TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mabehewa yote yaliyoainishwa kuletwa kwa ajili ya treni ya Reli ya Kisasa (SGR) yatakuja na kwamba yaliyoanza kuingia nchini ni ya safari ndefu.
View attachment 2426194

Wiki hii katika mitandao ya jamii kumekuwa na picha zikionyesha mabehewa yaliyoletwa sio yale yaliyoahidiwa kuletwa nchini kutokana na tofauti ya muonekano wake.

Leo Alhamis Novemba 24, 2022, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amezungumza hayo wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea ujenzi wa SGR katika eneo la Kikuyu jijini hapa.

“Tayari tumeanza kupokea mabehewa 14 ya abiria kwa ajili ya uendeshaji wa kipande cha kwanza kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro,”amesema.

Amesema picha zinazosambaa katika mitandao ya jamii zinaonyesha mabehewa hayo ambayo yatapokelewa rasmi kesho Ijumaa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa.

Kadogosa amesema picha ya mchongoko zinazoonyeshwa katika mitandao hiyo ni za treni ambazo zitatumika kwenye safari za mda mfupi na kwamba treni hizo zitawasili Juni 2023.

Amesema safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam hadi Morogoro zitaanza Februari 2023.

Aidha, Kadogosa amesema taarifa kuwa kuna mabehewa yatapigwa mnada sio za kweli na kwamba TRC haihusiki na hilo.

Naye Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita imelenga kuimarisha sekta ya usafirishaji ili kupanua uchumi wa mtu mmoja na Taifa kwa kuwezesha watu wanaofanya shughuli zozote za kiuchumi kupata usafiri.

“Hapa Dodoma kutajengwa bandari kavu kubwa sana, eneo la kuweka mizigo kutoka bandarini litakuwa hapo…nataka niwahakikishie usimamizi huu wenye maelekezo ya mkuu wa nchi, sisi tuliopewa dhamana ni kufikia malengo,” alisema.

Namshauri mh rais afukuze wote kunatatizo hapa huko ambako wanasema safari ndefu niwapi?kunareli ya SGR imejengwa lini?swali lingine ikiwa mmeleta mabehewa ambayo yatakwenda safari ndefu na njia au $GR bado haijafika hamuoni kabla yakutumika yatakuwa yamechakaa na kuingiza serekali katika gharama ambazo tungeziepuka? Kadogosa nipe ufafanuzi
 
Tuombe uzima tutakuja kukumbushana tena hapa
Screenshot_20221119-193108_VLC.jpg
 
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mabehewa yote yaliyoainishwa kuletwa kwa ajili ya treni ya Reli ya Kisasa (SGR) yatakuja na kwamba yaliyoanza kuingia nchini ni ya safari ndefu.
View attachment 2426194

Wiki hii katika mitandao ya jamii kumekuwa na picha zikionyesha mabehewa yaliyoletwa sio yale yaliyoahidiwa kuletwa nchini kutokana na tofauti ya muonekano wake.

Leo Alhamis Novemba 24, 2022, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amezungumza hayo wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea ujenzi wa SGR katika eneo la Kikuyu jijini hapa.

“Tayari tumeanza kupokea mabehewa 14 ya abiria kwa ajili ya uendeshaji wa kipande cha kwanza kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro,”amesema.

Amesema picha zinazosambaa katika mitandao ya jamii zinaonyesha mabehewa hayo ambayo yatapokelewa rasmi kesho Ijumaa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa.

Kadogosa amesema picha ya mchongoko zinazoonyeshwa katika mitandao hiyo ni za treni ambazo zitatumika kwenye safari za mda mfupi na kwamba treni hizo zitawasili Juni 2023.

Amesema safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam hadi Morogoro zitaanza Februari 2023.

Aidha, Kadogosa amesema taarifa kuwa kuna mabehewa yatapigwa mnada sio za kweli na kwamba TRC haihusiki na hilo.

Naye Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita imelenga kuimarisha sekta ya usafirishaji ili kupanua uchumi wa mtu mmoja na Taifa kwa kuwezesha watu wanaofanya shughuli zozote za kiuchumi kupata usafiri.

“Hapa Dodoma kutajengwa bandari kavu kubwa sana, eneo la kuweka mizigo kutoka bandarini litakuwa hapo…nataka niwahakikishie usimamizi huu wenye maelekezo ya mkuu wa nchi, sisi tuliopewa dhamana ni kufikia malengo,” alisema.
Safari ndefu lazima behewa zake ziwe kuukuu?
 
Kwahiyo amesema hayo ni yakigoma?ungemuuliza swali kwanini yaanze kuja yakigoma wakati ujenzi wa reli yakisasa bado au aulizwe ukombali niwapi nawamejenga hiyoreli yakisasa lini? Aundio tunanunua bebeo mtoto hajajulikana bado?
Wenyewe si wamesema yaliyokuja ni ya safari ndefu na wote tunajua Dar Moro sio safari ndefu!
 
Kwa namna umeme unavyo katika katika itabidi kila safari tuwe na majaliwa kwenye mabehewa - hamuaminiki nyie mnaweza kutumwaga mikese. :rolleyes:
Nchi kavu hamna shida vioo watapiga na makoleo mtatoka wote hakuna waswas
 
Hapana hayo ni ya safari za ndani ya Dar
Dar kwenda wapi? Wakati vituo nivyadakika 2 ha3 ndio utumie mwendo waumeme tutafute kunashida hapa majibu haonyeshi kwaupana kamakinachojibiwa nikuhusu muonekano nakilichotegemewa je wakatitunapewa taarifa tuliambiwa kutakuwa namabehewa yasafari zambali kwenye SGR? Mimi nakumbuka nihayomazuri picha yajuu na yamizigo tukuballiane kama haya niyamizigo sawa
 
Reli iliyokamilika ni Dar - Moro sasa safari ndefu ipi, 🧑‍🔧🧑‍🔧. Mbona hii serikali inaongopa saana ili igundue nini. Wananchi wa sasa tunajua zaidi ya serikali, wakati wa mchonga ndio serikali ilikuwa inajua zaidi ya wananchi. Tumeambiwa kesho kuna mabehewa yanapigwa mnada Germany.
Hivi Trc ya sasa inajua Behewa za mjerumani zimekaa na kupiga kazi zaidi ya miaka 40. zile za wadosi zilikuwa za hovyo na sasa korea
 
Wa kigoma (mbali) mabehewa yenu yamekuja😂😂😂😂
Kwa kawaida mabehewa yanayopelekwa Kigoma huwa ni chakavu kwa vigezo vyote. Tabia ya uharibifu wa mabehewa upande huo inaweza kuwa sababu ya haya mabehewa yao ya hovyo kuwasili mapema. Sina hakika kama yale mabehewa ya Deluxe kama yanafika Kigoma kweli.
 
Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.

Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Soma vizuri mkuu umeambiwa
Amesema safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam hadi Morogoro zitaanza Februari 2023.
Umeona hapo soma na hapa
Kadogosa amesema picha ya mchongoko zinazoonyeshwa katika mitandao hiyo ni za treni ambazo zitatumika kwenye safari za mda mfupi na kwamba treni hizo zitawasili Juni 2023.
Kwa hio huo mchongoko sio kwa ajili ya Dar-Moro? soma hapa
Tayari tumeanza kupokea mabehewa 14 ya abiria kwa ajili ya uendeshaji wa kipande cha kwanza kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro
Mabehewa yapi yatatumika kwa safari ya Dar-Moro? Soma tena hapa
Tayari tumeanza kupokea mabehewa 14 ya abiria kwa ajili ya uendeshaji wa kipande cha kwanza kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro
Bado haujaelewa? Mabehewa ya treni hizo pamoja na treni yatakuja Juni 2023 ila Safari zitaanza February 2023, sasa yatatumika mabehewa gani hio February 2023 safari zikianza?

Hilo anajua yeye ila mabehewa 14 kashayapokea,
 
Back
Top Bottom