Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi

Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi

Ha ha ha mbona nipo sana
hivi umebadili jina? Unajua sikuelewi....
Iiiii mayo Evelyn Salt. Unanifananisha nini? Kama ni jina langu
nilibadili kitambo sana from HYGEIA to SHIEKA.
Kukuambia kwamba kuna jukwaa hujalitembelea siku za karibuni
nina maana yangu maalum ambayo siwezi kukuambia hapa maana
nitashutumiwa kitu fulani. JF naifahamu vizuri sana tangu nijiunge zaidi ya miaka miwili iliyopita.
 
Last edited by a moderator:
Iiiii mayo Evelyn Salt. Unanifananisha nini? Kama ni jina langu
nilibadili kitambo sana from HYGEIA to SHIEKA.
Kukuambia kwamba kuna jukwaa hujalitembelea siku za karibuni
nina maana yangu maalum ambayo siwezi kukuambia hapa maana
nitashutumiwa kitu fulani. JF naifahamu vizuri sana tangu nijiunge zaidi ya miaka miwili iliyopita.

Yap ndo nilimaanisha hilo jina la HYGEIA kumbe ndo janja yako ukakopa hukulipa ukaamua na jina ubadili
tukutane kule kijiweni kwa ugonvi zaidi...
 
mpwa Elli umekosea hapo kwangu...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Elli nawe mtundu kiivi
 
Last edited by a moderator:
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist = MSALANI

*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler Heaven on Earth

*Taipisti ni Printed Document Handler Paloma

*Mesenja ni Business Communications Conveyer Evelyn Salt
*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician sosoliso

*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor Madame B

*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager CHAMVIGA

*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician lusungo

*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer MANI

*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer Juliana Shonza

*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer kabanga

*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist Mentor

*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager miss chagga

*Mpishi ni Food Preparation Officer ICHANA

*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager. lara 1

*Mzibua vyoo ni Foul water eliminator Ritz

*mchepukaji.... happyness seek engineer....... utafiti

*mchwepukaji.... ..happyness provision engineer MankaM

*mwongo......life easy master Invisible

Nimeimalizia tu kuiweka vizuri hii document ya Mpwa wangu, Mjumbe hauwawi. Msinihukumu

Shukrani mkuu
 
Nanihii...mmachinga....Retail Supply Officer

Polisi jamii....Neighbourhood security enforcement officer

Mwokota makopo....Plastics recyling agent

Ma-vyuma vyakavu na mascraper....Metal man
 
Back
Top Bottom