhabahu zao za ukoo, Mila na kabila, waache Kutoa sadaka Kwa miungu na Mizimu na mababu waliokufa,

Wamtegemee na kumtumaini na Kutoa sadaka Kwa Mungu pekee.

Mungu ni MMOJA na Jina lake ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH.
 
Mchaga unayeenda Kanisani jumapili na unafanya Mila na matambiko ya ukoo na Mizimu Ili kulinda pesa na utajiri,

Sahau kuhusu mbingu,

Usipobomoa madhabahu hizo na kujitenga nazo, huna tofauti na waovu wengine,

Mlango na njia ya Mbinguni ni mwembamba sana.

Amen
Hkn mchawi bhnaa
 
Back
Top Bottom