Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 1,037
- 2,458
Sawa mzee?? Yaan miaka 28 Ni mtoto hyoPoleni sana.
2004 nilikua tayari nipo kitengoni, nilikua nchi mojawapo ya ulaya kwa kazi maalum.
Sawa mzee?? Yaan miaka 28 Ni mtoto hyoPoleni sana.
2004 nilikua tayari nipo kitengoni, nilikua nchi mojawapo ya ulaya kwa kazi maalum.
Ni hatari Sana!Umejitetea haraka 😅😅😅
Shibe na wewe ni wa 2000 na ngapi?Ni hatari Sana!
Mm ndo maana niliachaga ukorofi nilipogundua kuna babu zangu humuAchilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
Huyu WA 99Hiyu labda ni wa 97 au 96
Shikamoo bro2005 nipo nyumbani baada ya kumaliza chuo mwaka mmoja nyuma
Mimi sio mkubwa kivile ila huyu ni mdogo wangu wa mwisho😁Huyu WA 99
Tatizo watu wazima wanapenda kuact kama vile peke yao ndio wapo smart. Kumbe la hasha. Even fools get oldAchilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
Kaka shikamoo2005 nilikua nafanya kibarua Namanga.
2005 nipo nyumbani baada ya kumaliza chuo mwaka mmoja nyuma
Mimi WA 70 kama lile dingi lilinitukana nikalipotezea Kumbe Lina umri sawa na Baba yangu halafu akili za kitoto😎😎😎😎Shibe na wewe ni wa 2000 na ngapi?
HahahaNa uzee wote huo unashindaje mitandaoni asubuhi hii
Sina pakwenda 😬Na uzee wote huo unashindaje mitandaoni asubuhi hii
Hahahhaa wewe katoto ka alfu mbili😅Mimi WA 70 kama lile dingi lilinitukana nikalipotezea Kumbe Lina umri sawa na Baba yangu halafu akili za kitoto😎😎😎😎
Ki JF unakuta anakutolea mbovu Kaka Yake anakufundisha maisha🤓🤓🤓🤓Mimi sio mkubwa kivile ila huyu ni mdogo wangu wa mwisho😁
Ki JF unakuta anakutolea mbovu Kaka Yake au anakufundisha maisha🤓🤓🤓🤓Mimi sio mkubwa kivile ila huyu ni mdogo wangu wa mwisho😁
Kuna kitoto cha 2006 kiliniambia sina kazi za kufanya nashinda jf🤣🤣Ki JF unakuta anakutolea mbovu Kaka Yake anakufundisha maisha🤓🤓🤓🤓