shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,825
- 13,620
Hapana 199........Hahahhaa wewe katoto ka alfu mbili😅
Hapana 199........Hahahhaa wewe katoto ka alfu mbili😅
6 au 5Hapana 199........
Huo ujasiri sijui Huwa vinaupata wapi hivi vitoto!!!Kuna kitoto cha 2006 kiliniambia sina kazi za kufanya nashinda jf🤣🤣
Sina pakwenda 😬
Mtu mwenyew miaka 28 unasema mtoto? Are you serious???Sina pakwenda 😬
Miaka miwili baada ya kumaliza elimu ya msingi, muda haungoji aisee!Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi
Sikwambii ng'ooo🤓🤓🤓6 au 5
Sema humu binafsi napenda wote tuwe sawa tu🤣🤣Huo ujasiri sijui Huwa vinaupata wapi hivi vitoto!!!
We wa kusoma ndo uite wenzio madogo😆Duh huku tupo na madogo mno😅
Leo ndo nimejua Tz ishawahi kupata Tsunami.Duh huku tupo na madogo mno😅
Elimu haina mwisho 😅😅We wa kusoma ndo uite wenzio madogo😆
Ndo Raha ya JF hiyo!humu unachart na kina mwigulu wakizingua unawapa za uso kiroho safi Tu!Sema humu binafsi napenda wote tuwe sawa tu🤣🤣
Nimetania tu bwashee... Wakati huo nilikua na miaka 142004 hukuwepo bwashee?🤣🤣
Wewe ndio Kisungura kabisa😅😅😅Leo ndo nimejua Tz ishawahi kupata Tsunami.
2020 kuna mkali mmoja nilifanya nae mchongo mmoja, ikabidi tuonane mpaka nikatetemeka alivyo mtu mzima , now hata akini reply kitu sijibu naishia kucheka au kulike tu😅Ndo Raha ya JF hiyo!humu unachart na kina mwigulu wakizingua unawapa za uso kiroho safi Tu!
Mbona hata Mimi sijui! nikajua anazungumzia tsunami la Japan!Leo ndo nimejua Tz ishawahi kupata Tsunami.