Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

bb5b430e803a53d7254f3099f192c8ff.jpg
tarehe 29/08/2013

Huyu Jamaa na huyu wa kwetu hawana tofauti sana....walidhani kuongoza nchi ni kitu rahisi sana...ila kwa sasa ndo wanaona ugumu wake...sema wanakomaza tu vichwa.
 
Ivi bado mnaamini assad ndiye aliyetumia zile silaha za sumu?? Hamuijui USA nyie hasa katika propaganda!!
 
Trump endelea kuangusha makombora mpaka magaidi wateketee
 
Hivi unategemea Urusi akubali kuwa all the 59 Missiles zilitua kwenye hiyo Base? Ili yeye aonekane weak pamoja na defence system yake?
Ukiangalia hiyo video haioneshi cha maana
Na kama Urusi anajua hakuna kilichoathirika kwanini analalamika?
Kwanini aseme ataongeza defence
 
nampongeza Trump kwa hatua muhimu na bora kabisa. walimzoea obama,sasa jamaa kaingia lazima wajaze vyoo.
Unanishangaza san mkuu unashabikia vita?shame on u
 
Mods: Huu uzi ni wa kiswahili sio kule international. Siku hizi JF wapo hadi mahausigeli. Proved. Wengi wao lugha ya meli inawapiga za chembe. Acha tujinafasi na sisi huku kwa lugha yetu wenyewe. So, msifute wala ku merge!

Ni hv kidume Trump kafanya kweli kwa Syria. Baada ya ile sumu iliyowaua watoto kadhaa huko Syria, sasa kama mnavyomjua Trump huwa harembi mambo.

Mwanaume lazima uwe very straight hasa kwa machoko wazinguzi. So, jamaa kapiga yaani huko Syria.

Dah vita mbaya sana, sema ndo hvyo sometimes inabidi tu iwepo ili kuweka dunia sawa.

Samahani kwa uandishi wangu!

Unafurahia Syria kupigwa ama vipi? emu weka waz tujue namna kukujibu.
 
Watu wanauliza kama makombora 23 kati ya 36 yenye thamani ya dola milioni 54 hayajulikani yametua wapi,au ndo kamchezo kama kale ka kina bashite unapiga mkwara mzito kisha unawafuata waarabu kuwatoa ngawira na magari kwa lazima.
Makombora yameyukia hewani,

hivi makombora 59 yatazikosakosa vipi ndege ambazo zilikuwa zimepaki peupe na wala si ndani ya hangar lao,?

April 7, 2017
“Where Did They Go?” AsksRussiaAfter 36USMissiles Fired AtSyriaFail To Arrive
By: Sorcha Faal, and as reported to her Western Subscribers
An interestingMinistry of Defense( MoD) report circulating in the Kremlin today states that Federation military commanders have failed to receive an explanation from their US military counterparts on the whereabouts of 36 Tomahawk cruise missiles( valued at $54 million) said by the Americans to have been fired into the Levant War Zone(Syria)—but as of now appear to have just disappeared.[Note:Some words and/or phrases appearing in quotes in this report are English language approximations of Russian words/phrases having no exact counterpart.]
According to the official MoD statement about this incident:
“ On April 7, from 3.42 to 3.56 (MSK), two destroyers of the US Navy (USS Ross and USS Porter) made a massive strike with 59 Tomahawk cruise missiles from the area near Crete Island against the Syrian Shayrat Air Base (Homs province).
According to the objective monitoring data, 23 missiles reached the Syrian Air Base.
As a result, an equipment depot, a training building, a mess, six MiG-23 aircraft in repairing hangars as well as a radar station were destroyed. The runway, taxiways and aircraft of the Syrian Air Force at parking places were not damaged. According to the information received from the Air Base Command, two Syrian servicemen are missing, 4 were killed and 6 got burning wounds during firefighting.
Therefore, the combat effectiveness of the American massive missile strike on the Syrian Air Base is extremely low.”.

“Where Did They Go?” Asks Russia After 36 US Missiles Fired At Syria Fail To Arrive
 
Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Vipi alivyotelewa Gaddafi ilitulia?
Vipi alivyotelewa Saddam Irack ilitulia.?.

USA hayupo tayari kwa kumaliza vita ila kuendeleza na kulinda maslahi yake.!
 
Hahaaa uandishi wake umeniongezea siku
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Russia hatachukua hata zozote huyu yeye hapo anaangalia hiyo vita itakuwa na maslai gani kwake ikiwa ni kuuza silaha tu
 
Hivi unategemea Urusi akubali kuwa all the 59 Missiles zilitua kwenye hiyo Base? Ili yeye aonekane weak pamoja na defence system yake?
Ukiangalia hiyo video haioneshi cha maana
Na kama Urusi anajua hakuna kilichoathirika kwanini analalamika?
Kwanini aseme ataongeza defence
mkuu nimeweka link ya sputink hapo ina kama picha40 za uharibifu huo wa shambulio,
runways inaonekana haikuwa damaged,pia kwa nje sehemu ya wazi kabisa zilikuwepo ndege tano za syria,hazikupata hata mkwaruzo,sasa jiulize Tomahawk 50 zinaweza kufanya damage ndogo kiasi kile?,

pia asubuhi sana nilisoma mahali kuna mabaki ya Tomahawk yameonekana kule Latakia,

hiyo maana yake hizi silaha sio presion kama wanavyodai
 
Hivi unategemea Urusi akubali kuwa all the 59 Missiles zilitua kwenye hiyo Base? Ili yeye aonekane weak pamoja na defence system yake?
Ukiangalia hiyo video haioneshi cha maana
Na kama Urusi anajua hakuna kilichoathirika kwanini analalamika?
Kwanini aseme ataongeza defence
mkuu nimeweka link ya sputink hapo ina kama picha40 za uharibifu huo wa shambulio,
runways inaonekana haikuwa damaged,pia kwa nje sehemu ya wazi kabisa zilikuwepo ndege tano za syria,hazikupata hata mkwaruzo,sasa jiulize Tomahawk 50 zinaweza kufanya damage ndogo kiasi kile?,

pia asubuhi sana nilisoma mahali kuna mabaki ya Tomahawk yameonekana kule Latakia,

hiyo maana yake hizi silaha sio presion kama wanavyodai
 
Trump endelea kuangusha makombora mpaka magaidi wateketee
Ivi bado mnaamini assad ndiye aliyetumia zile silaha za sumu?? Hamuijui USA nyie hasa katika propaganda!!
Ukifikiria Assad haiwezekani kuwa ni yeye ametumia silaha za sumu. Hii vita alishaishinda, alishawaweka mfukoni ISIS/Al Qaeda(makundi yanayodhaminiwa na EU/NATO na US). Nimefuatilia propaganda ya nguvu inayofanywa na Media za West na ni wazi wameamua kuifufua vita hii ili wamtoe Assad.

Shambulio la silaha za sumu lilishafanywa siku za nyuma na ISIS, wapinzani wa Assad.

Link ‘FALSE FLAG’ — Ron Paul Says Syrian Chemical Attack ‘Makes No Sense’

Link1. Ron Paul: "Zero Chance" Assad Behind Chemical Weapons Attack In Syria; Likely A False Flag | Zero Hedge
3. US official: 'IS making and using chemical weapons in Iraq and Syria'
By Paul BlakeBBC News, Washington
There is a growing belief within the US government that the Islamic State militant group is making and using crude chemical weapons in Iraq and Syria, a US official has told the BBC.

The US has identified at least four occasions on both sides of the Iraq-Syria border where IS has used mustard agents, the official said.

The official said the chemical was being used in powder form.

A BBC team on the Turkey-Syria border has seen evidence backing these claims.

The US believes the group has a cell dedicated to building these weapons.

"They're using mustard," the individual said of IS. "We know they are."

4. New York times: Nov 21, 2016 - ISIS Used Chemical Arms at Least 52 Times in Syria and Iraq, Report Says ... WASHINGTON — The Islamic State has used chemical weapons, ...
 
mkuu nimeweka link ya sputink hapo ina kama picha40 za uharibifu huo wa shambulio,
runways inaonekana haikuwa damaged,pia kwa nje sehemu ya wazi kabisa zilikuwepo ndege tano za syria,hazikupata hata mkwaruzo,sasa jiulize Tomahawk 50 zinaweza kufanya damage ndogo kiasi kile?,

pia asubuhi sana nilisoma mahali kuna mabaki ya Tomahawk yameonekana kule Latakia,

hiyo maana yake hizi silaha sio presion kama wanavyodai
we jamaa umezidi ushabiki, Wasyria, Wairan wanasema hakun tena kambi ya jeshi wewe unasema makombora hayakuwa effective
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom