Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
aaaaaaah Master jay!!kuchungulia hadi wanao oga!!alikuwa anataka kujua hilo treni ni dume au jike!!!anachunguli treni? Ilikuwa inaoga?
Last edited by a moderator:
aaaaaaah Master jay!!kuchungulia hadi wanao oga!!alikuwa anataka kujua hilo treni ni dume au jike!!!anachunguli treni? Ilikuwa inaoga?
anachunguli treni? Ilikuwa inaoga?
iweke hivi;
"ni kosa kisheria kugongwa na treni, ikitokea hivyo unatakiwa kulilipa shirika la reli, ikiwa umekufa basi mrithi wako awajibike"
Treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja.
Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na behewa na kufariki papo hapo.
Source mimi mwenyewe, marehemu tulikua tunaabudu nae kanisa moja.
Wito:
Hizi treni zitasaidia sana lakini inabidi usalama ikiwa ni pamoja na elimu kwa uma viwekewe mkazo sana!
Poleni sana wafiwa. jihadharini sana Na hizi treni kwa sababu haziko kwenye viwango vya kimaraifa. Treni za mjini Na hata za mikoani lazima ziwekewe uzio kwa usalama wa treni yenyewe, abiria na watu wengine Au vyombo vingine vya usafiri. Hapa bongo ni mambo uchakachuaji!
Wenye madaladala wamepata pa kutokea.