Watu wa profeshino zao...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
3,745
2,000
Pipoooo! Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi. Tuwaite kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao!
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist.
*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler
*Taipisti ni Printed Document Handler
*Mesenja ni Business Communications Conveyer
*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician
*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor
*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager
*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician

*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer
*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer
*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer
*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist
*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager
*Mpishi ni Food Preparation Officer
*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom