Trust katika Mahusiano

Trust katika Mahusiano

Huu uzi nimechelewa kuchangia, leo nilikuwa tait sana.
Bahati mbaya once mtu anapoanza kusema uongo anajikuta ni lazma aseme uongo wa pili ili kukava uongo wa kwanza, na kusema tena uongo wa tatu ili kukava uongo wa pili so inakuwa ni tabia endelevu.
Mtu muongo siklu zote hayupo huru katika mahusiano yake. It's like time bomb.
 
Back to the point FP naweza sema uongo na kutokuwa na uaminifu katika mambo madogo madogo kunaumiza sana siyo siri.

To my experience kuna siku baba wa mwanangu/mzazi mwenzangu alipata kazi ambayo ilimfanya kuwa anasafiri safiri saana.

Siku akasafiri...but wakati yuko safarini akanicall kuwa wameibiwa na wenzake hotel...na wameaiba wallet na ATM zote na pesa na blah blah nyingi....nikawa najaribu kuhoji mazingira ya kuibiwa hotel nikirelate na mazingira ya hotel waliyofikia nikawa simuelewi it was in Moshi...but ndo shapenda tena mzee youko stranded kaibiwa kwa roho saafi nikatuma hella kidogo zimsaidie...loh.

Baada ya siku moja napigiwa simu na rafiki yangu...haa KOKUTONA nimemuona shemeji maeneo ya MAGOMENI, mnakuja mjini hamtuambiii....karoho kakaanza kudunda. Moshi na Dar wapi na wapi? Nikamuuliza umemuona kweli au wanrusha roho, she asured me na kunitajia nguo alizovaa...and she said alishindwa kumsalimia coz alikuwa kwenye dala dala....uongo huoo

Arivyorudi nikampokea pole na safari karibu...nimeletewa na zawadi zawadi zinazofanana na moshi...namuuliza ulipata wapi hela nawe uliibiwa plus pole na ahsante kibaao anasema ofisi ili refund gharama zote...kichwani mwangu namfikiriaa

Jioni ya siku hiyo kuna match...kaoga kala, kaenda kuangalia MAN U...haraka zake kasahau wallet....napanga vitu nakutana nayo roho yandunda ujue...niangalie nisiangalie....sinaga mazoea ya kupekua visivyonihusu but nilipata force ya kufungua....

Cha kwanza kukutana nacho ni bahasha ndogo zilee za kuwekea passport size imepigwa muhuri nje...wa photo studio iliyopo magomeni ndani nakutana na passport zake amevaa shati lile lile nilioambiwa alikuwa kavaa...mmmh nikajigunia nikaendelea....

Chapili nikakutana na temporary ID ya kuchukulia hela dirishani km huna ATM card iliyo processiwa bank ya dar es salamu...zote zina tarehe ile ile ambayo rafiki yangu alimuona na to remaind u jana yake alikuwa moshi na usiku wa kuamkia hiyo siku ndo aliibiwa..huko Moshi....

Kanidanganya....nikaukubali uongo km ukweli then mimegundua alinidanganya...hata km nampenda kuliko roat ya kuku nitamwamini tenaaa eti? Dark City hebu nambie hapo..tija au si tija...imesaidia nini zaidi ya maumivu ya moyo?
 
Last edited by a moderator:
jichekee mwaya! dunia ina miujiza na mitihani! ila hii ni mitihani ya kujitakia! utasikia oooooooo mume wangu yupo kwenye research za kufa mtu nchi za asia! kumbe puuuuuuuuu kapigika mbayaaaaaaa kutwa kujisifia! jamani tubadilikeeeeeeeeeee! bora uwadanganye mapacha wangu, mtu mzima mwenzio kweli?
ha haaa, hala hala siku usije kutana naye kariakoo anabeba mizigo ya viazi.......
kwani eti kukaa nje ya nchi ni deal? maana mimi hata sielewi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huu uzi nimechelewa kuchangia, leo nilikuwa tait sana.
Bahati mbaya once mtu anapoanza kusema uongo anajikuta ni lazma aseme uongo wa pili ili kukava uongo wa kwanza, na kusema tena uongo wa tatu ili kukava uongo wa pili so inakuwa ni tabia endelevu.
Mtu muongo siklu zote hayupo huru katika mahusiano yake. It's like time bomb.
umeona eeeh!
inabidi uwe expert wa uongo..... hilo nalo ni janga, lol!
 
