Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Nilikuwa darasa la kwanza. Mwl wa hisabat akaingia. Akaandika swal la kujumlisha ubaon,, ukauliza anayejua kufanya swali apite mbele afanye swal. Nikapita nikafanya swal. Bahat mbaya nikalikosa. Alipiga bonge la kofi kichwan, akasema "nimesema anayejua kufanya swal we unapita". Iliniuma sana, sitasahau.