Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Huyu jamaa naye kaanza kuiga mambo ya watu weusi mtoto wake ndiye alitengeneza cabinet..

Sasa mkwe ni mshauri mkuu wa mipango yote ya uchumi na mambo ya mashariki ya kati .

Wacha tuone mwisho wake itakuwaje.

======

Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mkwe wake Jared Kushner, kuwa mshauri mwandamizi wa Ikulu ya nchi hiyo.

Kushner mwenye umri wa miaka 35 ambaye amemuoa binti mkubwa wa Trump, Ivanka, alifanya kazi kubwa wakati wa kampeni za uchaguzi, zilizomuwezesha Trump kushinda.

Majukumu ya kazi yake yanatarajiwa kuhusika na masuala ya sera za nje na ndani ya nchi, ikiwemo masuala ya biashara na Mashariki ya Kati.

Uteuzi huo hauhitaji kuthibitishwa na bunge la seneti.

Lakini hata hivyo baadhi ya wachambuzi wanahoji kama uteuzi huo utakiuka sheria ya kupinga upendeleo wa undugu katika ajira.

Jared Kushner hata chukua mshahara kwa uteuzi huo wa Ikulu ya Marekani na itampa nafasi ya kumfanya kuwa huru na maslahi ya shughuli zake za kibiashara.

Chanzo: BBC
 
Kwa tunaomfahamu Jared Kushner hatuwezi kushangaa wala kuponda! Kijana yuko njema kichwani na ni good strategist.. Ana mchango mkubwa sana mpaka Trump kuingia Ikulu na ni moja ya watu wachache Trump anaowaamini 100%
Nakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..

Jiulize hivi marekani kuna wataaramu wangapi wenye uwezo wa kushika hizo nyadhifa?...

Kwanini iwe kwa ndugu tu ?......
 
Nakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..

Jiulize hivi marekani kuna wataaramu wangapi wenye uwezo wa kushika hizo nyadhifa?...

Kwanini iwe kwa ndugu tu ?......
Ishu sio kuwa na sifa au uwezo wa kufanya kazi hiyo! Yawezekana kuna watu hata elfu wenye uwezo wa kufanya hiyo kazi, but unapofanya uteuzi nyeti kama huo kuna vigezo vingine vya ziada;
Mfano lazima achague mtu anayemuamini pasina shaka yoyote kuhusu 'loyalty' yake kwake.. Pia ni lazima awe mtu ambaye amemshuhudia first hand akifanya mambo makubwa..

Kushner ni moja ya watu wachache waliojidevoted 100% kwa Trump toka siku ya kwanza Trump ametangaza candidacy na ulimwengu mzima ukacheka..
Kwahiyo ishu sio 'undugu' bali ni mahusiano ya muda mrefu wa kikazi yaliyotengeneza Trust and admiration kati yao.. Sasa kwanini amuache mtu anayemuamini, kumuadmire na ana hakika na utendaji wake wa kutukuka akamchague 'stranger' ambaye hana hakika na 'loyalty' yake kwake wala hajawahi kushuhudia utendaji wake 'first hand'.??
 
Kwa Trump lazima Marekani itaanguka vibaya sana tena sana,,,,,,,,,,,,,,,
 
Mara ya kwanza walisema hatashinda Urais, ameshinda japo wanaleta figisu figisu za ajabu ajabu. Anatengeneza serikali wameanza tena utabiri kwamba atashindwa, kwanini wasimuache aapishwe waone atakavyoendesha serikali take ndio wamkosoe?

Nakubali kwamba kufanikiwa kwenye biashara sake sio guarantee kwamba ataongoza serikali vizuri au uhakika wa kufanikiwa utawala wake lakini naamini vyote, kuongoza serikali vizuri na kufanikiwa kwenye biashara kunahitaji kanuni na nidhamu zinazofanana ili kufanikiwa.
 
Time will tell, anguko kubwa LA Marekani limewadia
Fisi anaposubiri mkono wa binadamu udondoke. Anapoona anatembea kushotokulia anasema " huo huo unadondoka" mara binadamu anaweka mikono mfukoni; fisi anaguna ayaaaaa!! Jamaa akianza
tena kutembea na fisi anaanza tena " huo huo unadondoka.

Kwahiyo mtasubiri saaaana hilo anguko la Marekani.
 
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mkwe wake Jared Kushner, kuwa mshauri mwandamizi wa Ikulu ya nchi hiyo.

Kushner mwenye umri wa miaka 35 ambaye amemuoa binti mkubwa wa Trump, Ivanka, alifanya kazi kubwa wakati wa kampeni za uchaguzi, zilizomuwezesha Trump kushinda.

Majukumu ya kazi yake yanatarajiwa kuhusika na masuala ya sera za nje na ndani ya nchi, ikiwemo masuala ya biashara na Mashariki ya Kati.

Uteuzi huo hauhitaji kuthibitishwa na bunge la seneti.

Lakini hata hivyo baadhi ya wachambuzi wanahoji kama uteuzi huo utakiuka sheria ya kupinga upendeleo wa undugu katika ajira.

