Treni yasababisha ajali

Treni yasababisha ajali

Kosa la marehemu kushangaa train
 
Dah...mashikolo mageni haya, inabidi kutoa elimu kwa umma ili kuepusha haya ajali nyinginezo....
 
Treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja.

Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na behewa na kufariki papo hapo.

Source mimi mwenyewe, marehemu tulikua tunaabudu nae kanisa moja.

Wito:
Hizi treni zitasaidia sana lakini inabidi usalama ikiwa ni pamoja na elimu kwa uma viwekewe mkazo sana!

Alikuwa anataka kuona kama inaua, ni sahihi alichokifanya! Jaribio lake limefanikiwa ila majibu hawezi kuyapata, wewe sasa ndiyo unamajibu uwafahamishe na wenzio ulichokiona.
 
Treni imegongwa, dah.... acheni bwana hizo. Poleni wafiwa
 
Na angepona angeshtakiwa kwa kugonga treni,treni huwa haigongi yenyewe ndo huwa inagongwa.R.I.P Marehemu
 
Marehemu alikuwa anachungulia treni! kuna wengine wameanza kudandia treni kama daladala! this is terrible!
 
Alikuwa anataka kuona kama inaua, ni sahihi alichokifanya! Jaribio lake limefanikiwa ila majibu hawezi kuyapata, wewe sasa ndiyo unamajibu uwafahamishe na wenzio ulichokiona.

Sawa ni kama yule aliyekojolea kurani ili abadilike mjusi lakini hakubadilika kwa hiyo majibu yake aliyapata hapahapa duniani
 
Treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja.

Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na behewa na kufariki papo hapo.

Source mimi mwenyewe, marehemu tulikua tunaabudu nae kanisa moja.

Wito:
Hizi treni zitasaidia sana lakini inabidi usalama ikiwa ni pamoja na elimu kwa uma viwekewe mkazo sana!

Hivi mtu akipita nje ya nyumba yako akaanguka akafa, utasema nyumba yako imesababisha kifo?

Akili zingine zina walakini kwa kweli. Huyo mshamba mwenzio (kwa maelezo yako) alikuwa ameisogelea treni karibu sana kiasi ikamgonga, sasa utasemaje treni imesababisha ajali?!

Ulitakiwa useme, USHAMBA UMESABABISHA AJALI. Sasa na wewe jiangalie, manake kwa akili za kilokole, utasogea karibu ili uone kama kuna pepo, matokeo yake muda si mrefu utakutana na rafiki yako mliyepotezana jana
 
Poleni sana wafiwa, ila kwa sheria zilizopo, marehemu ndio anamakosa

Treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja.

Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na behewa na kufariki papo hapo.

Source mimi mwenyewe, marehemu tulikua tunaabudu nae kanisa moja.

Wito:
Hizi treni zitasaidia sana lakini inabidi usalama ikiwa ni pamoja na elimu kwa uma viwekewe mkazo sana!
 
Yaani jinsi train ilivyokubwa ba ndefu alikua anachunguliaje?..au ww mwandishi ndio unetumia maneno yako tu?
 
treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja.

Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na behewa na kufariki papo hapo.

Source mimi mwenyewe, marehemu tulikua tunaabudu nae kanisa moja.

Wito:
Hizi treni zitasaidia sana lakini inabidi usalama ikiwa ni pamoja na elimu kwa uma viwekewe mkazo sana!

ni vizuri kuchukua tahadhari
lakini nadhani ajali yake ya kuondoka kwake dunian ilishaandikwa iwe ivo
mungu ampokee mja wake
 
Wabongo kwa kshangaa hawajambo. Mtua ataona bomu limedondoka njiani badala ya kukimbia analishangaa... Tubadirike
 
Tofauti na basi mabehewa ya treni yanayo tabia ya kuyumba kushoto kulia. Nadhani hiki ndio chanzo cha kifo cha mchunguliaji treni.
 
ni vizuri kuchukua tahadhari
lakini nadhani ajali yake ya kuondoka kwake dunian ilishaandikwa iwe ivo
mungu ampokee mja wake

tena alikua katoka Bible study, inauma sana aisee
 
Basi atakuwa chinga mwenzangu c unajua Tandahimba no train otherwise.R I P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom