Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,281
- 4,616
Eee-tatizo weusi wezi sana. wakifanya hivyo hujilimbikizia mali na hawafuati sheria.
hivi kweli watu weusi ni wezi sana..?
Eee-tatizo weusi wezi sana. wakifanya hivyo hujilimbikizia mali na hawafuati sheria.
We-Ruttashobolwa-wewe!Kwa Trump lazima Marekani itaanguka vibaya sana tena sana,,,,,,,,,,,,,,,
Si kweli kitu pekee ninachoungana na Trump ktk kumteua Jared Kushner ni kitendo cha Jared Kushner kupambana upande wa Trump na kuamini ndani ya Trump kwani kwa mtu yeyote hata mtoto kwa hali ilivyokuwa ktk kampeni kuamini Trump angeshinda, kwani alikuwa ametengwa mpaka na chama chake Trump ndo kiongozi pekee duniani anayekamilisha maana ya msemo "usikate tamaa hata kama utatengwa na kila mtu we jiamini na pambana mwisho wa mpambano ndio mwenye majibu si wale waliokutenga" sasa kwa hali ilivyokuwa hata angemteua Barron Trump kuwa mshauri mkuu wa white house ktk maswala ya watoto mm ningeona sawa tu aiwezekani waliopambana upande wako wasifaidi kile kilichokuwa kinawafanya walale usiku sana tena ktk wakati ww unawaitaji na ktk kipindi ambacho wengi walidhani ww huweziKaka kumvua chu.p.i Ivanka binti mkubwa wa Trump sio mchezo mazee; lazima uwe umekamilika kila idara. Hivi ile familia kwanza unaanza kuingiaje pale? Eti unaenda TRUMP TOWER "kumtongoza" Ivanka; dah ha ha ha! sio mchezo.
Weekend nitakuwa Campus Dom kufanya mazungumzo na mtoto..........mniombee.Fanya fasta mkuu, ile nafasi ya ukurugenzi wa Tanesco bado ipo wazi....
Mengine muulize M7 na mkewe na mwnanae MuhoziNakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..
Jiulize hivi marekani kuna wataaramu wangapi wenye uwezo wa kushika hizo nyadhifa?...
Kwanini iwe kwa ndugu tu ?......
Hahahaaaaaaa pweza Paul au YohanaWe-Ruttashobolwa-wewe!
Kipenga bado hata hakijapulizwa,unaleta tabiri za pweza wa ujerumani.
Trump yupo fiti zaidi ya fiti na Mambo yatakuwa Mswano
Mkuu kama unamjua vzr huyu dogo na mpka babaake mzazi ni watu wa magumashi washakopa sana kwa hela za dili na kuzungushia za social security. dingi ya huyo dogo yuko ndani kama sikosei kinamchombeba sana huyo dogo sana ni uyahudi wakeKwa tunaomfahamu Jared Kushner hatuwezi kushangaa wala kuponda! Kijana yuko njema kichwani na ni good strategist.. Ana mchango mkubwa sana mpaka Trump kuingia Ikulu na ni moja ya watu wachache Trump anaowaamini 100%
Duuuuhh! Yani Mkuu unaamini mtu akikopa ni magumashi?? Hebu nitajie kampuni yeyote kubwa au mfanyabiashara yeyote mkubwa ambaye hajawahi kukupa kupanua biashara yake???Mkuu kama unamjua vzr huyu dogo na mpka babaake mzazi ni watu wa magumashi washakopa sana kwa hela za dili na kuzungushia za social security. dingi ya huyo dogo yuko ndani kama sikosei kinamchombeba sana huyo dogo sana ni uyahudi wake
Kukopa ni jambo la kawaida sana.Mkuu kama unamjua vzr huyu dogo na mpka babaake mzazi ni watu wa magumashi washakopa sana kwa hela za dili na kuzungushia za social security. dingi ya huyo dogo yuko ndani kama sikosei kinamchombeba sana huyo dogo sana ni uyahudi wake
Sio kukopa hivo unafkiri kuna kama mchezo mchafu alifanya kwenye social securty ngj nieke hyo news uisome vyema hope utaelewaDuuuuhh! Yani Mkuu unaamini mtu akikopa ni magumashi?? Hebu nitajie kampuni yeyote kubwa au mfanyabiashara yeyote mkubwa ambaye hajawahi kukupa kupanua biashara yake???
Kesi ya baba yake imeisha siku nyingi sana na yuko uraiani karibu mwaka wa tano huu..
Unasema amepewa nafasi hiyo kwasababu myahudi?? Kwani kuna wayahudi milioni ngapi US? Why him??
Huyu dogo ni kichwa.. Nilimkubali kipindi kile akipofanikisha kufanya ile dili ya kihistoria kununua ghorofa pale New York kwa dola karibia bilioni moja alafu hakutumia hata shilingi kumi yake.. Alafu he was only 26 kipindi kile
Wewe unaweza kuona hayo magumashi ila hiyo inaitwa akili ya maisha!! Na ndio akili inayotumiwa na wafanyabiashara wakubwa wote unaowajua..
I second with you, mi naamini ulobby wake hasa na team yake ya jews inamsaidia katika harakati zakeKukopa ni jambo la kawaida sana.
Ila sidhani kama huyo jamaa ni 'kichwa' [whatever that means even].
I think he is just a fella of middling intellect.
Nothing whatsoever is extraordinary about his intellect.
But, we all have our standards and definitions of what and who 'kichwa' is.