Yaani nilikua nawaaminia ila sasa basi yaani katika suala la customer service mpo nyuma sana naweza sema nyinyi ni matapeli mlojawa ukatili wa hali ya juu, vocha zenu pia zina viwango vya chini mno, yaani unakwangua namba hazionekani then mnapgiwa hamtoi msaada, nawafuata ofisini pia mnashindwa kunisaidia mnasema mtanipgia cmu. Hadi sasa ni week hamna simu wala sms na hii inaenda ni week 2 tokea nimeanza kuimba msaada wa voucher yangu lakn hamtak kunisaidia, hamjui tu ni kwasababu gn nilinunua voucher. Mimi nitamshtakia tu mungu muweza wa yote nyinyi simnataka kunidhurumu 2000 yangu, Inshaallah mungu atanilipia