Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,438
- 14,921
Hiyo kitu nadhani mngeibadilisha maana kwa haraka haraka ikitamkwa inapelekea mawazo ya mteja kwenda tigo pesa,Kumbuka vifurushi hivi vinapatikana kwenye huduma ya T PESA.
Semeni hata TL PESA.