Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

Mkuu Kuhani Noah habari ya majukumu?

Aise nina Mitsubishi Canter kama toleo la Bakhresa tani 3 na TATA 713S tani 3.5 hizi zote ni Box Body. Kuna sehemu zilikuwa zinafanya kazi ila Corona ilivopiga jamaa walilazimika kupunguza magari. Sasa mkuu vipi wewe hauna connection ya kazi uniunge huko maana hali mbaya kweli kweli. Nimejaribu kukuPM naona umeweka private.

Kwa atakaehitaji gari napatikana hapa Piga/SMS 0744183343

IMG-20200324-100415.jpg
Iyo gari bado ipo
 
Bado zipo mkuu
 
Hello Team Magari . Tipper kama hii kwa Dar inalipa ikiwa mpya , na kwa mwezi unaweza kulaza shs ngapi baada ya kutoa matumizi yote ya gari ? Ni kiwango cha chini naulizia kabla, Nina mpango wa kununua hii unit.
Screenshot_2023-04-23-11-56-13-826_com.facebook.katana.jpg
 
Hello Team Magari . Tipper kama hii kwa Dar inalipa ikiwa mpya , na kwa mwezi unaweza kulaza shs ngapi baada ya kutoa matumizi yote ya gari ? Ni kiwango cha chini naulizia kabla, Nina mpango wa kununua hii unit. View attachment 2597012
Kama unayo moja kwa kuanzia itabidi uwe unaomba sub contract au upenyeze gari yako kwa kampuni za kati zenye kazi za bandarini,kubeba kokoto Lugoba,kubeba clinker Dangote na Maweni Tanga.

Kwa kazi za Bandarini inakutosha kutoichosha gari na kuwa na rotation kubwa ya trips. Kuna kazi za kubeba ngano,mbolea,sulphur na clinker. Malipo huwa kwa tani kutegemea na umbali unapopeleka kwenye yard/kiwanda/godown. Na wastani wa masaa 24 gari inaweza kufanya trip 3.

Mfano tani moja ya mbolea kumbebea bwana X ni elfu 20, utaitoa bandarini na kupeleka Tazara Kwenye godown Q.

Gari itabeba kulingana na aina ya trailer na axle configuration ili ipite salama mzani wa Tanroad Kurasini. Gari ikibeba tani 29, hivyo trip moja utakuwa umeingiza 580,000. Dereva hulipwa posho kwa siku hii utapanga wewe ili kuongeza uzalishaji na ufanisi. Kwa siku utapata 3*580,000 sawa na 1,740,000

Mafuta inategemea na truck yako,ukijua ratio ya gari yako kwenye mafuta utajua namna ya lita za kumpa dereva na akiba ili asikwame
 
Inalipa mkuu , kuliko kungangania kwenda Kwenda huko Lubumbashi nakosikia madereva wetu wa Kitanzania wanapata sana shida , kukaa huko hata mwezi mmoja . Thanks man
 
Back
Top Bottom