Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

fuso ukibahatika kununua tipper naona kama zinalipa sana,,,mfano huki mbezi fuso tipa hesabu kwa siku ni laki had laki na 20

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Ukiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.

Screenshot_20200809_073239.jpg
 
"Kwa hiyo bado unajichanganya. Tandem na Kipisi ni gari mbili tofauti".

Mkuu Pellman , tandem ni jina lililotokana na mpangilio(idadi) ya ekseli za nyuma.

Haijalishi ni fuso au ni hicho kipisi, ikiwa na ekseli mbili nyuma lazima iitwe tandem.

Wakati huo huo zipo fuso na vipisi vyenye ekseli tatu nyuma, zenyewe huitwa tridem!
 
Ukiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.
konki sana hivi vifuso vina roho ya paka ukipata kama hii sisteen alfu ukiamua ukomae mwnyewe ndani ya miaka mitatu uko mbali sana

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
kama izo tipper ukaweza kukomaa mwnyewe au ukawa na dereva wako muaminifu nakuhakikishia ndani ya miaka mitatu unabdilishwa jina kutoka Kuhani Noah up to #kuhan zedon

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Zinalipa sana mkuu, maana hata kwenye project zangu zina saidia kwa mwezi gari za kukodi nilikuwa natumia zaidi ya 4 mill ila sasa hata hiyo nime save
 
kipisi ni zile Hozi kubwa kama scania howo nk lakin zinakuwa na body ya moja kwa moja sio ya kupachika

"bodi ya kupachika" VS "body ya moja kwa moja"

msamiati mwingine mpya!

kwa hiyo body ya moja kwa moja haijapachikwa, imetoka kiwandani hivyo hivyo, au?

hii hapa imepachikwa au imetoka nayo kiwandani? Umejuaje?

1597421834692.jpeg
 
Zinalipa sana mkuu, maana hata kwenye project zangu zina saidia kwa mwezi gari za kukodi nilikuwa natumia zaidi ya 4 mill ila sasa hata hiyo nime save
Mkuu Kuhani Noah habari ya majukumu?

Aise nina Mitsubishi Canter kama toleo la Bakhresa tani 3 na TATA 713S tani 3.5 hizi zote ni Box Body. Kuna sehemu zilikuwa zinafanya kazi ila Corona ilivopiga jamaa walilazimika kupunguza magari. Sasa mkuu vipi wewe hauna connection ya kazi uniunge huko maana hali mbaya kweli kweli. Nimejaribu kukuPM naona umeweka private.

Kwa atakaehitaji gari napatikana hapa Piga/SMS 0744183343

IMG-20200324-100415.jpg
 
Jamani kipisi ni gari yoyote anbayo ipo capable na kuvuta tela lakini ukaitumia bila tela. Sasa tangu lini fuso ikapull?

Lets say scania 94c 260 hp haina uwezo wa kuvuta trailer ila ina double diff utaitaje hii?
 
Dada ambaye truck yake imezama Wami kafilisiwa na dereva, hakupata dereva mzuri
Tatizo wamiliki wa malorry wengi anaipenda sana cheap driver,wamesahau kuwa udereva ni taaluma kama zingine wanafikiria kuendesha gari ni kwenda mbele na kulenga madaraja,dereva ni zaidi ya hapo,kwenye malipo ya dereva nani anajua dereva analipwaje kwa safari ya kutoka Dar kwenda Congo au Dar kwenda mikoani? Kuna changamoto sana kufanyakazi ya udereva hapa kwetu Tanzania
 
Nasikia Safari ya Lubumbashi via Kasumbalesa huchukua zaidi ya miezi miwili na malipo yake ni laki sita
 
sio kila tandeem(tandam) huwa na diff mbili nyuma(double diff) bali zingine huwa na deed axle(difu moja na axle inayokokotwa)
Ikishakuwa sio double diff sio tandem Tena, tandem ni neno la kiingereza likimaanisha vitu viwili vinavyofanya kazi Aina moja lakini kwa kujitegemea kila kimoja
Zile diff mbili pale ndio zumesababisha ziitwe tandem,
 
Nasikia Safari ya Lubumbashi via Kasumbalesa huchukua zaidi ya miezi miwili na malipo yake ni laki sita
Posho za safari hutofautiana kutoka muajiri mmoja hadi mwingine!
Pia posho ya tanker si sawa na cargo!

kuwahi au kuchelewa hutegemeana na aina ya mzigo uliobebwa pamoja na agent anaekupakilisha!

Finally, if other factors remain costant, go and return is almost one month.
Good morning!
 
Mkuu sio kila kipisi kinaweza kuvuta trailer!
+1
Unajua tunabishana kwa kutumia terminology ambazo sio rasmi. Kipisi, tandam, pulling nk ni maneno amabyo yametokea tu mtaan hayana base kitaalamu,
114 inaweza ikawa double diff na isiitwe tandam
 
+1
Unajua tunabishana kwa kutumia terminology ambazo sio rasmi. Kipisi, tandam, pulling nk ni maneno amabyo yametokea tu mtaan hayana base kitaalamu,
114 inaweza ikawa double diff na isiitwe tandam
Nakubali kujifunza zaidi! Kwanini hiyo 114 dual drive isiwe tandem?
 
Back
Top Bottom