Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Mkuu, Russia hawajapeleka S400 walipeleka S300 hata hivyo ziko kwenye kambi za kirusi ambazo wanaopereti warusi, haziko kwenye kambi za wasiria, huo mfumo uliwekwa kwa ajili ya warusi pindi ikitokea kitisho cha mashambulizi kwenye maeneo ya warusi nasio maeneo ya wasiria.
mkuu zote zipo,yaani S-400 na S-300,
na zote zinacover karibu syria yote kuachia mashariki ya syria,zimecover mpaka israel karibu yote kwa maana kuwa ndege ikiwa bado kwenye runway kule uwanja wa ben gurion israel rada zake zinaiona,
ishu hapa marekani,na russia na pia russia na israel wana memorandum of understanding kuwa killa marekani akitaka kufanya operation lazima kuitaarifu Russia ili kuepuka kutokea ajali,
na vilevile israel hawezi kufanya operation syria bila kuitaarifu russia.

Sasa russia akitaarifiwa inabidi astand down,

ndo maana hata jana nusu saa kabla ya shambulio marekani akatoa taarifa ,ila akawa mjanja kutoa taarifa kwa kamanda wa russia aliepo syria,lakini russia kama kawaida akawapa warning syria,kisha akastand down,

ndo maana leo mrusi alipoamua kujitoa katika makubaliano marekani wameshinda wanambembeleza kwani wanajua sasa itakuwa ngumu kufanya kazi zao syria kwa usalama,
russia imerudisha mawasiliano hayo jioni hii
 
Nina maswali najiuliza pasipo majibu
1.Wanasema urusi wametarifiwa,so wanatarifiwa ili iweje??
2.Na hapo U.S.A ana attack serikali ya syria au ana attack vikundi vya waasi
3.Kama.ana attack serikali ya syria kwa nini aitarifu serikali ya syria??? hv unaweza ukapigana na adui alafu ukamtaarifu?
Maswali mazuri!
Jibu ni kuwa marekani anafahamu kuwa Warusi wameweka mitambo yao ya kulinda anga la syria nchini syria inaitwa surface to air anti-missile system & anti-aircraft system!
Sasa ili ushambulie anga la syria lazima uanze kuangamiza mfumo huu wa ulinzi wa warusi vinginevyo makombora yote yataangamizwa jangwani!
Swali linakuja je marekani ana ubavu wa kushambulia mfumo wa ulinzi wa urusi ili afanikishe mipango yake? Jibu ni kuwa hawezi maana akifanya hivyo urusi naye atajibu mapigo na vita vikubwa vitalipuka!
Ndiyo maana walitoa taarifa ili urusi wakubali kutokutumia mfumo wao wa ulinzi dhidi ya makombora ya cruise missiles ya marekani! Urusi walikubali lakini kwa masharti ambayo hayajawekwa wazi. Nadhani sharti moja wapo ni kuwa wasirudie tena! Na hutawaona wakirudia!
 
Wewe hujui kitu. When the "Big guys" do their business no, no and nobody can obstruct.
Taarifa ni kwamba Putin alijulishwa before the Tomahawk launch.."just information" sio kuomba ruhusa. Na wlimjulisha aondoe vijidege vyake.
Taarifa ni kwamba air defense system (possibly Russian s300/400) su 22 and many other more.
Kwa taarifa yako, hata wakati Sadam Hussein anatwangwa Russians had their plane and interests there..Just got informed!
Assad siku zake za utawala zinahesabika

Let us wait and see!
 
Pro Russians Defence system zenu zimebakwa jana
 
Mie nawaonea huruma wale vijana wadogo wanaoenda vitani wanapoteza maisha kwa ujinga tu, yeye Trump kama kidume kwa nini asiende yeye?? Anajua yeye wala ndugu zake hawamo kwenye list ya wanajeshi wanaoenda vitani, ila na nyie Syria ndio nini kuchinja wenzenu kama kuku?
Kuna SFA (Syrian Free Army) iliyoanzishwa miaka ya 2000 ili kupambana na regime ya Bashir al Assad kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu na ahadi nyingi zilizotolewa tokea enzi za utawala wa baba yake Assad (tokea mwaka 1971 familia ya Assad inatawala Syria).

