TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

kwa 4g ttcl hana mpinzani ...na sasa hivi wamefika A town , mwanza sasa hivi naenjoy hapa,wapo moro,wapo zanzibar,WAPO MBEYA,KIBAHA...mdogo mdogo watafika tu kampuni ilihujumiwa sana na investment waliofanya ni hela zao za makusanyo hawapewa mtaji wowote na serikali...........kwa kweli wakimaliza coverage jiji lote la mwanza voda, airtel itakua kuishney mana huku mikoani ukiondoa dar jamaa wanazingua mno kwenye data 3g yenyewe ni shida kupata hata a hapa mjini...nilivoambiwa minara ya 4g ttcl wameshaweka TOWN,IGOGO,NYAKATO, NYEGEZI ,GHANA nilikimbilia laini yao haraka na kwa kweli na enjoy sana ....mi siangaliii gharama naangalia ubora.........hawa jamaaa wakipata mtaji wakiweka coverage nchi nzima ndio tutaona mpambano vzur
 
Washkaji zangu wa Ujanja ujanja Lazima Waisome Namba Kuanzia Sasa Mpaka huko tuendakooo.... Tumeibiwa saana sisi watumiaji wa internet.. Sasa Imetosha Narudi kwenye UZALENDO kwa kupata huduma bora ninayostahili
 
Kwa eneo nililopo Hakuna tofauti ya 4g na 3g
 
Ukijiunga hiki kifurushi kwa line ya chuo tegemea speed kuwa ndogo saaana. Ila laini hiyo hiyo weka kifurushi cha kawaida cha mwezi elfu 25 speed inakuwa mzuri sana. Nimewahama halotel kwa huu ubabaishaji wao.
Kifurushi cha elfu 25 unapata gb ngapi mkuu?
 
mkuu kila mtu na matumizi yake, hao TTCL wame target watu wao na Halotel watapata watu wao, mfano nataka kustream mpira full HD nitatafuta 4g sababu najua speed yake itanifaa, wewe unajali zaidi quantity kuliko quality hilo ni soko jengine. na kama unajali zaidi quantity kwa mawazo yangu hakuna mtandao unaoipita airtel kwa tanzania. Tsh 600 unapata 1.2Gb au 1000 unapata 2gb na usiku sh 600 ni 10gb, kama umewahi ona mtandao kama huu nijulishe.
Kumbe airtel hawana 4G, sasa zle modem zao za wingle magic cjui ni za kazi gani while network ya 4G hawana
 
Mimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
Dah! Mkuu, yaani GB 1 tu kwa wiki nzima halafu unasema wana spidi nzuri!.. you can't be serious kwa kweli. Nadhani inawezekana hata hiyo 4g yao ina mwendo wa kobe kama kawaida yao!..
 
Dah! Mkuu, yaani GB 1 tu kwa wiki nzima halafu unasema wana spidi nzuri!.. you can't be serious kwa kweli. Nadhani inawezekana hata hiyo 4g yao ina mwendo wa kobe kama kawaida yao!..
hichi unachokisema kipo right kwa upande mmoja kuna mtu alikuwa analalamika data chake cha data kinaisha mapema nikaingia data usage nikakuta kwa siku hyo peke yake ametumia Mb 800 na point kwenye instagram
Instagram na data plan ni ugali na mgonjwa
 
Hiyo SMART inacover vijiji vyote mkuu?
sio vyote ila wana coverage kubwa sana ya 3g, Tafuta simu yenye quad band za 3g halafu uiangalie kama ipo kwa kusearch network.

flagship zote za karibuni zina quadband, simu kama galaxy s2, s3, s4 mpaka s7, lumia zote etc usitumie simu za kichina nyingi hazina band za smart
 
Back
Top Bottom