Trust katika Mahusiano

Trust katika Mahusiano

Aahhhhh unaumiza sana i see.....unabaki unamwangaliaaa na kujifanya kweli hujui hesabu za kujumlisha....na unaendelea kupata faida na kumjua zaidi bila ya yeye kujijua mwisho wa siku you tell him all...but bado ataweka uongo mwingi kujitetea.

Trust ni muhim sana kwenye mahusiano...kuwa mkweli kwa vidogo ili uaminiwe katika vingi
hilo ni muhimu sana sana. imagine unakuwa na mtu anakusikiliza tu kila unachomwambia anajua huyu ananidanganya tu........ hata haipendezi, ndo maana mashostito wanaweza kukukimbia sababu wanaona kila unalolisema ni la uongo......
 
Umeona eeeeh, na wakati mwingine ukimuona jamaa ana shost na shost mwenyewe anaona kafikaa...and you know how jamaa alivyo pretty layer you just feel pity loh
 
umeona eeeh! hebu fikiria wewe mama mchungaji ndo unakutana na zali kama hilo, hebu nipe hinti utachomokaje?
Nina tatizo moja la kutokuweka kitu moyoni hasa kinachoumiza kama hiki. Sikupenda kuonyesha msimamo wangu lkn kwa vile umeniuliza ngoja niuseme. Kama mimi ikitokea hivi nitajitahidi kukaa na kitu hiki kwa muda nikiangalia mazingira mazuri ya kuliongelea hili. Sintamwambia kua nimeambiwa na rafiki yangu bali nitatumia evidence ya hicho alichokuta kwenye wallet. Pia nitajifanya nilimuona maeneo hayo ya magomeni na kufafanua nguo alizovaa. Nitafika huku kote iwapo kama ataleta ubishi. Kama atanipa maelezo ya kuridhisha basi nitamsamehe na kumshauri kua uongo wa aina hii una athari kubwa kwenye mahusiano yetu na kumuomba avae kiatu changu ie kama angekua yeye angefanyaje. Naamini kama mtu huyu kweli ni mwamini basi tutayamaliza kwa amani.
 
Mmh hii ngumu kumesa walah. Uongo wa aina hii unaumiza sana na sijui kama unaweza kumuamini tena. Nadhani utafikiria mengi sana na ni haki yako.

Sisi wakina mama tunavumilia mengi sana ndani ya mahusiano basi tu....but as u said ngumu tena chungu kumeza.....utawaza wala majibu usiyapate.
 
Umeona eeeeh, na wakati mwingine ukimuona jamaa ana shost na shost mwenyewe anaona kafikaa...and you know how jamaa alivyo pretty layer you just feel pity loh
ha haaaa, lol! jaribu kumwambia uone moto wake....
yatakukuta haya
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
umeshakua, umeshayaona.... la maana zaidi ni kujifunza na kusonga mbele...... hakuna kulialia

Ahhah...kulia tena mpendwa.....nooo i see big nooo...life is tooo short jamani loh...ni kusonga mbele tu i see.
 
ha haaaa, lol! jaribu kumwambia uone moto wake....
yatakukuta haya

Ha ha ha haaaaaa FP wewe ulikuwa rohono mwangu......huu wimbo naupendajeeee....apart from content ya wimbo hawa wadada wamevaa uhusika vilivyo...na walivyo wazuriiii.....Frankly speaking huu wimbo NAUPENDA SANA SANA
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
unamwambia mpenzi wako unafanya diet kumbe kila siku unakula kitimoto kilo mbili
 
sikukatishi tamaa rafiki....
mbona nayajua mapenzi yako makubwa kwa rafiki? huwezi kumwacha njiani.... mwambie tu kesho akuletee kitambulisho chako
ha ha ha ha ha! umeniamulia shosti! vibaya hivyo ujue!
 
Sisi wakina mama tunavumilia mengi sana ndani ya mahusiano basi tu....but as u said ngumu tena chungu kumeza.....utawaza wala majibu usiyapate.
My dear hii ngumu mno . Wamama wanavumilia mengi na hasa wenzi wao wanapokua na tabia ya uongo kwenye issue sensitive namna hii inakatisha tamaa. Binafsi naona ni vema kumueleza alichokuambia kua haukua ukweli na alikua anafikiria nini kusema hicho. Ni bora ajue najua kaniambia uongo kuliko kuweka moyoni.
 
wewe mbu hakuna uongo unaoepusha majanga bana..... unaweza epusha kabla haujajulikana, ila baada......

..... Unajua, kuna watu ukiwaambia ukweli saana (kwa kila jambo,) inawauma sana.

Katika scenario hii yako, aliyedanganywa nae anapaswa ajiulize kwanini 'anaonekana' anastahili kudanganywa, kabla hajamhukumu aliyemdanganya.

It takes two.
 
My dear hii ngumu mno . Wamama wanavumilia mengi na hasa wenzi wao wanapokua na tabia ya uongo kwenye issue sensitive namna hii inakatisha tamaa. Binafsi naona ni vema kumueleza alichokuambia kua haukua ukweli na alikua anafikiria nini kusema hicho. Ni bora ajue najua kaniambia uongo kuliko kuweka moyoni.

Halikuwa la kulinyamazia kinya rafiki...but nilihitaji energy na utulivu....sikutaka kulizungumza nikiwa na hasira.....but i told him straight to his face...siku ambayo hakutegemea
 
Back
Top Bottom