Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
Very true...angalia Tz ya Ccm hadi Leo wanapanga na kupangua sera wenyewe...aliekuwepo madarakani anamlaumu aliepita(mfano nchi imeibiwa sana hii[emoji1787] )
Maadui wa nchi hii ni ujinga, maradhi na umasikini lakini ,makonda adui wa kwanza ni opposition parties
Vaguesness of policies kama kuku aliekatwa shingo
Hii ni laana ya uvamizi Kwa Zanzibar. Damu ya watu wengi mliimwaga , mnatesa masheikh , mliuwa watu misikitini, karma itawatafuna Tu , mpaka muombe radhi , muwaachie wenyewe nchi yao