usiingize mambo ya Bible hapa. pia jua kuwa goliathi hakuuawa na daudi, aliuawa kwa nguvu za Mungu. nguvu ya Mungu pekee ndio iliyomuua adui wa waisrael, na goliati alikuwa mpalestina wa Gaza,kama angekuwa hai leo angekuwa hamas, na Mungu kuwatetea watu wake ndio akamtumia kijana mdogo kabisa. ukija upande wa Mungu alishaahidi hatakuja kuwatupa israel, hivyo anayepambana na israel ni adui wa Mungu. syria ni adui wa israel siku zote na wamekuwa wakiwafund hezborah, Mungu anawaumbua na kuwasambaratisha ili israel ibaki na amani.
urusi imetabiriwa hadi kwenye Bible, hilo taifa la kaskazini kuwa litakuja kwa nguvu kubwa kuisambaratisha israel na kuifuta toka kwenye uso wa dunia, lakini Mungu atawapiga kwa mvua ya mawe na radi hadi watakufa robo tatu. russia wataungana na mataifa ya kiarabu hayohayo dhidi ya israel, na hakuna taifa litakalowakuwa na uwezo kupamana na jeshi hilo, hata marekani hatakuwa na uwezo, ila Mungu ndio atajitwalia utukufu. al magedoni na gogu na magogu kasomeni.