jichekee mwaya! dunia ina miujiza na mitihani! ila hii ni mitihani ya kujitakia! utasikia oooooooo mume wangu yupo kwenye research za kufa mtu nchi za asia! kumbe puuuuuuuuu kapigika mbayaaaaaaa kutwa kujisifia! jamani tubadilikeeeeeeeeeee! bora uwadanganye mapacha wangu, mtu mzima mwenzio kweli?

weeee mwali weeee kwan wewe ndo mwajiri wa mumewe??
ama anakujaga kuomba unga kwako?? mwache ajisifie na mumewe na wewe mbona humsifii wakwako hahahahahahah!
hivi hujanipa updates umepona ile habari ya aga kani??
 
Nipate vizuri mdogo wangu...

katika mambo yote ya msingi ya mahusiano yetu...UKWELI UKWELI UKWELI siku zote...

katika mambo petty petty na yasiyo na tija...hakuna hata haja ya kuyaongelea.

Babu DC!!

Haya babu mekuelewa....
 
tunakusubiri mamii.....
lakini hilo la cheating litakuja kivingine..... hapa tuongelee ya kawaida tu

I tried my level best kulifanya la kawaida....swali kwanini alidanganya yuko moshi akati yuko dar? aliibiwaje? may be Mungu kamuangaza kwa kunidanganya....hah haaa....aliyesema sometimes mahusiani ni complications hakukosea.
 
ha haaa, naona KOKUTONA umeelewa kuliko mwalimu, lol!
hilo haswa nilikuwa nalimaanisha. hapo sasa mtu unabaki na maswali kibao, kwa nini aseme anaenda moshi wakati anaenda dar? kwani angeniambia anaenda dar nini kingetokea?
asante sana kwa story ya ufafanuzi na pole sana kwa yaliyokusibu.... uongo wa hivi huwa unaniuma sana sana maana nahisi mtu anadhani mimi ni mjinga fulani siwezi hata hesabu za kujumlisha
 
Last edited by a moderator:
huu uzi huuu FP mie yule atanioa tu maana kulia majanga kushoto hapaeleweki.ila namchukia vibaya cjui nimerogwa nimchukie
Afterall ni mzuri,ana cash,katulia,future ipo na kanivumilia madudu yangu miaka yote.
Kubwa nilimkubali pale alipoletewa nyama ya mtu mzima akamtoa nishai.
Ila jamani uongo unauma sana
 
Last edited by a moderator:
weeee mwali weeee kwan wewe ndo mwajiri wa mumewe??
ama anakujaga kuomba unga kwako?? mwache ajisifie na mumewe na wewe mbona humsifii wakwako hahahahahahah!
hivi hujanipa updates umepona ile habari ya aga kani??
ha haaa, sijui kama shostito wangu cacico hapa atakosa jibu, ndo namsubiria hivyo.......
 
Last edited by a moderator:
......angalau ya uongo ufananao na ukweli, kidogo waepusha majanga.
 
I tried my level best kulifanya la kawaida....swali kwanini alidanganya yuko moshi akati yuko dar? aliibiwaje? may be Mungu kamuangaza kwa kunidanganya....hah haaa....aliyesema sometimes mahusiani ni complications hakukosea.
Exactly, hayo ndo maswali niliyouliza kabla sijasoma hii post yako, kwa nini adanganye location? kwa faida ya nani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back to the point FP naweza sema uongo na kutokuwa na uaminifu katika mambo madogo madogo kunaumiza sana siyo siri.

To my experience kuna siku baba wa mwanangu/mzazi mwenzangu alipata kazi ambayo ilimfanya kuwa anasafiri safiri saana.

Siku akasafiri...but wakati yuko safarini akanicall kuwa wameibiwa na wenzake hotel...na wameaiba wallet na ATM zote na pesa na blah blah nyingi....nikawa najaribu kuhoji mazingira ya kuibiwa hotel nikirelate na mazingira ya hotel waliyofikia nikawa simuelewi it was in Moshi...but ndo shapenda tena mzee youko stranded kaibiwa kwa roho saafi nikatuma hella kidogo zimsaidie...loh.

Baada ya siku moja napigiwa simu na rafiki yangu...haa KOKUTONA nimemuona shemeji maeneo ya MAGOMENI, mnakuja mjini hamtuambiii....karoho kakaanza kudunda. Moshi na Dar wapi na wapi? Nikamuuliza umemuona kweli au wanrusha roho, she asured me na kunitajia nguo alizovaa...and she said alishindwa kumsalimia coz alikuwa kwenye dala dala....uongo huoo

Arivyorudi nikampokea pole na safari karibu...nimeletewa na zawadi zawadi zinazofanana na moshi...namuuliza ulipata wapi hela nawe uliibiwa plus pole na ahsante kibaao anasema ofisi ili refund gharama zote...kichwani mwangu namfikiriaa

Jioni ya siku hiyo kuna match...kaoga kala, kaenda kuangalia MAN U...haraka zake kasahau wallet....napanga vitu nakutana nayo roho yandunda ujue...niangalie nisiangalie....sinaga mazoea ya kupekua visivyonihusu but nilipata force ya kufungua....

Cha kwanza kukutana nacho ni bahasha ndogo zilee za kuwekea passport size imepigwa muhuri nje...wa photo studio iliyopo magomeni ndani nakutana na passport zake amevaa shati lile lile nilioambiwa alikuwa kavaa...mmmh nikajigunia nikaendelea....

Chapili nikakutana na temporary ID ya kuchukulia hela dirishani km huna ATM card iliyo processiwa bank ya dar es salamu...zote zina tarehe ile ile ambayo rafiki yangu alimuona na to remaind u jana yake alikuwa moshi na usiku wa kuamkia hiyo siku ndo aliibiwa..huko Moshi....

Kanidanganya....nikaukubali uongo km ukweli then mimegundua alinidanganya...hata km nampenda kuliko roat ya kuku nitamwamini tenaaa eti? Dark City hebu nambie hapo..tija au si tija...imesaidia nini zaidi ya maumivu ya moyo?
Mmh hii ngumu kumesa walah. Uongo wa aina hii unaumiza sana na sijui kama unaweza kumuamini tena. Nadhani utafikiria mengi sana na ni haki yako.
 
huu uzi huuu FP mie yule atanioa tu maana kulia majanga kushoto hapaeleweki.ila namchukia vibaya cjui nimerogwa nimchukie
Afterall ni mzuri,ana cash,katulia,future ipo na kanivumilia madudu yangu miaka yote.
Kubwa nilimkubali pale alipoletewa nyama ya mtu mzima akamtoa nishai.
Ila jamani uongo unauma sana
ha haaa, mdogo wangu wewe huachi vituko, kabla hujaenda huko tena itabidi nimwalike shostito wangu cacico na mimi nikuweke Double Tree siku tatu tu kwa ajili ya somo....... kule na ule utulivu ndo utaelewa somo la utulivu, sawa?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
......angalau ya uongo ufananao na ukweli, kidogo waepusha majanga.
wewe mbu hakuna uongo unaoepusha majanga bana..... unaweza epusha kabla haujajulikana, ila baada......
 
daaa hapa kutakuwa kulikuwa na deal la fasta. daaa huyo rafiki yako nae.

Back to the point FP naweza sema uongo na kutokuwa na uaminifu katika mambo madogo madogo kunaumiza sana siyo siri.

To my experience kuna siku baba wa mwanangu/mzazi mwenzangu alipata kazi ambayo ilimfanya kuwa anasafiri safiri saana.

Siku akasafiri...but wakati yuko safarini akanicall kuwa wameibiwa na wenzake hotel...na wameaiba wallet na ATM zote na pesa na blah blah nyingi....nikawa najaribu kuhoji mazingira ya kuibiwa hotel nikirelate na mazingira ya hotel waliyofikia nikawa simuelewi it was in Moshi...but ndo shapenda tena mzee youko stranded kaibiwa kwa roho saafi nikatuma hella kidogo zimsaidie...loh.

Baada ya siku moja napigiwa simu na rafiki yangu...haa KOKUTONA nimemuona shemeji maeneo ya MAGOMENI, mnakuja mjini hamtuambiii....karoho kakaanza kudunda. Moshi na Dar wapi na wapi? Nikamuuliza umemuona kweli au wanrusha roho, she asured me na kunitajia nguo alizovaa...and she said alishindwa kumsalimia coz alikuwa kwenye dala dala....uongo huoo

Arivyorudi nikampokea pole na safari karibu...nimeletewa na zawadi zawadi zinazofanana na moshi...namuuliza ulipata wapi hela nawe uliibiwa plus pole na ahsante kibaao anasema ofisi ili refund gharama zote...kichwani mwangu namfikiriaa

Jioni ya siku hiyo kuna match...kaoga kala, kaenda kuangalia MAN U...haraka zake kasahau wallet....napanga vitu nakutana nayo roho yandunda ujue...niangalie nisiangalie....sinaga mazoea ya kupekua visivyonihusu but nilipata force ya kufungua....

Cha kwanza kukutana nacho ni bahasha ndogo zilee za kuwekea passport size imepigwa muhuri nje...wa photo studio iliyopo magomeni ndani nakutana na passport zake amevaa shati lile lile nilioambiwa alikuwa kavaa...mmmh nikajigunia nikaendelea....

Chapili nikakutana na temporary ID ya kuchukulia hela dirishani km huna ATM card iliyo processiwa bank ya dar es salamu...zote zina tarehe ile ile ambayo rafiki yangu alimuona na to remaind u jana yake alikuwa moshi na usiku wa kuamkia hiyo siku ndo aliibiwa..huko Moshi....

Kanidanganya....nikaukubali uongo km ukweli then mimegundua alinidanganya...hata km nampenda kuliko roat ya kuku nitamwamini tenaaa eti? Dark City hebu nambie hapo..tija au si tija...imesaidia nini zaidi ya maumivu ya moyo?
 
Mmh hii ngumu kumesa walah. Uongo wa aina hii unaumiza sana na sijui kama unaweza kumuamini tena. Nadhani utafikiria mengi sana na ni haki yako.
umeona eeeh! hebu fikiria wewe mama mchungaji ndo unakutana na zali kama hilo, hebu nipe hinti utachomokaje?
 
ha haaa, naona KOKUTONA umeelewa kuliko mwalimu, lol!
hilo haswa nilikuwa nalimaanisha. hapo sasa mtu unabaki na maswali kibao, kwa nini aseme anaenda moshi wakati anaenda dar? kwani angeniambia anaenda dar nini kingetokea?
asante sana kwa story ya ufafanuzi na pole sana kwa yaliyokusibu.... uongo wa hivi huwa unaniuma sana sana maana nahisi mtu anadhani mimi ni mjinga fulani siwezi hata hesabu za kujumlisha

Aahhhhh unaumiza sana i see.....unabaki unamwangaliaaa na kujifanya kweli hujui hesabu za kujumlisha....na unaendelea kupata faida na kumjua zaidi bila ya yeye kujijua mwisho wa siku you tell him all...but bado ataweka uongo mwingi kujitetea.

Trust ni muhim sana kwenye mahusiano...kuwa mkweli kwa vidogo ili uaminiwe katika vingi
 
ha haaa, mdogo wangu wewe huachi vituko, kabla hujaenda huko tena itabidi nimwalike shostito wangu cacico na mimi nikuweke Double Tree siku tatu tu kwa ajili ya somo....... kule na ule utulivu ndo utaelewa somo la utulivu, sawa?

yani naona mkanipe darasa kiromo hapo dabo trii mtapaonea tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom