Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,488
- 16,646
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema watu wa Gaza wataanza kuishi kwenye Gaza yenye muonekano mpya.
Upinzani wa mpango huo unaoanza kwa wapalestina wenyewe na kupitia mataifakadhaa binafsi pamoja na taasisi za kimataifa haujaleta mabadiliko yoyote katika mipango ya mataifa hayo mawili .
Huko nyumbani kwa Netanyahu kwa mujibu wa vyombo vya habari makombora 10 yalirushwa na Hamas kupiga miji miwili ya kusini ya Israel ambapo matano kati yao hayakuweza kuzuilika.Makombora hayo yalileta madhara makubwa ikiwa ni pamoja na kuunguza majengo na magari.
Hamas hawajathibitisha kuhusika na kurusha makombora hayo ambapo wafuatiliaji wengi wa vita hivi wanashindwa kuamini iwapo bado Hamas wana ushujaa na nyenzo za kuweza kupiga mijia ya Israel.