pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Ngojeni waje wapigwe ndugu zenu halafu tuone mukishangilia kama hivi
Usicheze na USA, hizo S-300 sijui S-400 zimegeuka midori, tens Israel alisema atazipiga zote!!!Zile s-300 na s-400 za russia hazijatungua ndege za america huko syria
Usifikiri kuwa Amerika ameshambulia bila kibali cha Urusi! Kama ni hivyo kwa nini marekani ilibidi watoe taarifa kwanza kwa Urusi kabla hawajashambulia?
Ukweli ni kwamba marekani na urusi walikaa mezani wakakubaliana kwanza! Na kiwango cha mashambulizi wakakubaliana hata Target za kulengwa wakakubaliana.
Marekani wanajua kabisa kuwa anga la Syria linalindwa na urusi, wakishambulia ghafla, ant-missile system ya warusi itafunguka na kutakuwa na star wars kitu kinachoweza kupelekea vita kubwa sana!
Urusi hawezi kukiri moja kwa moja kuwa walikubaliana kwa sababu akifanya hivyo mshirika wake Assad atajisikia vibaya.
Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa kwenye pwani ya Syria kuna manowari kubwa za kivita za Warusi! Syria is a strategic position for Russia! Ndiyo maana anamlinda Assad kwa nguvu zote!
daaaaaaaah mkuu, nataka niwe mrithi wako kwa hizi Mvua za nondo. [HASHTAG]#Elungata[/HASHTAG] Jrmkuu zote zipo,yaani S-400 na S-300,
na zote zinacover karibu syria yote kuachia mashariki ya syria,zimecover mpaka israel karibu yote kwa maana kuwa ndege ikiwa bado kwenye runway kule uwanja wa ben gurion israel rada zake zinaiona,
ishu hapa marekani,na russia na pia russia na israel wana memorandum of understanding kuwa killa marekani akitaka kufanya operation lazima kuitaarifu Russia ili kuepuka kutokea ajali,
na vilevile israel hawezi kufanya operation syria bila kuitaarifu russia.
Sasa russia akitaarifiwa inabidi astand down,
ndo maana hata jana nusu saa kabla ya shambulio marekani akatoa taarifa ,ila akawa mjanja kutoa taarifa kwa kamanda wa russia aliepo syria,lakini russia kama kawaida akawapa warning syria,kisha akastand down,
ndo maana leo mrusi alipoamua kujitoa katika makubaliano marekani wameshinda wanambembeleza kwani wanajua sasa itakuwa ngumu kufanya kazi zao syria kwa usalama,
russia imerudisha mawasiliano hayo jioni hii
Wanasema baada ya kupewa taarifa ya mashambuliz Zilizimwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kijana zile betri zilicnzia tena au leo kuna excuse gan?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]si afadhali kama nawaona,mkuu nabwabwaja kama wataniona vile 😀😀😀😀😀
Ndiyo maana walikubali kuzima mfumo wao wa ulinzi wa anga na kuruhusu mashambulizi limited kwa syria ila akasema msirudie tena! Na hawatarudia! Maana mrusi amekata mawasiliano ya kijeshi na marekani nchini syria! Akijaribu kushambulia mfumo wa ulinzi wa mrusi utafuatilia mpaka makombora yanakotoka! Marekani lazima awe mpole kama alivyokuwa mpole wakati Urusi ilipovamia Ukraine na kuteka Crimea!Baada ya tukio la sumu
Naamini Urusi watakuwa wamehuzunishwa ni fedheha
Watu mko kishabiki zaidi, hebu soma kwnye hiyo italic bold mark.yale matoi(s-400&s-300) hamna anaeyaogopa c US ama israel....yapoyapo tu
Marekani kamwe hawezi kuteketeza magaidi maana anawategemea watumike kumwondoa Assad!Trump endelea kuangusha makombora mpaka magaidi wateketee
Ooo sijui Marekani anamwogopa mrusi ooo sijui S-400, haya sasa kapiga 59 tomahawk Cruise missiles, wakiambiwa USA ni baba wa dunia wanaleta hadithi, kapiga sasa tuone.Assad anataka kufanana na baadhi ya viongozi flan hv wa bara flan hv.....Six yrs war.....mwisho wake upo tuu...vita ya 3 ni ngumu...na Assad atauawa soon.....hakuna cha Russia wala mtu gani mbele ya USA......ila kwa akili ya kawaida ya kibinadamu waweza fikiri vyovyote.....fikiria kivingine hahaaaaa.
kweli wanaume wanapenda vitu ubabe ubabe,
hii topic hamna mwanamke,
hahahaaaaa ngoja nisepe na mie lol
Richard mambo?
Kwani Richard hajakujibu POA?!kweli wanaume wanapenda vitu ubabe ubabe,
hii topic hamna mwanamke,
hahahaaaaa ngoja nisepe na mie lol
Haujafuatilia kwa ukamilifu hili sakata! Marekani alitoa taarifa kwa urusi kabla ya shambulizi ili urusi isitumie defence system yake! Urusi walikubali kutokutumia defense system yao ili kuepusha Shari. Vinginevyo SAA hii habari ingekuwa nyingine kabisa! Ujue defense system huelekeza pia kushambulia mpaka chanzo cha shambulizi ambalo ni manowari za marekani zilizopo bahari ya Mediterranean! Sasa marekani hawawezi tena kurudia kushambulia syria maana urusi ameshawakatia mawasiliano! Wakiamua kushambulia wajue mashambulizi yatajibiwa kikamilifu!Hivi unategemea Urusi akubali kuwa all the 59 Missiles zilitua kwenye hiyo Base? Ili yeye aonekane weak pamoja na defence system yake?
Ukiangalia hiyo video haioneshi cha maana
Na kama Urusi anajua hakuna kilichoathirika kwanini analalamika?
Kwanini aseme ataongeza defence
Sasa kama hujui kwanini uendelee kubisha usichokijuaHaya me sijui, tueleze vizuri bhasi ww mjuaji ili niache ushabiki vitumbua.
kwanza si kweli kuwa marekani iliarifu urusi kabla ya shambulio. zipo nchi zilizoarifiwa moja wapo ni Israel. urusi hakuarifiwa na marekani wamesema shambulizi limetekelezwa 'without russia approval'Haujafuatilia kwa ukamilifu hili sakata! Marekani alitoa taarifa kwa urusi kabla ya shambulizi ili urusi isitumie defence system yake! Urusi walikubali kutokutumia defense system yao ili kuepusha Shari. Vinginevyo SAA hii habari ingekuwa nyingine kabisa! Ujue defense system huelekeza pia kushambulia mpaka chanzo cha shambulizi ambalo ni manowari za marekani zilizopo bahari ya Mediterranean! Sasa marekani hawawezi tena kurudia kushambulia syria maana urusi ameshawakatia mawasiliano! Wakiamua kushambulia wajue mashambulizi yatajibiwa kikamilifu!