Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Mkuu, Marekani waliwapa Russia warning la shambulizi dakika 30 in advance lakini Russia hakuwa na muda wa kujibu au kuruhusu shambulizi hilo.

Njia hii ya mawasiliano yaitwa "preliminary communication" au PRECOM yaani kunapokuwa na sintofahamu katika anga kama la Syria kunakuwa na kuhakikisha vifaa, eneo linaloegeshwa ndege au facility lipo OK.

Majeshi ya anga ya Marekani na Russia, wanayo hii njia ambayo wanatumia kuambizana kuepusha ndege kugongana au kama kuna tatizo kama la makombora kutupwa.

Pili, Russia wamezima njia hii ya mawasiliano leo baada ya shambulizi hili na siyo kabla na hii imethibitishwa na KREMLIN.

Kwa sasa hakuna njia ya mawasiliano na yoyote atakaefanya chochote atakutana na Russia amejiandaa vizuri zaidi.
Mfa maji haachi kutapatapa...
 
Moja ya Air Defence iliyotengenezwa na Mrusi ilitunguliwa hiyo jana
 
kwanza si kweli kuwa marekani iliarifu urusi kabla ya shambulio. zipo nchi zilizoarifiwa moja wapo ni Israel. urusi hakuarifiwa na marekani wamesema shambulizi limetekelezwa 'without russia approval'

kuhusu kurudia au kutokurudia kwa shambulizi hiyo itategemea na mienendo ya huyo dem wa urusi (syria).
Leo syria imeshambulia tena ule mji unaodaiwa kushambuliwa kwa silaha za kemikali. Marekani hatothubutu tena kusogeza pua yake hapo! Hiyo nafasi moja aliyochiwa ni ya mwisho, vinginevyo ajipange kwa vita vikubwa! Kitu ambacho hana ubavu!
 
ametumia gesi?
 
Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Tatizo rais Syria sio? 😀 eti unasema atolewe nanbi yatulie? yalitulia Iraq? Yalitulia Afghanistan? yalitulia egypt? yalitulia libya? 😀 😀 😀 ma yankee wa siku izi bana
 
Hapo Russia hawezi kuwa in Total war na US, kwa sababu usa anapiga syria, kimsingi hapo russia yeye ata provide weapons na assad apigane mwenyewe
 
Waarabu wakiamua kuwasaka Wamarekani na kulipa Kisasi watu povu linawatoka!

UZuri wa Waarabu kwny Suala la kulipa kisasi huwa hawasahau!

Kama ni halali kuua Raia wa Nchi zingine kwa kisingizio cha kutoa Tawala wasizozikubali pia haiwi Haramu Kuua Wamarekani wanaochagua Viongozi Wauaji.

Kama Wamarekani wanachagua Kwa hiyari Yao wapi wakaue, wapi wakapore na lini wakafanye hivyo kwa kutumia Nguvu walizopewa kisheria na Wamarekani kwa Njia ya kura Basi si HARAMU kuua Wamarekani wanaoruhusu Serikali Yao kuua Watu wa Nchi zingine kwa kadri wapendavyo
Si wangemuua raisi wao tu kuliko kuwaua waliomchagua mbona watakuwa wanazunguka sana?
 
Si wangemuua raisi wao tu kuliko kuwaua waliomchagua mbona watakuwa wanazunguka sana?

Mbona Wao hawamuui Rais wa Syria wanazunguka kwa kuanza kuharibu Miundombinu ya Nchi na Raia wasiohusika na hizo sababu za wao kuvamia?

Kishindo cha Kisasi bila Shaka kinaandaliwa na kitasikika tu.
 
Mbona Wao hawamuui Rais wa Syria wanazunguka kwa kuanza kuharibu Miundombinu ya Nchi na Raia wasiohusika na hizo sababu za wao kuvamia?

Kishindo cha Kisasi bila Shaka kinaandaliwa na kitasikika tu.
Anyway. Us kuna vitu wanafanya kibabe sana afu intelligence yao ipo juu. Ukitaka kushindana nao unaumia zaid, though utakuwa umejaribu kushindana ila kuwashinda ni kazi esp ktk utawala huu wa D Trump
 
Anyway. Us kuna vitu wanafanya kibabe sana afu intelligence yao ipo juu. Ukitaka kushindana nao unaumia zaid, though utakuwa umejaribu kushindana ila kuwashinda ni kazi esp ktk utawala huu wa D Trump

Ishu sio kushindana nao Ishu ni kulipa Kisasi!

Wewe Jirani yako kwa kuwa ni Mbabe Basi ndio kila Siku awe anakuja anakuonea na kuondoka na Wewe unalia then unaruhusu Maisha yaendelee kwa kuwa tu Jamaa ni Mbabe?

US ni Taifa kubwa sana na kila Mtu anatambua Hilo lakin hilo haliwezi kuhalalisha Unyonge!

Uchaguzi wa 2016 Kule US Agenda kuu ilikuwa ni Usalama unajua ni kwanini?
 
Ndio Ujiulize, Kama ni vita ya Maslahi kwanini wenye Maslahi ya Upande wa pili wakilipiza Kisasi mnaanza kukashifu Dini Yao?
Namaanisha katika vita hii hakuna dini ya upande wa pili.. Wanaotandikana wote dini zinafanana.
 
Hahaha hujuw walichofanywa afghan, Iraq

Mie Naulizia Pentagon tulioambiwa sio Watu wa Mchezo mchezo! [emoji12] [emoji12]

Watoto wa Kihuni toka mitaa ya Jeddah wanateka Ndege kwa kutumia Visu vya Plastik ndani ya Ndege then wanaenda kuchezea Sharubu za Simba ( Pentagon) kwa Kubamiza kwny Jengo ilikuaje?

Yaani Silaha zilizotumika hazizidi Tsh elf 20!!
Lakin akili iliyotumika Kama ya Billion 5 vile
 
Mie Naulizia Pentagon tulioambiwa sio Watu wa Mchezo mchezo! [emoji12] [emoji12]

Watoto wa Kihuni toka mitaa ya Jeddah wanateka Ndege kwa kutumia Visu vya Plastik ndani ya Ndege then wanaenda kuchezea Sharubu za Simba ( Pentagon) kwa Kubamiza kwny Jengo ilikuaje?
Ata Wewe unaweza ingilia dirishani kwA mchepuko utajikuta mjanja.. Lakn vipi ukishikwa ugoni kipigo chake waulize afghan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom