Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Ishu ya Syria ni very complicated! Russia na Syria wanasema Serikali ya Syria haina chemical weapon kwan zilishateketezwa zote tokea 2013 na UN ndo walikua wasimamizi na kuna Tweet ya former US secretary of state John Kerry akisema mzigo was mwisho wa silaha za chemical umeondolewa Syria....IS,Syria rebels na AlNusra wamekua wakitengeneza chemical na US anajua na wamekua wakisafirisha mpaka Irak.... Juzi Syria alishambulia kiwanda na depot ya chemical weapon ya IS na Russia Ali confirm...US,France na UK wakaitisha Mkutano wa UNSC maana wote ni Veto Russia aliblock any resolution mpaka investigation ifanyike ya UN kupeleka wataalamu kuchunguza nani aliehusika kabla ya UN haijapeleka tiari Trump/US same attack Syria kwa makombora 59 ya Tomahawk japo kulingana na satellite za Russia only 23 missiles ndo zimefika katika airbase na kuharibu ndege 6 tu Mig 23 za kizamani kabisa uku uwanja ukibaki intact.....US members of congress wamegawanyika maana Trump hakuruhusiwa na Congress na kuna false flag nyingi tu pale Assad anapokaribia kuwashinda waasi na kuchukua maeneo mengi US au Israel wanajaribu kuwaattack kwa false flag....Imagine US ameattack Irak Mosul na kuna zaidi ya raia 200 lakin kimya bado aliattack Syria na kuna zaidi ya raia 70 lakin kimya....Wachambuzi wanasema lengo sio Syria lengo ni Russia na Iran....Vita ya tatu ya Dunia inatabiriwa kuanzia mashariki ya kati
Russia lazima akome kulea ujinga.
 
Hardened aircraft shed
C8y7A8YVYAINMQY.jpg:small
.

But is there any proof?, page 1
Russia won't retaliate militarily, nazaidi US pamoja na allies wanaendelea kufanya vita inakuwa ngumu
 
News

US missile strike on Syria airfield was ‘low efficiency’ – Russian MoD

Published: 7 Apr 2017 | 09:41 GMT



Reuters

The Russian Defense Ministry says the US missile strike on a Syrian airfield wasn't very effective, with only 23 out of 59 Tomahawk missiles reaching their target. The locations of the remaining 36 missiles’ impact is now unknown, the ministry added.

The strike on the Shayrat airfield in Syria’s Homs Province destroyed a material storage depot, a training facility, a canteen, six MiG-23 aircraft in repair hangars and a radar station.

The runway, taxiways and the Syrian aircraft on the parking apron remained undamaged, the ministry said in a statement.

DETAILS TO FOLLOW
Source : RT
Eti yamefika tu 23 mengine 36 sijui yamemezwa humo njiani? Tusubiri season 3 itatoka muda siyo mrefu
Hv ulitegemea Warusi wakubali kwamba makombora yote yalifika?!
Hao waSyria wenyewe wanakwambia hyo sehem iliyoshambuliwa imeharibiwa vibaya sana+ndege +air defenses +radars na wanasema kati ya njia 7 za kuruka ndege 6 zimeharibiwa vibaya sanaaa.
Source:Sputnik
 
Alichokifanya Asad dhidi ya raia ni kitendo cha kinyamAa kama sio cha kikatili.....na kinaingia moja kwa moja kwenye makosa ya kivita......bila ya shaka nategemea kumuona akijibu mashtaka yake the hague......

Ninaamini hata mshirika wake Russia hakufurahishwa na kitendo kile...
hebu fuata hii link kabla CIA hawajaondoa hizo picha ndo utajua usanii unaofanyika huko syriia,
nimeshindwa kuziweka hapa kwani hazichukuliki.

But is there any proof?, page 1
 
Urusi kakosea sana kuja na press release ya kukosoa kilichotokea
Urusi anakuja kwa kutetea kuwa Syria hawana Chemical weapons
Urusi anakubali kuwa waliofanya mashambulizi ni Syria ila hawakutumia Chemical weapons
Urusi aliambiwa kuwa Marekani ataipiga Syria kabla ya tukio
Urusi leo anakuja sema kuwa ataongeza Air defence Syria
Urusi analia lia leo

Walichofanya Pentagon ni kufuata Flight path ya hizo ndege zilizolipua Idbil na kisha wakachukua hatua

Inaonesha kila mtu duniani anamtegemea Marekani kwani baada ya yeye kuwafyatua ndio viongozi wamejitokeza kumpongeza kwa alichofanya


Afrika ndio bala lisilo na msaada duniani
Urusi ameogopa, ndo maana karelease hiyo kitu. am a kweli marekani ni moto mwingine. Trump naye ni mnafiki anajifanya anashambulia Syria wakati huo huo anakataza wakimbizi wasiingie nchini mwake
 
Hii vita naona inazid kuleta utata kati ya Russia na USA

Kwenye modern world Russia hawezi kupambana na US kijeshi....na Russia analifahamu hilo.....anachokipigania Russia huko nchini Syria sio kwa ajili ya Asad bali maslahi yake.....kwa hiyo Russia yuko nyuma ya yeyote atakayemuhakikia usalama wa mali zake huko Syria hata kama ni Waasi wa ISIS......

Kama unakumbuka Russia amechukua hatua za kijeshi baada ya ISIS kuanza kulipua visima vya mafuta na mitambo ya serikali ambapo Russia ana maslahi napo ya moja kwa moja....

Kama kweli Russia alikuwa na nia ya kumsaidia Asad asingepunguza harakati za kivita nchini Syria hali ya kuwa bado sehemu kubwa ya nchi ipo nchini ya waasi na bado vita vinaendelea.....

Jibu lake ni kwamba hayo maeneo yaliyo chinj ya waasi hayana maslahi ya moja kwa moja na Russia.......

Dunia bila ya unafiki haiendi....na hata siku moja usijidanganye kuwa kuna au kutakuwa na ugomvi kati ya Marekani na Russia......ushirikiano wa kijasusi baina ya Moscow na Pentagon ndio unaoufanya ulimwengu kufikia hapa ulipo...,,
 
Nina maswali najiuliza pasipo majibu
1.Wanasema urusi wametarifiwa,so wanatarifiwa ili iweje??
2.Na hapo U.S.A ana attack serikali ya syria au ana attack vikundi vya waasi
3.Kama.ana attack serikali ya syria kwa nini aitarifu serikali ya syria??? hv unaweza ukapigana na adui alafu ukamtaarifu?

Marekani hakumtaarifu Russia kama taarifa rasimi....bali ametoa taarifa kwa wote ili raia na watu wengine wajiweke mbali na maeneo hayo.....
 
Akili za Kibashute. Alie kuambia S- 300 moja ina cover nchi nzima ni nani? unajua Russia pekee wana S- 400 ngapi zilizo wekwa kila kona? Au unazani mfano Tanzania wakinunua S-400 ikawekwa Dar basi iyacover nchi nzima.
Ha ha ha ha ha ha! Anajua inaweza kuhamishwa kirahisi kupelekwa popote pale.
 
Makombora 60 ya Tomahwk si mchezo,lakini kama yametua 23 mengine yameangukia wapi?,
na kwanini kiwango cha uharibifu ni kidogo sana na hakilingani na makombora yaliyotumika?
Ukienda utube utaona kabisa hata Runway ya ndege bado iko intact,
jengo la kuhifadhi ndege limeathirika kwa kiwango kidogo sana utadhani ilikuwa inalipuka baruti,

trump amekurupuka kushambulia just for show ili kujikosha kuwa yeye si kibaraka wa putini,
sasa russia wamekata mawasiliano na marekani huko syria,
kwa msiojua marekani alikua hawezi kurusha ndege syria bila kumtaarifu mrusi kwanza wakihofia kutunguliwa na S-400.
Sasa haya mawasiliano hayapo means mmarekani sasa atarusha ndege syria at her own risk.

Hali hiyo pia inawaweka hatarini makomando wa marekani karibu 5000 walioko syria,kwani mrusi anaweza kuwashambulia kwa makombora na akajitetea kuwa alidhani ni ISiS,

huu mchezo sasa umefikia patamu,sasa ndo tutajua kati ya mrusi na marekani nani atarudisha majeshi nyuma
 
Mkuu sio Libya tu...nchi zote alizoshirik kuwaondoa watawala... USA ameziacha kwenye machafuko mpaka leo...mfano, Libya,misr, Iraq,hata Vietnam japo Sasa imetulia... Cjui kwa nn hajifkr kama ndo source ya migogoro...
HII INAASHIRIA KUWA HAO WATAWALA HAWAKUONDOKA KIHALALI KWA MAPENZI YA MUNGU.

SIKU ZOTE DAMU HUDAI DAMU, DAMU ISIYO NA HATIA ITADAI DAMU.
 
Mzungu huwezi kulinganisha au kumpambanisha na Mwarabu hata kidogo, fikiria tu kidogo ni Nchi ngapi za Kiarabu zimegonganishwa vichwa na wakachapana wenyewe kwa wenyewe na kuvuruga kbs Nchi zao na uangalie je hao Waarabu kuna Nchi yoyote ya Wazungu wameweza kuwavuruga?
Jibu ni HAKUNA. Na bado mpaka sasa wanaendelea kuvurugwa, wao wamebaki kujilipua na kulaani tu, hawana umoja kama USA anavyoungana na England, Italy, France n.k
 
Hivi jamaa alitaka kuwamaliza kwa gesi gani maana naskia chanzo ni gaseous strike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom