cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
They can't be human being they are just monkeys so that they ain't know uses of those minerals.
Kwanza sina maana ya kuunga mkono ubaguzi au dharau ya aina yoyote kwa Waafrika, Mimi nazungumzia kauli ya Trump na Putin zimelenga kuwasema viongozi wa Afrika walivyo, rasilimali kibao lakini watu wao wanalala na njaa! Gadafi angalao alijitahidi kuwaboresha watu wake,suala linabaki palepale, hiki ni kirungu kwa viongozi wa Afrika.Ni wapi imeandikwa hivyo? Kwa hiyo unaamini Muzungu akisema Mwafrika ni nyani anamaanisha Viongozi tu na siyo wewe na mimi? Kama ni hivyo kwa nini wacheza mpira weusi wanatupiwa ndizi uwanjani kwani nao ni viongozi?
We are still evolving after hundred of years we will be approaching to Homo sapience sapience!AFRICANS ARE NOT HUMANS
President of the United States of America, Donald Trump has hit hard at Africans once again, this time asking whether they are really qualified to be called humans.
He says “if you sit on Gold, diamond, oil, manganese, uranium and your people don’t have food, are you humans?”.
Hilo la kuwatuhumu ndiyo mnajua, afu yeye hajasema watu weusi, na mtambue wacha wajichukulie dhahabu maana we have nothing to do with Gold.Whites are also thieves
Huu ni uongo mkavumkavu; hajasema hivyo- umejitungia tu. Sasa hivi yuko Japan na shughuli zilizompeleka huko hazihusishi Africa; je alikuambia wewe peke yako bila hata waandishi kuwapo?AFRICANS ARE NOT HUMANS
President of the United States of America, Donald Trump has hit hard at Africans once again, this time asking whether they are really qualified to be called humans.
He says “if you sit on Gold, diamond, oil, manganese, uranium and your people don’t have food, are you humans?”.
Kwanza sina maana ya kuunga mkono ubaguzi au dharau ya aina yoyote kwa Waafrika, Mimi nazungumzia kauli ya Trump na Putin zimelenga kuwasema viongozi wa Afrika walivyo, rasilimali kibao lakini watu wao wanalala na njaa! Gadafi angalao alijitahidi kuwaboresha watu wake,suala linabaki palepale, hiki ni kirungu kwa viongozi wa Afrika.
Kwa hizi comment zako naanza kupata wasiwasi kama kweli we pia ni human!Ni wapi imeandikwa hivyo? Kwa hiyo unaamini Muzungu akisema Mwafrika ni nyani anamaanisha Viongozi tu na siyo wewe na mimi? Kama ni hivyo kwa nini wacheza mpira weusi wanatupiwa ndizi uwanjani kwani nao ni viongozi?
Uwe unaelewa kizungu kidogo kwa tafsiri isiyo rasmi,Trump anajiuliza kama kweli sisi ni binadamu iweje tuna dhahabu,Alma's,Gas,Risasi iweje Watu(wananchi) wetu wakose chakula.Mimi na Wazazi wangu ni humans, ila nakushangaa wewe unaowaona wazazi wako subhumans kwa kuwa tu Muzungu kasema!
Hilo likifanyika, baada ya miaka mi4, mtaanza kuzamia Africa, kule mtakua mshapauaMwambie tubadilishane nchi aje na wananchi wake Africa na sisi tuende America km atakubali
Kwa hizi comment zako naanza kupata wasiwasi kama kweli we pia ni human!
Kama atakuwa na matendo kama viongozi madikteta wa kiafrika ntakubali kuwa sio human ni zaidi ya nyani kabisa hata Kama ni babaabgu bado ntasimama upande wa haki!Kwa hiyo umekubali babako siyo human?
WellAFRICANS ARE NOT HUMANS
President of the United States of America, Donald Trump has hit hard at Africans once again, this time asking whether they are really qualified to be called humans.
He says “if you sit on Gold, diamond, oil, manganese, uranium and your people don’t have food, are you humans?”.
Hata akikubali nyie kule siku 7 nyingi mtapigana mbayaaa,ndio mwanzo vita vya wenyewe kwa wenyeweMwambie tubadilishane nchi aje na wananchi wake Africa na sisi tuende America km atakubali
Kama atakuwa na matendo kama viongozi madikteta wa kiafrika ntakubali kuwa sio human ni zaidi ya nyani kabisa hata Kama ni babaabgu bado ntasimama upande wa haki!
tatzo lugha ya malkia ni shida mkuu, hapo trump anajiuliza kweli sisi ni binadamu? hajasema moja kwa moja kama sisi sio binadamu ila tujifikirie kwa mali tulizonazo na tulipo ni sawa?E
Uwe unaelewa kizungu kidogo kwa tafsiri isiyo rasmi,Trump anajiuliza kama kweli sisi ni binadamu iweje tuna dhahabu,Alma's,Gas,Risasi iweje Watu(wananchi) wetu wakose chakula.
AFRICANS ARE NOT HUMANS