Hivo kutokana na public sentiments ikaundwa hiyo SFA ili kumtoa Assad madarakani, tatizo wao walikuwa decentralized, unorganized na unarmed. (Yaani hawakuwa na mipango mathubuti, uongozi wa kuelewaka na pia silaha za kueleweka)

Hapa sasa mujahidins wakapata nafasi ya kuingia kwenye hii civil war. Wao wakataka coalition na hawa SFA waliokuwa na nia njema ya kui liberate Syria. Kwakuwa SFA haikuwa na sifa nilizotaja hapo juu wakakubali kuwa wamoja na hao Mujahidin ambao wao walikua wapo advanced.

Baada ya mapambano kuanza basi vita ikawa ya waasi na vikosi vya serikali na hao waasi ujue ni watu wanaooperate wakiwa mitaani hivyo huwezi kujua huyu kama ni raia au muasi. Vikosi vya serikali vinastrike na kuua thousands of innocent civilians nao waasi wana strike back. Hapo sasa ndio unasema wanachinjana wenyewe..

Na wale waasi wakishateka mji fulani ni ngumu watu kutoka kwakuwa wanauzungusha mji land mines na ukijaribu kutoroka ujue kifo mkononi, ukitaka kutoka kihalali lazima kuna kiasi cha pesa unatakiwa utoe, kama una mali unakabidhi hati miliki n.k. Kwa wanaobaki kuna kodi za aina mbali mbali, hivi ndivyo hao waasi wanavyojiendesha..

Maisha yamekuwa magumu sana kwa raia wakawaida kuna jamaa mmoja aliwahi kuwa quoted akasema "life has gone from unemployment to slavery" asee usiombe haya mambo we sikia tu.

Tuendelea kufurahia amani uchwara bongoland japo kuna akina Bashir al Assad wanamiliki inji yao.
 
Maswali mazuri!
Jibu ni kuwa marekani anafahamu kuwa Warusi wameweka mitambo yao ya kulinda anga la syria nchini syria inaitwa surface to air anti-missile system & anti-aircraft system!
Sasa ili ushambulie anga la syria lazima uanze kuangamiza mfumo huu wa ulinzi wa warusi vinginevyo makombora yote yataangamizwa jangwani!
Swali linakuja je marekani ana ubavu wa kushambulia mfumo wa ulinzi wa urusi ili afanikishe mipango yake? Jibu ni kuwa hawezi maana akifanya hivyo urusi naye atajibu mapigo na vita vikubwa vitalipuka!
Ndiyo maana walitoa taarifa ili urusi wakubali kutokutumia mfumo wao wa ulinzi dhidi ya makombora ya cruise missiles ya marekani! Urusi walikubali lakini kwa masharti ambayo hayajawekwa wazi. Nadhani sharti moja wapo ni kuwa wasirudie tena! Na hutawaona wakirudia!

Si kweli ulichozungumza.
 
Swali la Kwanza

Urusi alipewa taarifa ili aondoe Personels wake na videge vyake

Swali la pili

Serikali ya Syria ndio ililipua mabomu huko Idbil hadi hao watu wakafa

Swali la Tatu

Syria hakupewa taarifa na USA
Hata kama angepewa bado asingejua wapi anapigwa kwani Pentagon walikuwa na uwezo wakudondosha hata Pallace zao ila wakaona watoe warning
Wewe huwajui warusi!
Marekani anajua kuwa urusi ana mfumo wa kulinda anga la syria! Ili ushambulie syria ni lazima ushambulie kwanza mfumo huu wa warusi! Na ukiushambulia maana yake ni kuwa umeishambulia urusi! Hakuna kichaa anayeweza kuchezea moto huo!
Ilibidi watoe taarifa ili urusi wakubali kutokuutumia huu mfumo na pia urusi ielekeze targets ambazo ina maslahi nazo ili zisishambuliwe!
 
yale matoi(s-400&s-300) hamna anaeyaogopa c US ama israel....yapoyapo tu
 
Njia pekee ambayo naona Russia wanaweza kutoka kwenye Hii vita wamefaidika ni kushinikiza kugawanywa kwa Syria, vinginevyo waendelee kulindia Syria isiyo kuwa na Mbele au Nyuma.
 
