TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

Mimi kama hiyo Treni itakuwa inetembea 140kph hata iwe na muundo kama Boflo i don't care ninachotaka Dar to Mza iwe masaa 10.
 
Mkuu mimi nimeona kwa macho yangu Reli ya SGR ikiwa imefika Kintinku Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida.

Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu.
Ni kweli mkuu ila hivyo ni vipande. Wanajenga kwa vipande. Hata toka Moro-Dom kuna vipande vingi tayari ila mradi bado maana kazi si kuweka reli tu.
 
Ni kweli mkuu ila hivyo ni vipande. Wanajenga kwa vipande. Hata toka Moro-Dom kuna vipande vingi tayari ila mradi bado maana kazi si kuweka reli tu.
Ila kwa kusema ukweli wanaenda vizuri na sasa ila nadhani pale Saranda Mlimani itawachukua muda kuuchoronga Mlima ule.
 
Bora tungeboresha reli ya kati tu,kuliko huu usanii wa kuleta mabehewa ya kizamani.
Hayati angekuwepo,angekamilisha ndoto zake.
 
Tunazitest ubora
IMG-20221126-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom