Trump launches military strike against Syria

Nazani komandoo Putin bado hajatoa jibu mubashara kutokana na kile kilicho fanywa na US.

Na Ngoja kuona upepo jinsi utakavyo vuma kuliko kupiga ngonjera zisizo kuwa na kichwa wala miguu.

Sababu huyu US na Urusi huwa wanaogopana wenyewe...
 
Wakuu, katika hili suala mnatakiwa muwe waangalifu katika kutoa maoni yenu kwamba mna uelewa wa kiasi gani.

Kuna mada ameweka Nifah katika jukwaa la masuala ya intelligence ambapo anaeleza shughuli za CIA khasa zile za kutengeza vita ndani ya nchi, ni vizuri baadhi yenu mkapitia kwenye hili ili kupata mwanga katika masuala haya ya kimataifa.

Tukirudi kwenye hili la Marekani kushambulia kituo cha ndege za kijeshi cha Syria kina lengo moja tu, kwamba uwezo wa jeshi la anga la Syria katika kushambulia na kuyamaliza majeshi ya magaidi wa ISIS, Al- Nusra na Al-Qaeda unapunguzwa huku lengo la muda mrefu la Marekani kwamba raisi Assda aondoke linakaribia kutimia.

Sasa tukio la kutumiwa kwa silaha za sumu dhidi ya raia katika mji wa Ibril ambako ndipo walipo waasi wa Syria wanaosaidiwa na Marekani (CIA) na nchi zingine washiriki, limepingwa kwa nguvu zote na Syria kwamba wao ndio walotumia silaha hizo dhidi ya raia wake.

Suala la waasi wa Al Nusra kumiliki silaha za sumu linajulikana na pande zote na kwa kuwa wanatambua kwamba Syria inaelekea kushinda vita dhidi yao (waasi) basi wanakuwa hawana jinsiila kuweza kutumia silaha hiyo ili kuweka picha duniani kwamba ni majeshi ya serikali ya Syria ndiyo yalotumia silaha hiyo.

Al- Nusra ambao wanafunzwa na kuhudumiwa na CIA wanazo silaha hizo na inasemwa kwamba baada tu ya kushambulia kwa silaha hizo picha za video zilisambazwa haraka duniani na vyombo vyote vya habari zikachukua habari hizo na Syria ikawa imekewa kikaangoni.

Tukio hili bado linaweka masuali kadhaa kwamba siku zote Marekani si nchi ya kuiamini sana katika masuala kama haya na inaonyesha ni jinsi gani ndani ya serikali ya raisi Trump kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Tunachotakiwa kusubiri ni kuona Rusia ( ambao kwa sasa Syria hawaamini kwanini hawakutumia Anti -missiles kutungua makombora 59 ya Tomahawk) watafanya nini ila walipewa tahadhari kabla ya mashambulizi na wakawaokoa wanajeshi wa kirusi walikuwapo kwenye hicho kituo.
 
Gorilla war huwezi ishinda maana unapigana na watu wasio na military insignia ni ngumu kujua nani adui na nani mwananchi mwema.
Angalia Iraq 2003 USA ilishinda maana alikuwa anapigana na Military insignia personels

Vietnam ilikuwa ngumu maana unajikuta watembea kwenye kwenye mpunga mtu anaibuka na kisu

Ingekuwa Military kwa Military hakika Vietnam asingekaa hata wiki
Una payuka payuka tuu,

Kwa hiyo Vietnam ni ngumu kupigana nayo kuliko kuzichapa na Urusi...?

Acheni masikhara na haya Mataifa makubwa.
 
You,your father,mother and all your siblings are nit only stupids but creatures without minds yaan idiots.Kama hufahamu,all efforts should be employed to deal with with a crook lke you and Assad.We can dare ti seve the next generation of Syria at the expense of tofays generation,hutaki unaacha ,endelea na u bashite wako halafu tuone nani atashinda
Kumbe nachat na Miner!
Nilikuwa sijajua, carry-on
 
Una payuka payuka tuu,

Kwa hiyo Vietnam ni ngumu kupigana nayo kuliko kuzichapa na Urusi...?

Acheni masikhara na haya Mataifa makubwa.

We waonaje na mimi naongelea nini au ukishasoma Kitabu chenu akili zakuruka
 
Wakuu, katika hili suala mnatakiwa muwe waangalifu katika kutoa maoni yenu kwamba mna uelewa wa kiasi gani.

Kuna mada ameweka Nifah katika jukwaa la masuala ya intelligence ambapo anaeleza shughuli za CIA khasa zile za kutengeza vita ndani ya nchi, ni vizuri baadhi yenu mkapitia kwenye hili ili kupata mwanga katika masuala haya ya kimataifa.

Tukirudi kwenye hili la Marekani kushambulia kituo cha ndege za kijeshi cha Syria kina lengo moja tu, kwamba uwezo wa jeshi la anga la Syria katika kushambulia na kuyamaliza majeshi ya magaidi wa ISIS, Al- Nusra na Al-Qaeda unapunguzwa huku lengo la muda mrefu la Marekani kwamba raisi Assda aondoke linakaribia kutimia.

Sasa tukio la kutumiwa kwa silaha za sumu dhidi ya raia katika mji wa Ibril ambako ndipo walipo waasi wa Syria wanaosaidiwa na Marekani (CIA) na nchi zingine washiriki, limepingwa kwa nguvu zote na Syria kwamba wao ndio walotumia silaha hizo dhidi ya raia wake.

Suala la waasi wa Al Nusra kumiliki silaha za sumu linajulikana na pande zote na kwa kuwa wanatambua kwamba Syria inaelekea kushinda vita dhidi yao (waasi) basi wanakuwa hawana jinsiila kuweza kutumia silaha hiyo ili kuweka picha duniani kwamba ni majeshi ya serikali ya Syria ndiyo yalotumia silaha hiyo.

Al- Nusra ambao wanafunzwa na kuhudumiwa na CIA wanazo silaha hizo na inasemwa kwamba baada tu ya kushambulia kwa silaha hizo picha za video zilisambazwa haraka duniani na vyombo vyote vya habari zikachukua habari hizo na Syria ikawa imekewa kikaangoni.

Tukio hili bado linaweka masuali kadhaa kwamba siku zote Marekani si nchi ya kuiamini sana katika masuala kama haya na inaonyesha ni jinsi gani ndani ya serikali ya raisi Trump kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Tunachotakiwa kusubiri ni kuona Rusia ( ambao kwa sasa Syria hawaamini kwanini hawakutumia Anti -missiles kutungua makombora 59 ya Tomahawk) watafanya nini ila walipewa tahadhari kabla ya mashambulizi na wakawaokoa wanajeshi wa kirusi walikuwapo kwenye hicho kituo.
Swadakta Mkuu umenena kitu ambacho nilikuwa nakitaka kukiachia hapa.

Nenda duka lolote agiza kinywaji naja kulipa.
 
conspiracy theories.......hata ww ukiua mtoto wako kwa sababu eti amekuhoji kwa nn unalala na mama mwingine kuna watu watasema huyo mtoto alitengenezwa ili akuudhi kisha umuue alafu wabaya wako wapate sababu ya kukufunga jela maisha na au kukunyonga kabisa
 
We waonaje na mimi naongelea nini au ukishasoma Kitabu chenu akili zakuruka
Kitabu chetu hakihusiani na mawazo yako yalivyo mgando.

Na swali langu hukulijibu vizuri kuhusu Vietnam kupimana ubavu na huyo unayempigia upatu kuwa ana uchumi mkubwa. Je, huyo Mrusi atashindwa nn...?
 
ASSADI AME ATTACK WATU WAKE NA SARIN GAS NA MZEE MZIMA UZALENDO UMEMSHINDA IMEBIDI AFANYE KWELI. WATCH OUT PEOPLE TRUMP IN THE HOUSE.
Hizo ni habari za CIA waliotuaminisha Sadam ana siraha za maangamizi. Kumbuka Assad alipiga kamakombora ngome ya wapinzani wake ambao pengine walikuwa na siraha hizo za sumu ndo zikaripuka na Marekani kwa sababu hayuko pro Assad na Russia ulitegemea asemeje. Ukweli utajulikana
 
conspiracy theories.......hata ww ukiua mtoto wako kwa sababu eti amekuhoji kwa nn unalala na mama mwingine kuna watu watasema huyo mtoto alitengenezwa ili akuudhi kisha umuue alafu wabaya wako wapate sababu ya kukufunga jela maisha na au kukunyonga kabisa

Sasa wewe unaamini hizo "conspiracy theories", ila mimi naamini facts ambazo nimezieleza.

Ukijadili mambo kama haya unatakiwa uwe na facts kutoka pande zote halafu unafanya hitimisho mwenyewe.

Nimekupa facts kuhusu wapi gesi ya sumu ilitumika, na ni nani wapo pale halafu nimekupa hao waasi wanasaidiwa na nani.

Mimi si muumini wa conspiracy theories, naomba unisome kwa uzuri.
 
Usitegemee hata siku moja vita ya USA na Russia hakuna mataifa mengine duniani allies wa Russia na USA kuwa watazamaji.

Itakua vita kati ya USA na Russia, sio vita ya dunia.
 
News

US missile strike on Syria airfield was ‘low efficiency’ – Russian MoD

Published: 7 Apr 2017 | 09:41 GMT

Reuters

The Russian Defense Ministry says the US missile strike on a Syrian airfield wasn't very effective, with only 23 out of 59 Tomahawk missiles reaching their target. The locations of the remaining 36 missiles’ impact is now unknown, the ministry added.

The strike on the Shayrat airfield in Syria’s Homs Province destroyed a material storage depot, a training facility, a canteen, six MiG-23 aircraft in repair hangars and a radar station.

The runway, taxiways and the Syrian aircraft on the parking apron remained undamaged, the ministry said in a statement.

DETAILS TO FOLLOW
Source : RT
Eti yamefika tu 23 mengine 36 sijui yamemezwa humo njiani? Tusubiri season 3 itatoka muda siyo mrefu
 
Tusubili tuu, ngonjera za nn...?
 
Ishu ya Syria ni very complicated! Russia na Syria wanasema Serikali ya Syria haina chemical weapon kwan zilishateketezwa zote tokea 2013 na UN ndo walikua wasimamizi na kuna Tweet ya former US secretary of state John Kerry akisema mzigo was mwisho wa silaha za chemical umeondolewa Syria....IS,Syria rebels na AlNusra wamekua wakitengeneza chemical na US anajua na wamekua wakisafirisha mpaka Irak.... Juzi Syria alishambulia kiwanda na depot ya chemical weapon ya IS na Russia Ali confirm...US,France na UK wakaitisha Mkutano wa UNSC maana wote ni Veto Russia aliblock any resolution mpaka investigation ifanyike ya UN kupeleka wataalamu kuchunguza nani aliehusika kabla ya UN haijapeleka tiari Trump/US same attack Syria kwa makombora 59 ya Tomahawk japo kulingana na satellite za Russia only 23 missiles ndo zimefika katika airbase na kuharibu ndege 6 tu Mig 23 za kizamani kabisa uku uwanja ukibaki intact.....US members of congress wamegawanyika maana Trump hakuruhusiwa na Congress na kuna false flag nyingi tu pale Assad anapokaribia kuwashinda waasi na kuchukua maeneo mengi US au Israel wanajaribu kuwaattack kwa false flag....Imagine US ameattack Irak Mosul na kuna zaidi ya raia 200 lakin kimya bado aliattack Syria na kuna zaidi ya raia 70 lakin kimya....Wachambuzi wanasema lengo sio Syria lengo ni Russia na Iran....Vita ya tatu ya Dunia inatabiriwa kuanzia mashariki ya kati
 
Je, Russia wanatakaa kimya wakati rafiki yao anabamizwa? kama wataamua kurudisha mashambulizi je, ndiyo itakuwa hatua za mwanzo za vita kuu ya tatu duniani!? CNN wanadai kabla ya mashambulizi kuanza rasmi, Russia walijulishwa kuhusu mashambulizi hayo.
Yaah,Pia vyombo vingine kama DW,BBC na Aljazeera wamesema hivyo hivyo kwamba russia ilijulishwa kuhusu haya mashambulizi...Sasa nachoshangaa ni kwamba,why russia watoke tena kwenye press na ku conderm haya the attack?..Au labda wakati wanajulishwa hawakukubali?.Na kama walikubaliana,why Russia walaum kama hawajui?..Nafikiri kuna unafiki flani unaendelea pale Syria,sithan kama Hawa mabwan wakubwa wana Nia ya dhati kuumaliza huu mzozo.
Sometymes huwa najiuliza,ni nini hasa kipo Syria..
This Crisis is very Complicated kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom