Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,182
- 24,684
Wanabodi
Hili ni Jukwaa la Siasa na hili sio bandiko la Pole kwa kifo cha Ruge Mutahaba, bali hii ni Tribute ya mchango wa Ruge Mutahaba kwenye mapinduzi ya siasa za Tanzania, hivyo japo hakushiriki active politics alikuwa passive politician, mimi namuita Ruge Mutahaba as one of the smartest silent politician in Tanzania.
Kwenye uzi huu, tunaangazia na kuenzi mchango wa Ruge Mutahaba kwenye Siasa za Tanzania.
Ni Ruge ndie aliye introduce Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Bongo movies na kundi la the Comedy kwenye kampeni za kisiasa kwenye kampeni za Kikwete 2005.
This is a very big milestone kwenye Siasa za Tanzania, kwa sababu ndipo kampeni za kisiasa zikapata ladha mpya kuvutia vijana kushiriki Siasa.
Usikute hiki alichokifanya Ruge, ndicho kilichowafanya watu Kama Sugu, Prof.Jay na Wasanii kuingia kwenye active politics.
Hili sio bandiko la maombolezo but let's celebrate his life na mchango wake kwenye Siasa za Tanzania.
Hizi ni baadhi ya Tribute za Ruge Mutahaba kutoka kwa wanasiasa mbalimbali
Jee wewe unam tribute Ruge Mutahaba kwa lipi katika siasa za Tanzania?.
Ruge ni Wetu Sote
Ruge ni wa Taifa.
RIP Mpambanaji
Ruge Mtahaba
Paskali
Kwa kujipendekeza na CCM ni sawa...
Angekua mtu wa kukemea maovu ya serikali na watu waonevu ningempa respect zaidi!
Kaishi,kafanya aliyoyafanya kwa kadiri ya uwezo wake,na sote tutakufa,hamna cha ajabu!