Traffic mishara midogo haya mafuta ya kuchezea mnayapata bure??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ni ngumu kuamini traffic analipwa mshara mdogo natamani kuchunguza lakini naamini
jamani hawa watu wanapokea mshara wa kutosha kabisa aiwezekani kabisa kila traffic ana kuwa na gari na kupaki kila sehemu anavyotaka na huku analia njaa...
Haya hizi pesa za mafuta mnazipata wapi??
 
Hivi TAKUKURU wanaweza fanya hivi kweli?KENYA IKO JUU...BIG UP...na ss wabongo inabidi tukubali tu jamaa wako juu...
 
Back
Top Bottom