MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,925
- 8,910
Mimi ninachojua Ruge ni mmojawapo wa wafanyabiasha aliyekuwa akijipendekeza waziwazi serikalini ili biashara zake ziende.Ni kweli kabisa , jamaa hakuingia direct kwenye siasa, ila ana mchango mkubwa kwenye siasa hasa akitumia pia media zake, na music industry kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
- Kuna deals alikuwa anafanya ambazo bila kulelewa au kujikombakomba serikalini zisingeenda smoothly kama:
- THT
- FIESTA na Matamasha mengine.
- Matangazo.
Kiwango kikubwa cha UNAFIKI, KUJIKOMBAKOMBA na KUJIPENDEKEZA kilidhihishwa baada ya yeye kutumia NGUVU YAKE KWA WASANII kwenda kujaribu kurudisha MAHUSIANO ya CLOUDS na Serikali ya JIWE baada ya kutetereka walipovamiwa na BASHITE.
- Hata mbinu yao ya kujaribu kumtumia BASHITE kutangaza FIESTA Dar ambaye tangu awapure hajawahi kuwaomba msamaha ni DHIHIRISHO la hili.
- Hata Diamond naona anapita njia hii hii.