Jared Kushner hata chukua mshahara kwa uteuzi huo wa Ikulu ya Marekani na itampa nafasi ya kumfanya kuwa huru na maslahi ya shughuli zake za kibiashara.

=====
(CNN)Donald Trump's son-in-law, Jared Kushner, will be senior adviser to the president, a senior transition official told CNN Monday.

The 35-year-old businessman-turned-political strategist played a key part in his father-in-law's presidential campaign and his new position is expected to test the limit of federal anti-nepotism rules. The move comes ahead of a Wednesday news conference in which Trump is expected to detail how he plans to manage his company's potential conflicts-of-interest after he enters the White House.

Kushner plans to resign from the management positions he holds at his companies, including as CEO of Kushner Companies, publisher of The Observer and positions with other organizations, and will divest from a "significant number" of his assets to comply with government ethics rules, Kushner's attorney Jamie Gorelick told CNN on Monday.

Kushner also will not take a salary as he steps into the West Wing job, an official who briefed on behalf of the transition told reporters later on Monday.

Top Democrats on the House Judiciary Committee issued a statement within hours of Kushner's appointment calling on the Justice Department and the Office of Government Ethics to review the appointment's legality in light of the anti-nepotism statute.

"There is a strong case to be made that the White House is an "agency" for purposes of the anti-nepotism statute and that it would apply to bar Mr. Kushner's appointment as a White House staff member," wrote Rep. John Conyers, the House Judiciary Committee's ranking member, and other top Democrats on the committee, in a statement released Monday evening.

Gorelick argued that the anti-nepotism statue which applies to presidential administrations excludes the White House office where Kushner would be based, though the statute is open to different interpretations. Kushner is related to the President-elect by marriage, but a 1967 law specifies "son-in-law" as a type of relative covered by the regulations.

"We have the better argument," Gorelick told CNN. "We are very confident in this position."
Gorelick added that she and transition officials have been in "pretty constant" communication with the Office of Government Ethics, which offered advice into how Kushner might best be able to divest his assets and comply with ethical requirements.

Kushner plans to recuse himself from "particular matters that would have a direct and predictable effect on his remaining financial interests," Gorelick said.

"He will also abide by federal rules requiring impartiality in particular matters involving specific parties. These steps are consistent with federal law and executive branch practice and evidence Mr. Kushner's commitment to public service," Gorelick added in a statement provided by the Trump transition.

Larry Noble, general counsel of the Campaign Legal Center and a CNN consultant, said while Kushner may be perfectly qualified "the problem is that when you hire relatives it raises questions about why."
"A classic abuse of hiring authority is hiring your own relatives," he said, adding that a court could find that the anti-nepotism law applies in this case, but the "practical reality" is that these issues don't come up very often.

Noble said if he was advising the President-elect and his son-in-law his advice would be: "Follow the anti-nepotism laws, they are meant to apply to the President. The point of the statute was to stop the President from hiring relatives, including son-in-laws."

Ivanka Trump, meanwhile, is likely to simply retain the title of "first daughter" without taking on an official staff title, a transition official told CNN on Monday. The source said it hasn't been decided yet whether she will have a West Wing office and her specific portfolio likely won't be announced for a while.

But Trump is expected to make clear in the presser that his daughter will not be running his company while he is in the White House.

Even as the Trump transition is expected to announce how Kushner's appointment won't violate anti-nepotism laws, Kushner, who owns his own real estate development firm, has continued to chase deals that raise questions about conflicts of interest.

Kushner met with a powerful Chinese business magnate in the week after his father-in-law's election as he sought to finalize a deal for the purchase of one of his most prized properties on Fifth Avenue, the New York Times reported, raising ethical questions.

Neither Kushner nor Trump have publicly commented on the concerns of nepotism.
Kushner, who is an observant Jew, first took a role in his father-in-laws' presidential campaign advising him on US policy toward Israel and helped write the speech Trump delivered to AIPAC, the pro-Israel lobby.

But his role quickly ballooned from there as he became a hugely influential figure in his father-in-law's campaign, wielding power over much of the campaign's strategy and data operation.
Since then, Kushner has become a key adviser and power broker to the President-elect during the transation, serving as a point of contact for powerful business interests, foreign governments and other powerful figures.

Kushner and Ivanka Trump recently picked a Washington home to move into, making a role for Kushner in the White House almost inevitable.
 
Nakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..

Jiulize hivi marekani kuna wataaramu wangapi wenye uwezo wa kushika hizo nyadhifa?...

Kwanini iwe kwa ndugu tu ?......
africa. mwingine hana uwezo hata wa kuongoza mke na watoto wake unashangaa ni mkuu wa majeshi ama anawekwa kwenye secta kubwa ambayo inayohitaji mtu makini sana tatizo la waaafrica ni uchu wa madaraka .............
 
Kwa tunaomfahamu Jared Kushner hatuwezi kushangaa wala kuponda! Kijana yuko njema kichwani na ni good strategist.. Ana mchango mkubwa sana mpaka Trump kuingia Ikulu na ni moja ya watu wachache Trump anaowaamini 100%
Mbona sijaelewa umecoment nin....kateuliwa mke wew unasifia kijana...sasa tukuelewe vip
 
Back
Top Bottom