Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Wakristo sijui bable inawaambia waislam ndio maadui wenu namba moja?
Sijui kwa nini ulimwengu wa kikristo hautaki kuona amani kwenye ardhi za kiislam,
Islamic state wote tunajua inafadhiriwa na marekani ili ichukue maeneo ya uarabuni na kuweka utawala wao.
Dunia hii leo ni ya kibaguzi hatujapata kuona na UN ipo.
Inaniuma sana.
Naona wamejitungia vitabu wanataka kutekeleza iwe kweli bila faida.
 
Kipi nikichokiandika hukukielewa???
Sasa km Syria walipewa taarifa kwann hayo makombora hata moja hayakutunguliwa na hzo air defense zao?!
Au kwann hawakuamisha hata vitu vyao maana US kaponda ndege, air defenses, air fields,Radars, nk.
 
Tarehe kama ya leo mwaka 1917, US alijiingiza rasmi kwenye WW1, siku ya leo mwaka 2017,US anaishambulia rasmi Syria.

History au coincidence?
 
Subutu... Akiingia tu Russia anapotea.... Uchumi kwake ni tatizo kubwa sana
c80470f066cda5a254e11eefe2d903f4.jpg
a351752a4b73e200290df1d425f38c01.jpg

Naona hii movie inaendelea kunoga.
49739a6b7aadee64c7592b4c96a39b8c.jpg
 
Sasa km Syria walipewa taarifa kwann hayo makombora hata moja hayakutunguliwa na hzo air defense zao?!
Au kwann hawakuamisha hata vitu vyao maana US kaponda ndege, air defenses, air fields,Radars, nk.
Hujui nn maana ya wazungu hujui yupi anaungwa na marekani kule utakapoyajua utaacha ushabeki maandaz
 
russia hataendelea kumsapoti psychopath anayewa-gas watu wake mwenyewe(unless marekani awe behind ile attack ili iwe excuse ya kumuondoa)
 
Sasa km Syria walipewa taarifa kwann hayo makombora hata moja hayakutunguliwa na hzo air defense zao?!
Au kwann hawakuamisha hata vitu vyao maanaUS kaponda ndege, air defenses, air fields,Radars, nk.

Hii itawasaidia sana hao wanaoitwa Waasi kupata nguvu ya kumshambulia Rais wa Syria ndugu Assad

Wote tunao changia huku tunachangia tu kutokana na taarifa za nje ,lakini kwa ndani Vita mara nyingi ni za kimaslahi zaidi..
 
Hilo mbona linajulikana mkuu. Siyo US wala Russia mwenye uchungu na raia wa Syria ila wote wapo hapo kwa maslahi ya mataifa yao na sio kusaidia Syria.
 
This decision might trigger Russia's military action against all those seeming to militarily target Syrian government. It is not so good decision by US
Wewe hujui kitu. When the "Big guys" do their business no, no and nobody can obstruct.
Taarifa ni kwamba Putin alijulishwa before the Tomahawk launch.."just information" sio kuomba ruhusa. Na wlimjulisha aondoe vijidege vyake.
Taarifa ni kwamba air defense system (possibly Russian s300/400) su 22 and many other more.
Kwa taarifa yako, hata wakati Sadam Hussein anatwangwa Russians had their plane and interests there..Just got informed!
Assad siku zake za utawala zinahesabika
 
19958693ea1c07ac0d062cddc67a8996.jpg

US alishasema "All options are on the table " ni swala la muda tu ila mipango tayari ishasukwa siku nying.
 
Vile vita Vietnam na Marekani, wale Vietnam walikuwa na uchumi wa kushindana Marekani mpaka wakashinda...?

Gorilla war huwezi ishinda maana unapigana na watu wasio na military insignia ni ngumu kujua nani adui na nani mwananchi mwema.
Angalia Iraq 2003 USA ilishinda maana alikuwa anapigana na Military insignia personels

Vietnam ilikuwa ngumu maana unajikuta watembea kwenye kwenye mpunga mtu anaibuka na kisu

Ingekuwa Military kwa Military hakika Vietnam asingekaa hata wiki
 
Hapo ndipo nawapendaga,wamarekani.....
Waje na huku udikteta na watu kupotea kusikojulikana imekuwa kawaida.
Labda serikali yetu ina sumu pia. WHO KNOWS?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom