Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,880
Nimeipenda imekaa vizuri. Umeipata wapi hiyo? Au ndio ung'eng'e?
Majina yanasound vizuri sana ila mshahara ....
hahahaa...ila mshahara ndio majanga!!
Nimeipenda imekaa vizuri. Umeipata wapi hiyo? Au ndio ung'eng'e?
Majina yanasound vizuri sana ila mshahara ....
hatulalali usiku masikio mwaaa na macho kupata taarifa ... kusutwa ni changamoto tu katika kazi
ICHANA mambo mpenzi... njoo hapa eti tumekaa kishangishangi.... aya mkuu mtazamo wako kwa uwezo wako wa kufikiri ni chanya kabisammeka kishangingi shangingi tu!! hata kama ni uswahili this is too much aisee!!