TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

Kwani nyie mnaona moro ni karibu?
Acheni hizo, kama karibu nendeni kwa miguu basi ebo😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Kanusho Behewa za SGR.jpg

Hii nchi komedi nyingi sana
 
Kwa akili hizo hamuwezi kununua mabehewa bora wanayohitaji Wasafiri ninyi endeleeni kupigiwa rangi mabehewa chakavu harafu mje na kiswahili kila kukicha...

Thinking capacity ya maviongozi yetu ni hovyo na hawana hoja zaidi ya kukurupuka na matamko ya kisenge, kwahiyo hao abiria wa safari ndefu ndio wanahitaji mabehewa ya kijinga na kishamba kama yale!
 
Yaani yametangulia mabehewa ya safari ndefu wakati reli haijafika hata hapo Dom.

Halafu safari fupi ya Moro inayoanza Feb 2023 behewa zake zitakuja Juni 2023.
Mkuu hii nchi ni ngumu sana .....sema Hawa viumbe bado wanazani watanzania tuliyo wengi bado tumelala......,
Anyway kadogosa na huyo kasimu wote ni wazee was porojo tuu. Sisi watanzania ni wastamilivu ila Kuna siku Yao tuu
 
Soma vizuri mkuu umeambiwa

Umeona hapo soma na hapa

Kwa hio huo mchongoko sio kwa ajili ya Dar-Moro? soma hapa

Mabehewa yapi yatatumika kwa safari ya Dar-Moro? Soma tena hapa

Bado haujaelewa? Mabehewa ya treni hizo pamoja na treni yatakuja Juni 2023 ila Safari zitaanza February 2023, sasa yatatumika mabehewa gani hio February 2023 safari zikianza?

Hilo anajua yeye ila mabehewa 14 kashayapokea,
1. Yametangulia ya safari ndefu yafanye nini wakati reli haijafika hata Dom?
2. Ya safari fupi yatakuja Juni 2023, hii safari fupi ya Dar Moro inayoanza Feb 2023 itatumia mabehewa gani wakati treni yake haijafika?
3. Wewe unavyoona, train ipi ilipaswa kutangulia?
 
Back
Top Bottom