Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #81
nakubali kabisa tupo tofauti, hoja yangu ni kwamba, kama mwenzio hataki ukutane na x kwa nini unakutana naye?Labda wewe hivyo ni ndivyo ulivyo. Lakini kwa wengine hayo mambo ya kukutana na ex huleta mifarakano sana.
Kwa wale ambao huamini kwamba 'old flames are easy to reignite', kukutana na ex kunaweza kukawapa jakamoyo sana.
Mwenzio anaweza kupatwa na mawazo mengi - je, ina maana walikutana kwa bahati mbaya tu au walipanga wakutane?
Kama walipanga wakutane basi ina maana huwa wanawasiliana. Na kama huwa wanawasiliana huwa wanawasiliana kwa kiasi gani na kwa njia ipi/zipi?
Na walipokutana walizungumzia mambo gani? Na walikutania wapi? Na walipoagana, je, walipanga miadi ya kukutana tena?
Kama walipanga hiyo miadi, ni lini, wapi, na muda gani watakutana?
Hahahaa unaona sasa madhila unayoweza kumsababishia mwenzio....?
Kuna tija kubwa tu, kwa sababu akija kujua kuwa umemficha hilo litakuwa kosa kubwa zaidi
Pia kama najua mwenzangu hapendi nikifanya kitu fulani, bora nikifanye akiwa anajua, kuliko nyuma ya mgongo wake
Good for my conscious
ha haaa, nimekupata Mathcom....Ukiona mtu anakudanganya kwamba anaenda sehemu fulani kumbe haendi huko bali anaenda kwengineko, basi wewe mke utakuwa na negative attitude na hiyo sehemu (labda hamuelewani vizuri na wifi zako) sasa anahisi akikwambia anaenda huko utakasirika na utahisi kana kwamba atakwenda kujazwa maneno ya kinafiki ambayo yatahatarisha ndoa yenu, na mfano wa hivyo.. Mimi mawazo yangu ni kwamba wanandoa hawatakiwi kuwa na "conflict of interests" muwe kitu kimoja murekebishe penye tatizo, basi kudanganywa hakuna tena.
Kitu ambacho wanadanganya ni kimoja tu, pindi iwapo anaenda au ametoka kwa "nje ya ndoa" hapa piga ua hakuna kusema ndio, vinginevyo vyoote vinatekelezeka...
ha haaa, naona siku hizi kuna viwango viwili tu, ukisoma uzi ambao sijui kama una access nao ngoja tumwulize Mike McKee kama na nyie nk anaweza kuusoma ule uzi....Mboa simu za hivyo zipo ila ni watu wachache walio nazo. Labda tuwape hili wazo Made in China watusaidie kututengenezea mpaka Nokia tochi ziwe na huo uwezo wa kumuona mwenzio pale mnapoongea nae kwenye simu.
Ngoja nichakachue mada kidogo
Hivi Jf mmeppunguza wiwango vyakua-Premium member sanasana Tanzanite member?
CC: Bishanga, BAK, Superman na @FP.
ha haaa, umeona eeeh!Kuna uongo mwingine wa kuficha miradi na akaunti za benki
Mie najishangaliaga tu
SIku unakufa mali zinapotea.
Ila kuna wengine kudanganya ni hobby, hawezi acha.
ha haa, binamu huo uongo wa majanga hata mimi nimesema naukubali, kwenye majanga there is no way utasema ukweli, utaonekana mwehu ukisema ukweli
ha haa, binamu mimi naamini chochote kile unachofanya nje ya ku-cheat unaweza kukisema kwa ukweli, uongo unaingia sababu hilo.....kwa mahusiano ya mapenzi...binamu tunatakiwa kuwa wa kweli kwa kila kitu ili tumwaibishe shetani lakini sasa!!.... sasa... kigugumizi camp.... mahusiano yatabaki salama? tufanyeje ili kuepuka uwongo? au watoto wetu wasijekuwa kama thithi wathathi wao??
ha haaa, huyo shosti kabobea kwa kamba? maana mashosti wengine ni wazuri kwenye hizo anga! mpaka unachoka kuwasikiliza yaaniNgoja nikamlete shosti mmoja aje asome hapa. Na nimejenga ghorofa bagamoyo na Paw hajui. Sijui nivunje kikombe?
Ukikubali yeyote usiemzaa akupe stress, atakustress hadi mzazi wako akikuona asikutambue.....just saying.
ha haaa, nina masalamu yako mengiiiiiii, kuyapata ni mpaka uni-call, lol!
bribe hizi zitaisha kweli?
hivi gfsonwin sauti imepona? maana the big day si ndo kesho? tunakuombea mwaya
nakubali kabisa tupo tofauti, hoja yangu ni kwamba, kama mwenzio hataki ukutane na x kwa nini unakutana naye?
sasa kale kamurrano ulikonidanganyishia siku ile kuwa ni kako ilikuwa kunirusha roho au!Ngoja nikamlete shosti mmoja aje asome hapa. Na nimejenga ghorofa bagamoyo na Paw hajui. Sijui nivunje kikombe?
Ukikubali yeyote usiemzaa akupe stress, atakustress hadi mzazi wako akikuona asikutambue.....just saying.
ha haaa, hiyo tuiite rushwa au takrima?ahahahhahha ukiutendea hiv mti mkavu na mbichi itakuwaje!
yani wewe ni wa kunipiga mimi cha juuu!
ahahahhahahha siamini macho yangu!
ila bora tu umeniambia wazi kuliko kunidanganya!
basi mantakoff mradi ni salamu kutoka kwa Kaizer et al nitakucall tu!
mie tena!
pan' chezeeyeier mimi!
na hilo siyo kosa. unaweza kuamua umwambie au usimwambie maana mmebambana tu wala hukuwa na dhamira ya kukutana nayeKuna kukutana kwa kupanga na kukutana kwa bahati tu sehemu kama dukani, sokoni, au kwenye daladala.
Hii ya pili ni ngumu kuidhibiti.
Ndugu yangu Gaijin,
Katika maisha haya, siyo watu wote tunaona kitu cha blue kwamba kweli BLUE...kuna wengine wana rangi zao ambazo wanazijua wao. Halafu tunaishi kadri ya tulivyo-evolve hadi kufikia wakati huu.
Kwangu mimi, kunambia vitu vidogo vidogo tena ambavyo unajua fika vitaniumiza, bora usinambie kabisa. Na hata nikijua, I won't be irritated kwani mwenzangu kachukua walau hatua kuto-hurt feelings zangu...
Huyo ndiye mimi...as long as hivyo vitu havina tija kwenye mahusiano yetu na havigusi misingi mikuu ya relationship yetu...I will not bother at all!!
Babu DC!!
hili ni swala jingine kabisaaaaa, lina uzito wake mkubwa sana....Je na kukagua simu kila siku kila dakika na e mails je hiyo nayo imekaaje?