Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

Mimi natamani kuwekeza kwenye biashara ya vipuri vya trucks, naomba kwa mwenye kufahamu ABC's kama :

minimum startup capital, office location, spare za trucks gani zisikosekane, aina ya spares zenye mzunguko mkubwa n.k

Nipo dar, natanguliza shukran.!
 
Pia nauliza biashara ya kuuza TIRES, RIMS & BATTERIS au SPARE PARTS kwa trucks ni ipi yenge mzunguko mkubwa?

ZINGATIA: Yenye mtaji mdogo na iwe kwenye mzunguko mkubwa.

Wadau, madereva, mafundi na wamiliki wa trucks naombeni mawazo yenu juu ya experience yenu.

Natanguliza shukraan.
 
Mtaji mdogo kwako ni kiasi gani?

Tairi 2 za trucks ni kama 1M. Battery ni kama 400k hivi.

Unaweza jipima kuanzia hapo.
 
Mimi natamani kuwekeza kwenye biashara ya vipuri vya trucks, naomba kwa mwenye kufahamu ABC's kama :

minimum startup capital, office location, spare za trucks gani zisikosekane, aina ya spares zenye mzunguko mkubwa n.k

Nipo dar, natanguliza shukran.!
Mkuu samahani, una ufahamu wowote kuhusu unachotamani kukifanya?
 
Nina ufahamu kiongozi, nimetokea kwenye family inayofanya biashara hiyo ya spares hadi sasa.

Ila ni zile gari za kati ( civillian, Coaster, Canter, Isuzu, Fuso, Hino n.k spare zote za daladala unazozijua)
 
Treni haiwezi kufika kila sehemu, usafiri wa magari makubwa ni muhimu sana
Mkuu
Upo sahihi kabisa ,ila watu wameaminishwa tofauti na wanasiasa .
Reli haiwezi kuwa suluhisho la usafiri nafuu kama tunavyoaminishwa , kimantiki reli unaweza kuwa usafiri wa gharama sana kwa baadhi ya vitu , chukulia mfano wa mbao ya makambako, na masoko yake buguruni, ni rahisi.kwa mfanyabiashara kukodi lori ambalo litafika siku ya pili sokoni, kuliko kukodi treni ambayo itachukua hadi wiki kufika sokoni na bado truck itahitajika kupeleka mzigo makambako station pamoja na kuchukua mzigo buguruni Tazara station .

Hata huko USA ,nchi yenye railways network kubwa kuliko zote duniani , bado trucks zina demand kubwa.
 
Ukweli lazima usemwe, wanasiasa waache longolongo
 
Sawa tumekuelewa! ila mkuu nimesha panda sana sasa!! naingia huku kwa nguvu zote!
 
Gari hizi bomba sana zina jiko choo, bafu, swimming pool!! yaani nikinunua hii naendesha mwenyewe kwanza! kabla ya hapo najifunza mambo madodgo madogo ya dharula!!

yaani hii simpi dDereva aisee liwalo na liwe, wtaniita majina yote mnoko, sijui lugumya!! sinto jali..... gari yangu naendesha mwenyewe taaatibuuu! naipa mzigo standard tu! sipakilii tamaa!

kama kuna magari yanauma bwana weee! basi ni kama hili! unaweza kufa ukisikia limetumbukia mtoni!
 
Kuna mzee mmoja ana gari kadhaa! Miongoni mwa hizo gari kuna 113..

Hiyo ndiyo roho yake na anaiendesha mwenyewe!
Ukiona inaendeshwa na mwingine, ujue huyo mzee amekaa kushoto..

Kuna kijana mwingine nae anaendesha mp4 ya nyumbani kwao, hiyo gari haiguswi na mtu mwingine!

Acha madereva wengine wapambane na zingine lakini yeye na hiyo, hiyo na yeye!!
 
Back
Top Bottom