Wewe huwajui warusi!
Marekani anajua kuwa urusi ana mfumo wa kulinda anga la syria! Ili ushambulie syria ni lazima ushambulie kwanza mfumo huu wa warusi! Na ukiushambulia maana yake ni kuwa umeishambulia urusi! Hakuna kichaa anayeweza kuchezea moto huo!
Ilibidi watoe taarifa ili urusi wakubali kutokuutumia huu mfumo na pia urusi ielekeze targets ambazo ina maslahi nazo ili zisishambuliwe!
amna kitu ww israel kila cku anajipigia tuu sasa marekan nao wanalipua viwanja.......hio mkifumo ya ulinz infny kaz gan?
 
Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile

Wanetolewa kina sadam kumetulia?!
 
Wewe huwajui warusi!
Marekani anajua kuwa urusi ana mfumo wa kulinda anga la syria! Ili ushambulie syria ni lazima ushambulie kwanza mfumo huu wa warusi! Na ukiushambulia maana yake ni kuwa umeishambulia urusi! Hakuna kichaa anayeweza kuchezea moto huo!
Ilibidi watoe taarifa ili urusi wakubali kutokuutumia huu mfumo na pia urusi ielekeze targets ambazo ina maslahi nazo ili zisishambuliwe!

Hakuna ambacho Urusi anaweza mfanya USA
Alimpa taarifa tu ili watu wake wasiwe kati ya watakao kufa
Marekani hakuwa na mpango na defence system
Kama angetaka angezichomoa maana uwezo anao na hakuna ambacho Urusi angefanya
 
Russia won't retaliate militarily, nazaidi US pamoja na allies wanaendelea kufanya vita inakuwa ngumu
True Russia cannot retaliate militarily for the same reasons America did not retaliate militarily when Russia attacked and took Crimea!
 
Na Pentagon hivi sasa wanasema kuwa Urusi alihusika kwenye hiyo Chemical attack
 
Mie nawaonea huruma wale vijana wadogo wanaoenda vitani wanapoteza maisha kwa ujinga tu, yeye Trump kama kidume kwa nini asiende yeye?? Anajua yeye wala ndugu zake hawamo kwenye list ya wanajeshi wanaoenda vitani, ila na nyie Syria ndio nini kuchinja wenzenu kama kuku?
Unavyowachamba sasa km unawaona vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Njia pekee ambayo naona Russia wanaweza kutoka kwenye Hii vita wamefaidika ni kushinikiza kugawanywa kwa Syria, vinginevyo waendelee kulindia Syria isiyo kuwa na Mbele au Nyuma.
ikigawanyikA ndo itakua mwanzo wa mwsho wa uwepo wa russia syria...maana wasuni na wakurdi wameegamia US na ile jamiiya assad ya washia wa alawite pamoja christians ambao huunga mkono assad/russia ni wachache mno
 
Marekani hakumtaarifu Russia kama taarifa rasimi....bali ametoa taarifa kwa wote ili raia na watu wengine wajiweke mbali na maeneo hayo.....
Si kweli! Hiyo ni taarifa rasmi ili urusi isitumie air defense system yake iliyopo syria! Bila hivyo SAA hii tungekuwa tunaongea mengine! Maana ingebidi waanze kuteketeza kwanza huu mfumo wa warusi ndipo wapate mwanya wa kushambulia targets zingine! Hakuna kichaa marekani anayeweza kuthubutu hilo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom