Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

Ni wewe tu mjinga usiyejua uchumi ni suala la kiroho Kabla ya kuwa la kimwili. Wenzako wanatoa kafara kila kukicha bila huruma. Au unadhani wanachoenda kufanya kule Decemba NI kunywa mbege Sio? Pole wewe mgalatia uliyelogwa.
Unataka pesa amua Utafutie ukiwa Kwa Yesu au Kwa Shetani. Hakuna Neutral.
Nenda Kibosho utaonyeshwa watoto walipokuwa wanachinjiwa zamani(butcher)
Kibosho hiyo hiyo wanazika wapendwa wao ndani ya nyumba. Hapo hapo Mzee alipokuwa analala Wakati anaumwa Akifa Ni kitanda tu kinaondolewa anachimbiwa kaburi hapo hapo.
Lingine. Baada ya mtu kufa Wana muda maalumu Wanakaa Wanafukua viungo vyake ndani especially fuvu la kichwa Kwa ajili ya ibada na wanaishi na hilo fuvu ndani Ni kawaida kabisa.
Kuna mengine mengi. Sasa wewe Unataka upate hela kirahisi.
Ufalme wowote ni Lazima upate atakayekutambulisha huko Huingii tu
Angalia saa ya kisasi Wanavyokufa
Ndio kabila linaloongoza kufa Tanzania
Hakuna siku unakosa Maiti si chini ya Kumi Kwa siku zinatoka mikoani zinaenda zikwa
Kama pale njia panda ya Himo ufunge Hesabu Kwa masaa 24 Ndio utaelewa
Kila kitu kina gharama yake. Na wanaokufa ni wale walioanza kufanikiwa au waliofanikiwa. Akishafanikiwa asahau kufika uzeeni
Ataishia hapa 50-60 na wengi ujanani
Ni utajiri Kwa kuzimu Anautoa Lucifer mwenyewe. Kwa Ibada za Matambiko tu. Anakupa alafu baada ya muda anakunyonga iwe ni ajali, iwe ni cancer vyovyote vile Anakuwa na uhalali Kwa sababu umejiunganisha Kwa Ibada Akakubariki ukala vyake Anakuzunguka kukuua. Maandiko wanasema Mwivi haji Ila Aibe , Achinje , Aharibu
Mkuu Juu ya shingo yako umebeba kitu kizito sana tofauti na thamani yake.
 
Mtaendelea kuamini ujinga wa ushirikina huku wenzako wakizichanga kuzipata kwa kutumia akili..nyie ndo mnashindwa hata kujenga kwenu na kuwaacha wazee wenu kweny vijumba vya nysasi mkiogopa eti kulogwa...akili za kimaskini sanaa hizi
 
Acha kuongea vitu vya ajabu mkuu, eti ataishia 50-60.

Afrika Ina tabia ya kuchukia maendeleo na wakishindwa kukuloga bas sumu zinakuhusu.

Yani mkiona huyu kijana katoboa maisha bas ni kumtafutia shabaha mumlambishe mchanga kama mkishindwa kumloga.

Sasa ngoja nikwambie usichokijua...

Mchawi ana mizimu ya kichawi na ndicho kinamlinda mchawi unakuta anaishi miaka mpaka 90, 100.

Kutambikia Kwa mchaga sio kigezo Cha kutosha kumfanya awe tajiri, nakuhakikishia.

Kiu ya kufanikiwa ikishakuwa ndani ya Damu...

Kama kutambikia ndio kigezo na wewe nenda kwenu ukatambike tuone ukitajirika...
Sahih Sana kufanikiwa kupo ndani ya damu liwalo na liwe na kutake risk
 
Na waichi rera cha mbe' ikundi feee
emoji1.png
Nafurahi Sana kuona mnakipiga Cha home mm. Nakikandamiza Cha kikuyu
Hao wakinga wa enzi, hawa watoto wao wanakula bata na kufanya fujo kama zote
 
Back
Top Bottom