TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

Hua napata download speed ya hadi 2.5Mbs/sec hivo kitu cha MB100 nadownload kwa chini ya 1min
 
UKu mikoani mpaka ukiwa karibu na minara yao ndo unapata 4G majanga kweli
 
kwa 4g ttcl hana mpinzani ...na sasa hivi wamefika A town , mwanza sasa hivi naenjoy hapa,wapo moro,wapo zanzibar,WAPO MBEYA,KIBAHA...mdogo mdogo watafika tu kampuni ilihujumiwa sana na investment waliofanya ni hela zao za makusanyo hawapewa mtaji wowote na serikali...........kwa kweli wakimaliza coverage jiji lote la mwanza voda, airtel itakua kuishney mana huku mikoani ukiondoa dar jamaa wanazingua mno kwenye data 3g yenyewe ni shida kupata hata a hapa mjini...nilivoambiwa minara ya 4g ttcl wameshaweka TOWN,IGOGO,NYAKATO, NYEGEZI ,GHANA nilikimbilia laini yao haraka na kwa kweli na enjoy sana ....mi siangaliii gharama naangalia ubora.........hawa jamaaa wakipata mtaji wakiweka coverage nchi nzima ndio tutaona mpambano vzur
Mi naishi hapa A town ebu nijuze ntazipataje laini zao?.
 
Yah wako poa.. ninanunua mm GB 7 kwa sh ef 5 mwez duration yake. Zile social nets ni free hadi insta-unlike other nets ambao wao ni WTF tu- na hata data bundle ikiisha, unaendelea kupata social nets hadi expiring ya muda
 
Hivi CMOS battery za DELL aina ya Desktop naweza kupata wapi hapa mjini mkuu
kama alivyoshauri mdau hapo juu machinga ndio unapata vitu vingi au likoma kariakoo kuanzia likoma na uhuru elekea kanisa la kkkt kuna maduka mengi pale hukosi.
 
Back
Top Bottom