Trump on Africans again. "Are you humans?"

Trump on Africans again. "Are you humans?"

Nyinyi onesheni upimbi wenu tuuu, inatakiwa mjadili haraka tumjibu kama kweli are we humans or not. You kill you political enemy, your business enemy, your office position enemy etc etc, and sit on gold diamond oil uranium etc etc yet sleep hungry and live in poverty, are we humans Africans?
 
Mwambie tubadilishane nchi aje na wananchi wake Africa na sisi tuende America km atakubali
Hata akikubali wadhani ukienda kukaa kule kwake, utachukua miaka mingapi kurudi zero kabisa na kuja kuomba msaada kwake?? Hivi hujiulizi; Tulitaifisha majumba ya watu na kuyaandikia NHC. Nyumba nzuri tu, kubwa tena imara. Kumbuka sio moja bali mamia ya majumba. Mlifanya nazo nini?? Mliongeza nini??
Milachiwa viwanda vikubwa tu vya ngozi, mbao samaki nk. si mliviuza kwa bei ya nyanya?? Leo mnaanza upya kama kwamba ndio tumepata uhuru?? Tulitaifisha mashule mahospitali tuko wapi? Are we humans??
 
We are not human
 
Dah,inachoma kama pasi. Angalia DRC na utajiri ule. Ila wanachi hali ngumu. Njoo TZ nenda Angola. Are we humans? Of course yes we are but........
Nafikiri namna nzuri kuingia kwenye mjadala huu ni kutoa maana ya/ za 'human' kwanza?
 
Trump anajaribu kutuamsha ili tujitathimini na kujiletea maendeleo tofauti na wale wanaotupatia pipi ( misaada) ili wazidi kutunyonya.
 
Dah,inachoma kama pasi. Angalia DRC na utajiri ule. Ila wanachi hali ngumu. Njoo TZ nenda Angola. Are we humans? Of course yes we are but........
Tuna Viongoz Ovyo kabsaaa
 
Haya Wamarekani wa Bongo Mzee Wenu anasema kwamba hamjaqualify kuwa binaadamu sasa sijui mtakuwa simbilis au Kalunguyeye?
 
Trump is always right. Africans have completely failed to prove their sense of humanity.
 
Makes a lot of sense!

ARE THEY HUMANS?
with all the resources and everything and still begging for food, ARE WE HUMANS?
surely we are not!
 
aisee we are not human,kuna yule jamaa Theodore Nguema babake rais,mtoto mkuu wa majeshi aisee.
jamaa US huo wametaifisha mijengo na magari yote ya kifahari a mabilioni ya dola.
kaenda Brazil juzi na cash dola mil 2 wenye briefcase polisi wakamlamba zote.
Raia wanaomba hata maji ya kunywa hawana.
Hao ni 'wala nchi'.
 
Msenge huyo wanatunyonya, wanatuletea magonjwa tupambane nayo, tukianzisha viwanda tuwauzie bidhaa wanatuhujumu vinakufa, tukitunga sheria za kulinda rasilimali zetu wanatuwekea vikwazo na kutuita dikteta
AFRICANS ARE NOT HUMANS

President of the United States of America, Donald Trump has hit hard at Africans once again, this time asking whether they are really qualified to be called humans.

He says “if you sit on Gold, diamond, oil, manganese, uranium and your people don’t have food, are you humans?”.
 
Sidhani kama amewahi kusema hivyo!

Kauli ya Trump kuhusu Waafrika iliyoibua mjadala mkubwa ni kipindi kile alipoyaita mataifa ya Waafrica, "Shithole Countries".
 
Mimi na Wazazi wangu ni humans, ila nakushangaa wewe unaowaona wazazi wako subhumans kwa kuwa tu Muzungu kasema!
UNA UHAKIKA GANI NI HUMAN KAMA UMEKOSA IMPORTANT ATTRIBUTES AS HUMAN?? MTOA MADA KAULIZA SWALI MAANA ANA MASHAKA NA UBINADAMU WA MWAFRIKA. WITH VIVID EVIDENCE RESPOND TO HIS INQUIRY.
 
Back
Top Bottom