Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,065
- 43,496
bila shaka wewe ni mwajiriwa/mkereketwa wa TTCL, waambie waache mambo uchwara kama ya tigo watoe huduma nzuri kama wanavyoadvertise yani hata video conferencing inashindakana?
U-Bashite tu
sasa kama watu wame advertise wanapika wali mtamu then wewe ukaenda hotelini ukaagizia ugali then unalalamika ugali sio mtamu na kuwalaumu matangazo yao kosa ni la nani?
hili ni jukwaa la technology huwa hatuandikii mate,
1. onyesha proof kwamba unatumia huduma ya TTCL 4G na sio business package ambayo ni dedicated kwa speed hio.
2. eka screenshot ya speedtest ya hio 4g.
kama huwezi kuprove usiwatuhumu watu kwa vitu usivyovijua.