Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Ooo sijui Marekani anamwogopa mrusi ooo sijui S-400, haya sasa kapiga 59 tomahawk Cruise missiles, wakiambiwa USA ni baba wa dunia wanaleta hadithi, kapiga sasa tuone.
Mrusi kwa kuepusha Shari alikubali kutokutumia missile defense system yake! Halafu amekata mawasiliano ya kijeshi na marekani halafu akasema usirudie tena! Piga UA Marekani hawezi kuthubutu kurudia tena mashambulizi yake! Vinginevyo tutegemee vita kuu ya tatu!
 
News Updates: Rais Putin aagiza meli ya kivita kupelekwa Syria kulinda pwani ya nchi hiyo.

Asema shambulizi lingine ni lazima liidhiniwe na yeye mwenyewe:


Vladimir Putin has today diverted a warship to protect the Syrian coast and vowed to bolster Bashar al-Assad's missile defences against further US strikes as fears grew the crisis could topple into war between Russia and the West.

The Russian President has immediately sent his Admiral Grigorovich frigate - armed with cruise missiles and a self-defence system - from the Black Sea to dock in Syria later.

It will pass through the east Mediterranean waters where the USS Ross and USS Porter fired the 59 Tomahawk missiles that pounded Assad's al-Shayrat military airfield near Homs in the early hours of Friday.

Putin today called it an 'illegal act of aggression' and also ripped up an agreement to avoid mid-air clashes between Russian and US fighter jets over Syria.

In the continuing fight back Russian or Syrian planes also bombed the town of Khan Sheikhoun, the scene of Tuesday's horrific chemical gas attack where 80 died, witnesses in the rebel-held area claimed.

The US was also branded 'a partner of ISIS' by al-Assad's spokesman, calling the missile strikes 'reckless and irresponsible' and accused Trump of 'naively falling' for a 'false propaganda campaign' about the Idlib Sarin massacre.

Today world leaders praised the US strikes and urged Putin to hold urgent talks with Trump to prevent the Syria crisis escalating into a wider world conflict.

French Foreign Minister Jean-Marc Ayrault, speaking alongside German Foreign Minister Sigmar Gabriel, said: 'We do not want an escalation. We have to stop the hypocrisy. If Russia is acting in good faith it should stop and negotiate'.


3F09B65600000578-4388834-image-a-46_1491563803482.jpg

Meli ya kivita ya Russia iitwayo Admiral Grigorovich .

3F09DD7F00000578-4388834-image-a-108_1491570755899.jpg

Picha ikionyesha miamba hii ya kijeshi duniani itakavyookuwa ikitazamana uso kwa uso katika eneo la mashariki ya mbali.

Source: Daily Mail.
 
Nazani komandoo Putin bado hajatoa jibu mubashara kutokana na kile kilicho fanywa na US.

Na Ngoja kuona upepo jinsi utakavyo vuma kuliko kupiga ngonjera zisizo kuwa na kichwa wala miguu.

Sababu huyu US na Urusi huwa wanaogopana wenyewe...
Babu putin a natoa wapi jibu.... Mwenye Dunia yake ameshaamua
 
Haujafuatilia kwa ukamilifu hili sakata! Marekani alitoa taarifa kwa urusi kabla ya shambulizi ili urusi isitumie defence system yake! Urusi walikubali kutokutumia defense system yao ili kuepusha Shari. Vinginevyo SAA hii habari ingekuwa nyingine kabisa! Ujue defense system huelekeza pia kushambulia mpaka chanzo cha shambulizi ambalo ni manowari za marekani zilizopo bahari ya Mediterranean! Sasa marekani hawawezi tena kurudia kushambulia syria maana urusi ameshawakatia mawasiliano! Wakiamua kushambulia wajue mashambulizi yatajibiwa kikamilifu!
Acheni hadithi hizo, kapigwa na hana uwezo wa kuzuia Tomahawk Cruise missiles, halafu hizo toy S-400 ni surface to air missile,zinatarget frying object na si ground target,hapo USA wamefanya yao hapo wametuma kwanza jamming frequency.
 
Mrusi kwa kuepusha Shari alikubali kutokutumia missile defense system yake! Halafu amekata mawasiliano ya kijeshi na marekani halafu akasema usirudie tena! Piga UA Marekani hawezi kuthubutu kurudia tena mashambulizi yake! Vinginevyo tutegemee vita kuu ya tatu!
9f12b672c8bc01eaefd03fc0ee0f4237.jpg
kinachoendelea sasa hv huko UNSC
Baloz wa US kasema wanaweza kuendelea kupiga mda wowote pale inapobidi.
 
Naona mambo mengi unayoongelea nimekwishayazungumzia.

Marekani hakuomba kibali na wala hakusubiri kupewa kibali kushambulia mahali hapo.

Alichofanya ni kuwajulisha au kuionya Russia, na NATO kwamba alikuwa akijiandaa kurusha makombora.

Katika masuala ya vita vya angani mara nyingi kunakuwa na njia moja ya mawasiliano wanayoitumia na ndiyo maana Russia akafanya evacuation ya skari wake walokuwapo kwenye hiyo sehemu.
You are extremely wrong! Kwa sasa hutaiona marekani ikishambulia Syria tena! Warusi wametoa red warning na wakazima mawasiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na marekani nchini syria! Maana yake ni kuwa kama wakishambulia tena watafanya hivyo bila kutoa taarifa kwa urusi na wajiandae kwa kujibiwa mashambulizi!
 
Kitabu chetu hakihusiani na mawazo yako yalivyo mgando.

Na swali langu hukulijibu vizuri kuhusu Vietnam kupimana ubavu na huyo unayempigia upatu kuwa ana uchumi mkubwa. Je, huyo Mrusi atashindwa nn...?
Pro Russian yaonyesha mmeumia sana na hamkutarajia kama bwana mkubwa atatimba Syria huku kibabu putin akiwa anaona.... Ukweli utabaki hivyo Kuwa bwana mkubwa ametimba... Na huyo babu yenu putin yupo na Hajui cha kufanya dhidi ya bwana mkubwa na kama anaweza athubutu kujibu kivita ndo siku hiyo ndo atajua Maharage ni mboga au futari
 
Acheni hadithi hizo, kapigwa na hana uwezo wa kuzuia Tomahawk Cruise missiles, halafu hizo toy S-400 ni surface to air missile,zinatarget frying object na si ground target,hapo USA wamefanya yao hapo wametuma kwanza jamming frequency.
1491590671601.jpg
 
Hakuna ambacho Urusi anaweza mfanya USA
Alimpa taarifa tu ili watu wake wasiwe kati ya watakao kufa
Marekani hakuwa na mpango na defence system
Kama angetaka angezichomoa maana uwezo anao na hakuna ambacho Urusi angefanya
Unaota ndoto ya mchana! Haujiulizi kwa nini marekani hakujibu mashambulizi wakati urusi ilipovamia Ukraine na kuteka Crimea? Urusi siyo Iraq!
 
News

US missile strike on Syria airfield was ‘low efficiency’ – Russian MoD

Published: 7 Apr 2017 | 09:41 GMT



Reuters

The Russian Defense Ministry says the US missile strike on a Syrian airfield wasn't very effective, with only 23 out of 59 Tomahawk missiles reaching their target. The locations of the remaining 36 missiles’ impact is now unknown, the ministry added.

The strike on the Shayrat airfield in Syria’s Homs Province destroyed a material storage depot, a training facility, a canteen, six MiG-23 aircraft in repair hangars and a radar station.

The runway, taxiways and the Syrian aircraft on the parking apron remained undamaged, the ministry said in a statement.

DETAILS TO FOLLOW
Source : RT
Eti yamefika tu 23 mengine 36 sijui yamemezwa humo njiani? Tusubiri season 3 itatoka muda siyo mrefu
Wanajifariji tu ni sawa na kupigwa ngumi za uso alafu unasema kwanza ngumi zenyewe sio nzito.... Swali umepigwa au hujapigwa
 
Kwanini mnasema Urusi alizima defence zake?
Nani mwenye uhakika?
Je kama angezima angejitokeza leo kupiga kelele?
Ninavyojua ingetokea kama angefunga mitambo yake basi angeongea leo kuwa yeye alikubali
 
Sasa km Syria walipewa taarifa kwann hayo makombora hata moja hayakutunguliwa na hzo air defense zao?!
Au kwann hawakuamisha hata vitu vyao maana US kaponda ndege, air defenses, air fields,Radars, nk.
Hizo kombora ni za kisasa
Sio stealth ila zinakwepa radar
 
You are extremely wrong! Kwa sasa hutaiona marekani ikishambulia Syria tena! Warusi wametoa red warning na wakazima mawasiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na marekani nchini syria! Maana yake ni kuwa kama wakishambulia tena watafanya hivyo bila kutoa taarifa kwa urusi na wajiandae kwa kujibiwa mashambulizi!

Mkuu, Marekani waliwapa Russia warning la shambulizi dakika 30 in advance lakini Russia hakuwa na muda wa kujibu au kuruhusu shambulizi hilo.

Njia hii ya mawasiliano yaitwa "preliminary communication" au PRECOM yaani kunapokuwa na sintofahamu katika anga kama la Syria kunakuwa na kuhakikisha vifaa, eneo linaloegeshwa ndege au facility lipo OK.

Majeshi ya anga ya Marekani na Russia, wanayo hii njia ambayo wanatumia kuambizana kuepusha ndege kugongana au kama kuna tatizo kama la makombora kutupwa.

Pili, Russia wamezima njia hii ya mawasiliano leo baada ya shambulizi hili na siyo kabla na hii imethibitishwa na KREMLIN.

Kwa sasa hakuna njia ya mawasiliano na yoyote atakaefanya chochote atakutana na Russia amejiandaa vizuri zaidi.
 
Makombora 60 ya Tomahwk si mchezo,lakini kama yametua 23 mengine yameangukia wapi?,
na kwanini kiwango cha uharibifu ni kidogo sana na hakilingani na makombora yaliyotumika?
Ukienda utube utaona kabisa hata Runway ya ndege bado iko intact,
jengo la kuhifadhi ndege limeathirika kwa kiwango kidogo sana utadhani ilikuwa inalipuka baruti,

trump amekurupuka kushambulia just for show ili kujikosha kuwa yeye si kibaraka wa putini,
sasa russia wamekata mawasiliano na marekani huko syria,
kwa msiojua marekani alikua hawezi kurusha ndege syria bila kumtaarifu mrusi kwanza wakihofia kutunguliwa na S-400.
Sasa haya mawasiliano hayapo means mmarekani sasa atarusha ndege syria at her own risk.

Hali hiyo pia inawaweka hatarini makomando wa marekani karibu 5000 walioko syria,kwani mrusi anaweza kuwashambulia kwa makombora na akajitetea kuwa alidhani ni ISiS,

huu mchezo sasa umefikia patamu,sasa ndo tutajua kati ya mrusi na marekani nani atarudisha majeshi nyuma
Yaani watu mnajifariji... Wenyewe Syria wamesema makombora yote yamefanya uharibifu mkubwa sana wewe unayekaa chamanzi unasema eti 23 tu ndio yamefika haaa haaa haaa shauri yenu kibabu putin chupi yote imeloa chezea America
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom