Trump on Africans again. "Are you humans?"

Trump on Africans again. "Are you humans?"

Aje tubadilishane nchi. Yeye binadamu aje atutoe kwenye kukalia madini twende America na wao "Humans" waje Tz
Kabisa,Ila tutaiharibu marekani. Angalia viwanda alivyotuachia mkoloni vyote hoi,reli hoi,shule hoi,
 
Mimi na Wazazi wangu ni humans, ila nakushangaa wewe unaowaona wazazi wako subhumans kwa kuwa tu Muzungu kasema!
Sio muzungu kasema. Uhalisia ndio unasema! Wacha porojo! Mijitu ina madini, mafuta, ardhi safi na kila kitu lakini bado ni masikini hatari! Wanachoweza ni ufisadi, udikteta na kula nyama choma. BASIII!

Nikueleze tu, miaka ya 1800's 'muzungu' alikuwa na teknolojia kubwa, uongozi safi, ustaarabu, na miundo mbinu ya uhakika, lakini leo 2019 kuna watanganyika wanaishi kwenye vijumba vya tope!

Kama kuna binadamu anaishi kwenye tope mwaka 2019 kuna haja ya kutathimi DNA na brain capacity ya binadamu huyu! is he really human?
 
Human is about intelligence ,utilising resources to solve his/her problems wewe na ngumbaro wenzio wa lumumba ndio first class tumbili


Vipi Babako yeye ni human kwa mujibu wa Trump?
 
I really agree all this points for knon our bogus leaders but they don't get what you had received for them !!!!!
 
AFRICANS ARE NOT HUMANS

President of the United States of America, Donald Trump has hit hard at Africans once again, this time asking whether they are really qualified to be called humans.

He says “if you sit on Gold, diamond, oil, manganese, uranium and your people don’t have food, are you humans?”.
Yupo sahihi 💯
Tuwaulize viongozi wetu hili swali!
 
We Africans have leadership and institutional problems!!
 
Aje tubadilishane nchi. Yeye binadamu aje atutoe kwenye kukalia madini twende America na wao "Humans" waje Tz
Kosa hili lisifanyike wakija huku miaka 100 tu kama peponi na kule US kutajaa mavi kila kona ya Highway. Wakati wa snow umeme ukatike wallahi bora tufe na njaa lakini sio baridi.


Nangatukaa 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Na huyo pia kasema yake
IMG-20190527-WA0001.jpeg
 
Wewe Sijui una umri gani hata usielewe walengwa ni viongozi.

Ni wapi imeandikwa hivyo? Kwa hiyo unaamini Muzungu akisema Mwafrika ni nyani anamaanisha Viongozi tu na siyo wewe na mimi? Kama ni hivyo kwa nini wacheza mpira weusi wanatupiwa ndizi uwanjani kwani nao ni viongozi?
 
Back
Top Bottom