Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

Inalipa mkuu , kuliko kungangania kwenda Kwenda huko Lubumbashi nakosikia madereva wetu wa Kitanzania wanapata sana shida , kukaa huko hata mwezi mmoja . Thanks man
Inalipa na gari utaifungia mfumo wa tracking ili kujua inafanya movements zipo na camera.

Ukihitaji Truck ya mtumba kutoka South Africa iwe Scania,Man Diesel,Daf,Benz,Iveco au Chinese brand nicheki mkuu
 
Kitu muhimu ambayo wengi wanafeli kweli ni nidhamu ya kazi na la pili ni ku maintain magari yako na trailers zake kwa hali ya juu
Service kila wakati na ujue magari yako yanapata route nzuri kwa malipo stahiki
Mengine hakikisha unatafuta madereva wazuri hata kama kuwaiba kwa wengine sawa tu mradi umuongezee mshahara maana wengine wanaishi mbali na sehemu alipo tajiri yaani mikoa tofauti, sasa kama unapata mtu mzuri anakufaa mchukue

Lingine kama umepata faida na kuweza kuongeza fleet zako mpaka 5 kwa mfano basi uza hata 3 halafu nunua 2 kali za miaka ya karibuni

Baada ya miaka kadhaa utakuwa na fleet yako ya magari mapya au hata ya 5 years old
Sio ndoto bali ndio ukweli
Sio unakuta dereva analalamika ooh mwenye mali hataki kubadili hata matairi ( huu ni ujinga) maana kesho likianguka unaanza kumlaumu dereva
 
Jamani kipisi ni gari yoyote anbayo ipo capable na kuvuta tela lakini ukaitumia bila tela. Sasa tangu lini fuso ikapull?
Hio fuso naturally hua sio puller sasa ikitengenezewa tela likivutwa si ndo pulling yenyewe na ikitenganishwa na tela unashindwaje kuiita kipisi kama kiunganishi cha tela kipo?
 
Back
Top Bottom