miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Kuanzia leo skuiti mmbea tena....
hapo sawa kabisa niite research manager
Kuanzia leo skuiti mmbea tena....
Yaaa na raha ya kusutwa uende na shoga ako msutwe wote
Na hapo ndo utakapojua una shoga rafiki or uyoga pindi michambo ikizid
hapo kabisa mwingine anakukana kabisaa wakati umbea mtu wa kwanza kumpa
acha tuu unaishiwa pose shoga anapokukana....heee hapo ndo unajua huyo si shoga ni uyoga siku chache tu hana maana
Copy and Paste
Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi. Tuwaite kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao!
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist.
*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler
*Taipisti ni Printed Document Handler
*Mesenja ni Business Communications Conveyer
*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician
*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor
*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager
*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician
*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer
*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer
*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer
*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist
*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager
*Mpishi ni Food Preparation Officer
*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager.
Ongeza na nyingine...
C.C The Boss Evelyn Salt GKM Kibo10 miss chagga charty Karucee utafiti
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist = MSALANI
*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler Heaven on Earth
*Taipisti ni Printed Document Handler Paloma
*Mesenja ni Business Communications Conveyer Evelyn Salt
*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician sosoliso
*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor Madame B
*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager CHAMVIGA
*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician lusungo
*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer MANI
*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer Juliana Shonza
*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer kabanga
*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist Mentor
*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager miss chagga
*Mpishi ni Food Preparation Officer ICHANA
*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager. lara 1
*Mzibua vyoo ni Foul water eliminator Ritz
*mchepukaji.... happyness seek engineer....... utafiti
*mchwepukaji.... ..happyness provision engineer MankaM
*mwongo......life easy master Invisible
Nimeimalizia tu kuiweka vizuri hii document ya Mpwa wangu, Mjumbe hauwawi. Msinihukumu

Ubaraikiwe sana sana nimemsaidia tu Mpwa wangu Bulldog kuiweka vizuri maana laptop yake iliisha chajiHa ha ha mpwa nimecheka hadi basi...
Have a blessed day...
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist = MSALANI
*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler Heaven on Earth
*Taipisti ni Printed Document Handler Paloma
*Mesenja ni Business Communications Conveyer Evelyn Salt
*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician sosoliso
*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor Madame B
*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager CHAMVIGA
*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician lusungo
*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer MANI
*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer Juliana Shonza
*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer kabanga
*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist Mentor
*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager miss chagga
*Mpishi ni Food Preparation Officer ICHANA
*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager. lara 1
*Mzibua vyoo ni Foul water eliminator Ritz
*mchepukaji.... happyness seek engineer....... utafiti
*mchwepukaji.... ..happyness provision engineer MankaM
*mwongo......life easy master Invisible
Nimeimalizia tu kuiweka vizuri hii document ya Mpwa wangu, Mjumbe hauwawi. Msinihukumu
Evelyn Salt, kuna jukwaa moja hapa JF hujatembelea siku za karibuni!Aseee hii iko poa sana....
Evelyn Salt, kuna jukwaa moja hapa JF hujatembelea siku za karibuni!
Jiandae kula ban hapo namba 18. Pia sahihisha bold kwenye namba 16 na 17. Hiyo lugha haijakaa vizuri*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist = MSALANI
1*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler Heaven on Earth
2*Taipisti ni Printed Document Handler Paloma
3*Mesenja ni Business Communications Conveyer Evelyn Salt
4*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician sosoliso
5*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor Madame B
6*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager CHAMVIGA
7*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician lusungo
8*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer MANI
9*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer Juliana Shonza
10*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer kabanga
11*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist Mentor
12*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager miss chagga
13*Mpishi ni Food Preparation Officer ICHANA
14*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager. lara 1
15*Mzibua vyoo ni Foul water eliminator Ritz
16*mchepukaji.... happyness seek engineer....... utafiti
17*mchwepukaji.... ..happyness provision engineer MankaM
18*mwongo......life easy master Invisible