niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,501
- 4,937
Hivi hizi munaagiza kutoka Japan au kuna mahali hapa Tanzania wanauza?.Ukiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.
View attachment 1531721
Bora ipi uagize au kununua hapa hapa?.
Ile 4.5m³ ni tani ngapi?.